(Today) 2 hours ago

Michuzi

WALIOKUBWA NA MAFURIKO DAR WAKUMBUKWA KWA MISAADA YA CHAKULA, MALAZI

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamii

MKOA wa Dar ea Salaam umeadhimisha miaka 54 ya Muungano kwa kutoa misaada ya chakula na malazi kwa familia zilizoathiriwa na mafuriko yaliyotokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni.

Akizungunza leo Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema misaada iliyotolewa ni pamoja na magodoro, chandarua, nashuka, mito, sukari, unga,mchele pamoja na mafuta ya kupika.

Makonda amesema misaada hiyo itagawanywa kwa familia zaidi ya 600 zilizoathiriwa na...

 

4 days ago

Michuzi

MBUNGE MAULID MTULIA AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO KATA ZA MSISIRI A, B, NA KAMBANGWA KINONDONI

MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam Maulid Mtulia(CCM), ametembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko ya maji huku akitumia nafasi hiyo kutoa pole kwa wananchi wa jimbo hilo ambao wameathirika kwa namna moja au nyingine na mvua za masika huku akiishauri Halmashauri Manispaa ya Kinondoni kutafuta suluhu ya kudumu ili wananchi wabaki salama.
Pia amesema mbali ya kutoa pole atatumia fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukodisha mashine za kunyonya maji pamoja na fedha ya...

 

6 days ago

Michuzi

MAFURIKO JANGWANI KUPATIWA UFUMBUZI

Na. WFM- Washington D.CBenki ya Dunia (WB) imekubali kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na athari za mafuriko zinazosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha kila mwaka katika Jiji la Dar es Salaam na kuleta madhara makubwa hususan katika eneo la Jangwani jijini humo.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wakati akizungumza na ujumbe wa Benki ya Dunia ulioongozwa na Mkurugenzi wa Benki hiyo kwa nchi za Tanzania, Somalia, Burundi na...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Watu zaidi ya 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua

Rwanda. Watu zaidi ya 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya kipindi cha takriban miezi miwili.

Wizara inayohusika na kupambana na majanga imetoa wito ikiwataka wananchi wanaoendelea kuishi katika maeneo hatarishi kuhama.

Ripoti kuhusu maafa yanayotokana na mafuriko ya mvua zimekuwa zikitolewa katika miaka ya hivi karibuni na mara nyingi Serikali imekuwa ikiahidi kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo. Hata hivyo, mpaka sasa...

 

1 week ago

Malunde

MAFURIKO YAUA WATU 41..16 WAFARIKI KWA KUPIGWA RADI, 162 WAJERUHIWA


 Watu zaidi ya 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya kipindi cha takriban miezi miwili nchini Rwanda.
Wizara inayohusika na kupambana na majanga imetoa wito ikiwataka wananchi wanaoendelea kuishi katika maeneo hatarishi kuhama.
Ripoti kuhusu maafa yanayotokana na mafuriko ya mvua zimekuwa zikitolewa katika miaka ya hivi karibuni na mara nyingi Serikali imekuwa ikiahidi kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo hilo. Hata hivyo, mpaka...

 

1 week ago

VOASwahili

Mafuriko, radi zauwa watu 41 Rwanda

Watu 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini Rwanda, ndani ya kipindi cha takriban miezi miwili.

 

1 week ago

Michuzi

PICHA YA SIKU: MAFURIKO

Mmoja wa wakazi wa nyumba zilizokumbwa na Mafuriko eneo la Jangwani akiwa amelala kando ya nyumba aliyokuwa akiishi baada ya kujaa maji.

 

1 week ago

Michuzi

Hoja ya haja: Dawa ya adha ya mafuriko jijini Dar es salaam ni kuzibua njia ya maji bonde la msimbazi - Prof Tibaijuka


Anaandika Mama Prof. Anna TibaijukaBila nidhamu ya kuheshimu Mipango miji mafuriko yatakuwa common feature ya jiji la DSM. Regrettably. Tatizo siyo mvua kubwa. Tatizo ni kuziba natural drainage system hivyo maji ya mvua kushindwa kwenda baharini.
Nilipokuwa Ardhi nilijitahidi sana kuokoa bonde la msimbazi kwa mujibu ya 1979 master plan. Call it the Nyerere Master plan. Sikufanikiwa. There was no political will for it. Bonde likaendelea kujengwa. Kwa hiyo maji hayana njia za kufika...

 

1 week ago

Michuzi

UHARIBIFU WA MAZINGIRA ULIVYOCHANGIA KUONGEZA MAFURIKO KATIKA BONDE LA MTO MSIMBAZI


Mmoja wa Wakazi wa Dar es Salaam ambaye alikuwa akivuna chupa za maji taka zilizojaa katika Daraja la Mto Msimbazi ambapo imeonesha kuwa uharibifu wa Mazingira na utupaji  taka hovyo umekithiri katika bonde la mto Msimbazi kumechangia kuziba kwa mifereji mingi inayopitisha maji kwenda baharini.
Vijana wa jiji la Dar es Salaam wakiokota machupa katika bonde la mto Msimbazi mara baada ya machupa hayo kuletwa na maji ya mvua yaliyofurika kuja na takatka hizo
Sehemu ya takataka zilizojaa...

 

1 week ago

Zanzibar 24

Umwagaji wa taka katika mitaro ya maji machafu utaweza kuleta mafuriko Zanzibar

Wananchi  wanaoishi  karibu na mitaro ya kupitishia maji machafu wametakiwa  kuwacha tabia ya kumwaga taka katika kitaro hiyo kwani wanaweza kusababisha maji kutuwama na kupelekea maji hayo kuingia katika nyumba zao kusababisha mafuriko.

Akizungumza na Zanzibar24   Sheha wa Shehia ya Miembeni Haji Shomari Haji amesema  kitendo cha wananchi kumwaga taka katika mitaro kuna uwezekano mkubwa  wananchi wa shehia yake kuingiliwa na maji katika nyumba zao kutokana maji yale yanashindwa kupita na...

 

1 week ago

Michuzi

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA MIUNDOMBINU ILALA

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akisaidiwa kuvuka kwenye daraja la muda alipokuwa akikagua leo daraja la Mto Msimbazi linalounganisha Ulongoni B na Gongo la Mboto, Dar es Salaam, ambalo ni moja ya madaraja yaliyobomoka kutokana athari za mvua za masika zinazoendelea kunyesha. Mjema alifanya ziara ya kukagua miundombinu ya barabara iliyoathiriwa na mvua katika wilaya hiyo. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA, KAMANDA WA MATUKIO BLOG Mkuu wa Wilaya Mjema, akizungumza na wakazi wa Ulongoni baada...

 

1 week ago

VOASwahili

Mafuriko yauwa watu 10 Tanzania

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema watu 10 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda amesema.

 

1 week ago

Zanzibar 24

Mafuriko yapelekea vifo vya watu 7 Dar es salaam.

Mvua kali zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam watu 7 wameripotiwa kupoteza maisha katika maeneo mbali ya jiji la Dar es salaam.

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha taarifa hizo ambapo amesema kuwa watu sita wameripotiwa kufariki katika wilaya za Kinondoni na Ilala huku mmoja akiripotiwa kufariki katika wilaya ya Temeke.

“Mpaka sasa tumepokea taarifa za vifo vya watu saba katika maeneno mbalimbali ya jiji la Dar es salaam ambapo watatu...

 

1 week ago

RFI

Mafuriko yawaathiri wakaazi wa jiji la Dar es salaam, wanafunzi washindwa kwenda Shule

Mvua kubwa imekuwa ikinyesha katika jiji la kibiashara la Tanzania Dar es salaam kuanzia jana imesababisha mafuruko katika maeneo ya mabondeni.

 

1 month ago

RFI

Mafuriko yasababisha vifo vya watu 15 nchini Kenya

Watu 15 wamepoteza maisha nchini Kenya kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani