8 months ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAVISHWA VYEO MAOFISA WAANDAMIZI TISAWA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR

KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa, kwa niaba ya Amiri jeshi mkuu Rais John Magufuli amewavisha vyeo maafisa wa ngazi ya juu 9 wa Jeshi la Magereza waliopandishwa vyeo hivyo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Miongoni mwa maafisa 9 waliovishwa vyeo ni manaibu kamishna wa magereza – DCP wanne wa Jeshi hilo ambao wamepandishwa vyeo na kuwa Makamishna wa magereza, huku makamishna wasaidizi waandamizi wa Magereza -SACP watano wakipandishwa vyeo kuwa...

 

8 months ago

MwanaHALISI

Serikali inawasurubu askari Magereza

JOSEPH Mbilinyi ‘Sugu’ Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (Chadema) ameing’ang’ania serikali kwenye suala la mustakabali wa mafao ya askari Magereza. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Sugu akiuliza swali la nyongeza kwa Naibu Waziri wa Fedha Dk. Ashatu Kijaji amesema kuwa askari magereza wanafanya kazi ngumu ya kulinda wahalifu lakini wanapostaafu serikali inawacheleweshea stahiki zao ...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa wa nne wa Jeshi la Magereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo Maafisa wa nne wa Jeshi la Magereza kutoka Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy Commissioner of Prisons – DCP) hadi kuwa Kamishna wa Magereza (Commissioner of Prisons – CP).

Soma taarifa kamili:

The post Rais Magufuli awapandisha vyeo Maafisa wa nne wa Jeshi la Magereza appeared first on Zanzibar24.

 

9 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa nne wa Jeshi la Magereza kutoka Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy Commissioner of Prisons - DCP) hadi kuwa Kamishna wa Magereza (Commissioner of Prisons - CP).
Pia Dkt. Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wengine watano katika Jeshi hilo kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (Senior Assistant Commissioner of Prisons - SACP) hadi kuwa Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy...

 

9 months ago

Michuzi

MKUU WA MAGEREZA NCHINI SHELISHELI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa(kulia) akisaini Mkataba  wa makubaliano ya ushirikiano baina ya Magereza nchini SheliSheli na Jeshi la Magereza Tanzania Bara. Kushoto ni Mkuu wa Magereza nchini Shelisheli hiyo Raymond St Ange akisaini mkataba huo.  Hafla fupi ya  utilianaji saini Mkataba huo umefanyika leo Juni, 2018 Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Malewa(kulia) na Mkuu wa Magereza nchini...

 

9 months ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AMWAGA FUTARI KWA TAASISI 10 ZA KIDINI NA MAGEREZA JIJINI TANGAWAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kupitia Taasisi yake ya Odo Ummy Foundation leo amegawa futari kwa taasisi za kiislamu na magereza zilizopo Jijini Tanga vyakula mbalimbali ili viweze kuwasaidia wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani. 
Vyakula ambavyo vimetolewa na Waziri Ummy ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kwa kila taasisi ni Unga wa Ngano Kg 50, mchele kg 100,Sukari Kg 25,Tambi Mfuko miwili,Mafuta ya kula lita 20,Maharage kg...

 

9 months ago

Michuzi

Benki ya CRDB na Jeshi la Magereza kuendelea kuboresha uhusiano wa kibiashara

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (kushoto) akizungumza na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini, juu ya kuangalia njia bora za kudumisha uhusiano baina ya Benki ya CRDB na Jeshi la Magereza nchini, katika Makao Makuu wa Magereza, jijini Dar es salaam, Mei 23, 2018. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa. 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dokta Charles Kimei leo amekutana na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini...

 

9 months ago

MwanaHALISI

Serikali yakubali hoja za Sugu kurekebisha Magereza

SERIKALI imekubali kuufanyia kazi ushauri uliotolewa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu,’ (Chadema) kuhusu uboreshaji wa jeshi la magereza nchini. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Mbilinyi alitoa ushauri huo leo bungeni wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa kueleza kuwa Jeshi la Magereza lina hali mbaya ya vitendea kazi ikiwa ni pamoja ...

 

9 months ago

Malunde

SUGU : JESHI LA MAGEREZA LINA HALI MBAYA SANA

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi 'Sugu' amelitetea Jeshi la Magereza mbele ya Bunge kuwa jeshi hilo lina matatizo makubwa ya kiusafiri jambo ambalo linapelekea wafungwa kupelekwa Mahakamani kwa miguu kitendo ambacho kina hatarisha usalama wa mfungwa na askari kiujumla.
Kauli hiyo ya Sugu imetolewa leo Mei 22, 2018 Bungeni Jijini Dodoma kwenye kikao cha 34 mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Wizara ya Mambo ya...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Jeshi la Magereza lina hali mbaya sana – Sugu

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) Leo, Mei 22, 2018 amesema kuwa Jeshi la magereza lina hali mbaya, halina magari na magari yaliyopo ni mabovu.

Sugu ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akiuliza swali wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, lililojibiwa na Waziri wa wizara hiyo, Mwigulu Nchemba, ambapo amesema kuwa kutokana na changamoto hiyo inapelekea watuhumiwa kufungwa pingu kutembea kwa miguu mtaani hali inayopelekea kuhatarisha maisha ya mfungwa.

Sugu aliuliza “Pamoja na...

 

9 months ago

Malunde

JESHI LA MAGEREZA LAMJIBU SUGU KUHUSU WAFUNGWA KUKOSA SARE

Jeshi la Magereza nchini limekanusha taarifa zilizoibuliwa na Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi kuhusu kukosekana kwa sare za wafungwa zaidi ya 600, katika gereza la Ruanda alipokuwa amefungwa.


Akizungumza na www.eatv.tv, msemaji wa Jeshi hilo Lucas Mboje, amesema kwamba sio kweli kwamba wafungwa hawana sare na hakuna kitu kama hiko, isipokuwa kuna mahabusu ambao wapo mule wakiendelea kusubiri kesi zao, na ndio huenda ambao aliwaona bila sare.“Hiko kitu hakipo, halafu asichanganye...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani