(Today) 1 hour ago

MwanaHALISI

Magufuli anashitakika

RAIS John Magufuli, anaweza kushitakiwa kwa makosa aliyoyatenda wakati akiwa waziri wa Ujenzi katika serikali ya Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, anaandika Saed Kubenea. Hii ni kwa kuwa kinga iliyotajwa kwenye Ibara Katiba ya Jamhuri ya Muungano kwa rais kutoshitakiwa, haizungumzii makosa ambayo kiongozi huyo alitenda kabla ya kuwa rais. Taarifa ndani ya serikali zinasema, ...

 

1 day ago

Malunde

JENERALI WA JESHI ATEULIWA NA RAIS MAGUFULI KUWA NAIBU MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU

Raisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.

 

1 day ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA MAENDELEO LA JAPAN (JICA) IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 21 Agosti, 2017 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA),Bwana Shinichi Kitaoka Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Katika Mazungumzo hayo Bw. Kitaoka amempongeza Mhe. Rais Magufuli kwa uongozi mzuri na wa mfano hususani katika kupambana na rushwa na msukumo mkubwa anaoutoa katika maendeleo hususani katika kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Jitihada zinazosaidia...

 

1 day ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA MAENDELEO LA JAPAN (JICA) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo  na  Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shinichi Kitaoka aliyekutana na kufanya mazungumzo naye leo agosti 21, 2017 Ikulu jijini Dar es salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo  na Rais wa shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) Bw. Shinichi Kitaoka (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida leo agosti 21, 2017...

 

3 days ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 37 WA SADC AKIMWAKILISHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 37 wa SADC kwenye ukumbi wa OR Tambo mjini Pretoria, Afrika ya Kusini. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais. Rais wa Zambia Mhe. Edgar Lungu akiwashukuru washiriki wa mkutano huo wakati wa Utambulisho kwenye ufunguzi wa mkutano wa 37 wa SADC kwenye ukumbi wa OR Tambo mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.# Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais. Mkutano huo wa 37  wa Wakuu wa...

 

4 days ago

Zanzibar 24

Saba wengine walioteuliwa leo na Rais Magufuli

The post Saba wengine walioteuliwa leo na Rais Magufuli appeared first on Zanzibar24.

 

4 days ago

Malunde

RAIS MAGUFULI ATEUA MWENYEKITI WA BARAZA LA USHINDANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Agosti, 2017 amemteua Mhe. Jaji Barke Mbaraka Aboud Sehel kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal - FCT).
Mhe. Jaji Barke Mbaraka Aboud Sehel anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke ambaye amemaliza muda wake.
Kabla ya uteuzi huu Mhe.  Jaji Barke Mbaraka Aboud Sehel alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara.
Wajumbe wa Baraza la Ushindani ni;   ...

 

4 days ago

MwanaHALISI

Mbowe amchongea Magufuli kwa wananchi

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewataka watanzania kutokuogopa kumkosoa Rais John Magufuli pale anapokosea, anaandika Hellen Sisya. Mbowe ameyasema hayo mapema leo hii katika hoteli ya Protea iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam na kusisitiza kuwa endapo taifa litakuwa na watu waoga, basi kuna uwezekano wa taifa hilo kutawaliwa na dikteta. ...

 

4 days ago

Zanzibar 24

Mbunge CHADEMA amshauri rais Magufuli

Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi y a chama cha Chadema, Godbless Lema amemtaka rais John Pombe Magufuli kuiga mfano wa rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kwa kuwaruhusu wapinzani wake wa kisiasa kufanya siasa zao bila vikwazo.

Akihutubia mkutano wa umma katika wadi ya Murieti, Lema alimsifu rais Kenyatta na kusema ameoonyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuwaruhusu wapinzani wanaopinga matokea yake ya urais wafanye maandamano ya amani na kuwapatia maafisa wa usalama kuwalinda waandamanaji hao.

Rais...

 

5 days ago

Zanzibar 24

Rais Magufuli ateua watatu kushika nyadhifa mbalimbali

The post Rais Magufuli ateua watatu kushika nyadhifa mbalimbali appeared first on Zanzibar24.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani