(Yesterday)

Michuzi

MADINI YA UJENZI, VIWANDA YANACHANGIA ZAIDI KWENYE UCHUMI KUPITA MENGINE – BITEKO


 Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko (kulia) akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Madini Dodoma, alipowatembelea akiwa katika ziara ya kazi, Machi 22 mwaka huu.
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko, akisalimiana na wafanyakazi wa Ofisi ya Madini Dodoma, alipowasili katika Ofisi hiyo akiwa katika ziara ya kazi, Machi 22 mwaka huu.
 Shughuli za uchimbaji madini ya nakshi zikiendelea katika Mgodi uliopo Ntyuka Dodoma, wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko (hayupo pichani) mgodini...

 

1 day ago

Michuzi

BITEKO ATOA WITO KWA WADAU KUZINGATIA SHERIA MPYA YA MADINI

Na Veronica Simba – DodomaNaibu Waziri wa Madini Doto Biteko ametoa wito kwa wadau wote wa sekta ya madini nchini, kuzingatia sheria mpya ya madini ambayo inaelekeza namna bora ya usimamizi wa sekta hiyo.Alitoa wito huo jana, Machi 22 mwaka huu kwa nyakati tofauti, alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Dodoma, kukagua shughuli mbalimbali za madini. “Moja ya mambo muhimu ambayo sheria mpya ya madini inaelekeza ni kutunza rekodi za uzalishaji wa madini ili Serikali iweze kujua ni kitu gani...

 

3 days ago

Michuzi

WACHIMBAJI WASUBIRIA HATMA YA MAOMBI YA LESENI MIAKA MINNE SASA BILA MAJIBU WAKATI SHERIA YA MADINI YA MWAKA 2010 NI NDANI YA SIKU 28

Pichani ni Eneo lililotengwa kwa ajili ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kata ya Changaaa ambalo mmiliki wa Kampuni ya Kidee mining alilowapora wachimbaji wadogo baada ya kupewa leseni kinyemela kwa umiliki wa eneo hilo ambalo wachimbaji teyari walitafiti tokea mwaka 2012 na sasa wanatakiwa kuwa chini ya mwekezaji huyo kwa kivuli cha kikundi badala ya kampuni picha zote na mahmoud ahmad Kondoa.  Semina ikiendelea kwa Wachimbaji wadogo zaidi ya 100 wakipewa elimu ya uchimbaji sanjari...

 

2 weeks ago

Michuzi

HIVI NDIVYO WIZARA ZA NISHATI, MADINI ZILIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

  Wafanyakazi wa Wizara za Nishati na Madini walioko Makao Makuu mjini Dodoma, leo Machi 8 wameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Sherehe za Maadhimisho hayo zimefanyika ki-Mkoa katika Eneo la Msalato na kushirikisha Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali, Mashirika Binafsi na baadhi ya wanafunzi wa Shule mbalimbali.
Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Sherehe hiyo Kitaifa, kwa Mwaka huu ni ‘Kuelekea Uchumi wa Viwanda, Tuimarishe Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake...

 

2 weeks ago

Michuzi

Madini ni mali ya Watanzania sio wawekezaji wa kigeni: Biteko

Na Mathias Canal, GeitaSerikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli tangu ianze utendaji wake imejipambanua wazi kuwa rasilimali zote za nchi ikiwemo madini ni muhimu sana kwa maendeleo ya Taifa hivyo ni Mali ya watanzania wenyewe sio wawekezaji wa kigeni.


Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusisitiza kuwa katika rasilimali Madini Taifa halipaswi kukurupuka kuyachimba kwa kuwa uwezo wa kitaaluma na...

 

3 weeks ago

Michuzi

WACHIMBAJI MADINI KIGOMA WAELEZA CHANGAMOTO ZAO KWA NAIBU WAZIRI NYONGO

Na Veronica Simba – KigomaWachimbaji wa Madini wadogo wa Mkoa wa Kigoma, wamemweleza Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo changamoto mbalimbali zinazowakabili katika shughuli zao na kumwomba awasaidie kuzitatua.Walimweleza changamoto hizo katika kikao maalum, Machi 3 mwaka huu, wakati Naibu Waziri alipowatembelea akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo.Miongoni mwa changamoto kubwa waliyoitaja ni kuhusu vibali vya kusafirisha madini ghafi nje ya nchi; ambapo Naibu Waziri aliwataka kuwa...

 

3 weeks ago

Michuzi

NYONGO ATAKA MADINI YA NICKEL YAONGEZWE THAMANI NCHINI

Na Veronica Simba – NgaraNaibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema kuwa Serikali itaboresha mazingira ya uwekezaji wa Madini ya Nickel yanayopatikana Ngara mkoani Kagera lakini pia itahakikisha wawekezaji wanayaongezea thamani Madini hayo hapa nchini kabla ya kuyasafirisha nje ya nchi ili kuleta tija zaidi.Aliyasema hayo jana, Machi Mosi alipotembelea Mradi wa Uwekezaji wa Madini ya Nickel wa Kabanga, uliopo wilayani Ngara, Mkoa wa Kagera, akiwa katika ziara ya kazi.“Sisi kama...

 

4 weeks ago

Michuzi

'SERIKALI YA AWAMU YA TANO HAIKO TAYARI KUONA MWANANCHI ANAONEWA, ANANYANYASWA'-Naibu Waziri Madini


Na,Joel Maduka,Geita. 

NAIBU Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amesema Serikali ya Awamu ya Tano haiko tayari kuona mtu akilalamika ,kunyanyaswa au kunyimwa haki yake.
Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nyakabale, Kata ya Mgusu wilayani Geita wakati wa ziara yake ya siku mbili mkoani humo ya kuzungukia maeneo ya uchimbaji na kusikiliza kero za wananchi walizunguka kwenye baadhi ya maeneo ya mgodi wa Geita(GGM).
Hatua hiyo ya Naibu Waziri Nyongo imekuja baada ya...

 

4 weeks ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI WA MADINI AAGIZA KUTOLEWA MIKATABA YA WAFANYAKAZI MIGODINI

Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akikagua eneo la uchimbaji madini ya makaa ya mawe katika kijiji na Kata ya Magamba baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya uchimbaji madini Mkoani Songwe.Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Mbozi mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya uchimbaji madini Mkoani Songwe. Picha Zote Na Mathias Canal-Wazo Huru BlogNaibu Waziri wa Madini Mhe Doto...

 

4 weeks ago

Michuzi

MADINI YOTE NCHINI NI SHARTI YA WANUFAISHE WATANZANIA - BITEKO

Na Mathias Canal, RukwaSerikali imesema kuwa sheria mpya ya Madini ya mwaka 2010 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2017 inaelekeza wazi kuwa Madini yote nchini ni Mali ya watanzania hivyo wanapaswa kutambua umuhimu wa rasilimali.Wawekezaji na wachimbaji wote wa madini nchini wanapaswa kutambua kuwa wanalo jukumu muhimu la kurejesha kwa jamii asilimia chache ya kile wanachozalisha kwa kuunga mkono juhudi za serikali Back to the Community) katika kuboresha miundombinu, sekta ya elimu, afya...

 

4 weeks ago

CCM Blog

MADINI YOTE NCHINI NI SHARTI YA WANUFAISHE WATANZANIA

Naibu Waziri wa Madini nchini Mhe Doto Mashaka Biteko akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mkomola 2, Kata ya Kipande, Wilayani Nkasi akiwa katika ziara ya kikzai Mkoani Rukwa,  Picha Zote Na Mathias Canal-Wazo Huru BlogMhandisi Joseph Mwakabage Meneja Mradi wa Mradi wa uzalishaji wa umeme wa makaa ya mawe (Aliyenyoosha mkono) akimuonyeshaNaibu Waziri wa Madini nchini Mhe Doto Mashaka Biteko mitambo ya uchimbaji madini  alipotembelea mgodi huo uliopo Kijiji cha Mkomola 2, Kata ya Kipande,...

 

4 weeks ago

Michuzi

DK. KIGWANGALLA AAGIZA MBINU MPYA ITUMIKE KUDHIBITI WANAOCHIMBA MADINI KWENYE CHANZO CHA MAJI YA MTO ZIGI JIJINI TANGA


Na Hamza Temba, WMU, Muheza Tanga..........................................................................
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kujenga kituo cha ulinzi cha kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto zigi kilichopo ndani ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani kwa ajili ya kulinda chanzo hicho.


Dk. Kigwangalla ametoa agizo hilo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari  baada ya kutembelea eneo...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Machimbo ya madini ya Tanzanite yazungushwa ukuta Tanzania

Ukuta mrefu unaozunguuka machimbo ya madini ya Tanzanite katika eneo la Mererani nchini Tanzania, umekamilika kwa zaidi ya asilimia 90.

 

1 month ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MADINI ATUA MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI

Na Mathias Canal, SongweNaibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko leo 22 Februari 2018 ameanza ziara ya kikazi katika Mkoa wa Songwe ambapo pamoja na mambo mengine atatembelea na kukagua eneo la mgodi tarajiwa wa Bafex linalotarajiwa kuanza uchimbaji wa Madini ya dhahabu.
Maeneo mengine atakayotembelea ni pamoja na mgodi wa uchimbaji dhahabu wa Shanta Gold Mine uliopo katika kata ya Saza, Wilayani Songwe ambapo atazungumza pia na wafanyakazi wa mgodi huo.
Sambamba na hayo pia...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani