(Today) 5 hours ago

Michuzi

Ofisi ya Taifa ya Takwimu Yatoa Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Takwimu

………………Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa mafunzo ya uandishi wa habari za kitakwimu kwa wanachama wa chama cha waandishi wa habari Dodoma ili kuwaongezea uwezo wa uandishi mzuri wa habari za kitakwimu.

Mafunzo hayo ya siku mbili kuanzia tarehe 26 hadi 27 Mei, mwaka huu  yanayofanyika katika ukumbi wa Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Jijini Dodoma yamefunguliwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bi.  Zamaradi Kawawa kwa niaba ya...

 

(Yesterday)

Malunde

VIJANA 732 WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT KUANZISHA KIWANDA CHA SABUNI KIGOMA

Mkuu wa Kikosi cha KJ 824 Kanembwa wilayani Kakonko Mkoani Kigoma Luteni Kanali Amos Mollo amewapongeza vijana wa oparesheni Mererani waliohitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la Kujenga Taifa( JKT  ) kwa andiko walilolifanyia kazi la utengenezaji wa sabuni ambalo litapelekea kuanzishwa kiwanda cha utengenezaji wa sabuni kikosini hapo.

Akizungumza jana wakati wa hafla ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi kwa vijana 732 wanaojitolea yaliyofanyika kwa miezi mitano, Mollo alisema katika kuunga mkono...

 

1 week ago

Michuzi

Serikali Yaandaa Mwongozo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa vitendo kwa Wahitimu wa Vyuo

Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.
Serikali imeandaa mwongozo wa Kitaifa wa mafunzo kwa vitendo kwa wahitimu wa vyuo ili kuondoa pengo la ujuzi linalohitajika katika soko la ajira hapa nchini.
Hayo yamesemwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Antony Mavunde alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Zainab Athuman Katimba  juu ya Serikali haioni haja ya kutungwa sera ya mafunzo kwa vitendo kazini kwa...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Nafasi za Ukutubi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi 41 za kazi ya Ukutubi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

NAM. IDARA IDADI YA NAFASI MAHALI
1 IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI 32 UNGUJA
2 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 5 UNGUJA
3 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 4 PEMBA

Sifa za Muombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada ya Ukutubi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi...

 

2 weeks ago

Michuzi

GCLA Watoa Mafunzo kwa Wasimamizi 60 wa Kemikali

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imetoa mafunzo kwa wasimamizi wanaohusika na shughuli za kemikali wapatao 60 wa Kanda ya Mashariki yatakayowasaidia kuzuia matatizo yanayosababishwa na uelewa mdogo wa masuala ya kemikali.
Mafunzo hayo ya siku mbili yamefunguliwa  jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Sayansi Jinai na Huduma ya Vinasaba, David Elias kwa niaba ya Mkemia Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt. Fidelice Mafumiko.
Mkurugenzi Elias...

 

2 weeks ago

Michuzi

SADC WATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA SERIKALI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani chini ya Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeandaa Warsha ya Mafunzo ya Mfumo wa Ufuatialiaji na Tathmini wa SADC (SADC Results Based Online Monitoring and Evaluation System) kwa maafisa wa Serikali na taasisi za umma. Warsha hii inafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam...

 

2 weeks ago

Michuzi

WATUMISHI WA OFISI WAZIRI MKUU WAPEWA MAFUNZO YA KUZIMA MOTO

Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ruth Mwasakafyuka akizima moto katika mafunzo ya kuzima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa Kikosi cha Zimamoto cha jijini Dodoma Mei 12, 2018. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu) Mtumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Joseph Mboje akizima moto kwa kutumia kifaa rasmi cha kuzima moto katika mafunzo ya kuzima moto yaliyoendeshwa na Maofisa wa...

 

2 weeks ago

Michuzi

MADAKTARI WAZALENDO WAPATIWA MAFUNZO YA SIKU TATU UBONGO NA UTI WA MGONGO


Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar 
Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid Mohamed amesema kuwepo kwa Taasisi ya kutibu maradhi ya mishapa ya fahamu na uti wa mgongo (Neuro) hapa Zanzibar ni heshma kubwa na amewashauri wananchi wanaokabiliwa na matitizo hayo kutumia fursa ya kuwepo taasisi hiyo kwenda kufanyiwa uchunguzi na kupatiwa matibabu kwani kinauwezo mzuri wa kutibu maradhi hayo.
Amesema Taasisi hiyo itasaidia kuwajengea uwezo wataalamu wachache waliopo Zanzibar wanaoshughulika na...

 

2 weeks ago

Michuzi

MAFUNZO YA KUKABILI MAKOSA YA KIJINSIA NA WATOTO KWA MAKAMANDA WA POLISI YAENDELEA DAR

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi Hasina Tawfiqi akichangia mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto. Mrakibu wa Polisi, Faidha Suleman kutoka Dawati la Jinsia na Watoto akiwasilisha mada wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania...

 

3 weeks ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA MPANGO KAZI WA MAZINGIRA NA USTAWI WA JAMIINa Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Somalia, Bela Bird leo amefungua warsha ya siku mbili kwa watalaamu na Watumishi wa Serikali kutoka nchi ya Tanzania na Malawi hili waweze kuendana mpango kazi wa Masuala ya Mazingira na Masuala ya kijamii pindi wanapotekeleza miradi inayotekelezwa na benki hiyo katika nchi hizo mbili.
Bi Bela amesema kuwa Warsha hiyo ambayo itaweza kuwasaidia watumishi wa serikali kujua miradi...

 

3 weeks ago

Michuzi

JAJI MKUU AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAJAJI WAPYA WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA NA ZANZIBAR

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii 
JAJI Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Ibrahimu Juma, amefungua mafunzo elekezi kwa majaji wapya 14 wa Mahakama Kuu nchini yenye lengo la  kuwataka kufanya kazi kwa makini kwa kuwa jamii inamatarajio makubwa kutoka kwao.
Mafunzo hayo ya wiki tatu yamezinduliwa leo katika kituo cha mahakama cha mafunzo ya uongozi kilichopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mafunzo hayo yanahusu masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(Tehama) hasa katika eneo la makosa...

 

3 weeks ago

Michuzi

TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI

  Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Afisi ya Zanzibar Abdallah Seif akiwasilisha mada ya Sheria za Kodi zinazoisimamiwa na Mamlaka hiyo katika mafunzo ya waandishi wa Habari ya kuwajengea uelewa wa Kodi yaliyofanyika Taasisi ya Utalii ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar Maruhubi. Waandishi wa Habari walioshiriki mafunzo ya Sheria za Kodi zinazosimamiwa na TRA wakimsikiliza Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi wa Mamlaka hiyo (hayupo pichani)...

 

3 weeks ago

Malunde

WANAWAKE 2000 KUPATIWA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MKOANI KIGOMA

Katika kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda takribani akina mama 2000 mkoani Kigoma wanatarajia kupata mafunzo ya ujasiriamali yatakayosaidia kuwaimarisha kiuchumi.
Awali akifungua rasmi mafunzo hayo ambayo leo mkoani humo yanatarajiwa kudumu kwa muda wa siku 10 katika halmashauri zote mkoani Kigoma Katibu Tawala msaidizi wa Mkoa wa Kigoma Gaden Machunda  aliwataka akina mama hao kuwa makini kusikiliza mafunzo watakayopata ili kuleta maendeleo ya mkoa na taifa kwa ujumla
Aliwasisitiza...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani