(Today) 3 hours ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam leo Januari 22, 2018. PICHA NA IKULU

 

(Today) 5 hours ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za mabalozi 6

Rais John Pombe Magufuli leo Januari 22, 2018 amepokea hati za utambulisho za mabalozi 6 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini, ambapo alipokea hati hizo kutoka kwa balozi wa Argentina hapa nchini Martina Gomez Bustillo.

The post Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za mabalozi 6 appeared first on Zanzibar24.

 

(Today) 6 hours ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI SITA, IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Januari, 2018 amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi sita walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.
Mabalozi waliowasilisha hati zao ni Mhe. Konstantinos Moatsos – Balozi wa Ugiriki hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya, Mhe. Fafre Camara – Balozi wa Mali hapa nchini mwenye makazi yake Addis Ababa nchini Ethiopia na Mhe. Dina Mufti Sid – Balozi wa Ethiopia hapa nchini mwenye...

 

3 days ago

BBCSwahili

Magufuli asitisha usajili wa meli mpya Tanzania

Rais wa Tanzania ataka uchunguzi ufanyike kwa meli zote ambazo zimesajiliwa Tanzania na zinapeperusha bendera ya Tanzania

 

3 days ago

Michuzi

Ajipanga Kutembea Hadi Magogoni Kuunga Mkono Juhudi za Rais Magufuli


Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.
Kijana mzalendo, Omary Kombe amejipanga kutembea kutoka Kimara hadi Kivukoni siku ya Jumamosi, Januari 20, 2018 ili kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika kuliletea Taifa maendeleo.
Kombe ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya nia ya matembezi yake pamoja na mpango wake wa kutoa tuzo kwa Rais Magufuli itakayojulikana kama ‘Tuzo ya Kiongozi ...

 

3 days ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye ukumbi wa mikutano wa Julius nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 19, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga, na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar Balozi Ali Karume, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisikiliza hoja...

 

3 days ago

Zanzibar 24

Wamiliki wamabasi wahitaji kukutana na Rais Magufuli

Wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani, wameomba kukutana na Rais John Magufuli kumweleza matatizo yanayowakabili ikiwamo  vipengele wanavyodai kuwa ni kandamizi katika kanuni mpya za leseni za usafirishaji.

Wamefikia hatua  hiyo baada ya kutofikia muafaka katika kikao kilichofanyika jana  jijini Dar es Salaam kati yao  na maofisa kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa  Usafiri wa Nchi kavu na Majini (Sumatra), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, na Jeshi la  Polisi Kikosi cha Usalama...

 

4 days ago

The African Exponent

Magufuli Displeased with Proposal to Extend Presidential Term


The African Exponent
Magufuli Displeased with Proposal to Extend Presidential Term
The African Exponent
Clearly, there are some overzealous party members who are trying to push for constitutional reforms but the leader is adamant: No change is coming anytime soon. Magufuli has once again inspired hope in African leaders after vehemently dismissing ...

 

4 days ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendandaji TANESCO

Dkt. Titus Mwinuka.

The post Rais Magufuli ateua Mkurugenzi Mtendandaji TANESCO appeared first on...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani