9 months ago

Michuzi

MICHUZI TV: MZEE MAJUTO AFIKA SALAMA NCHINI INDIA, MWANAE AELEZEA WALIVYOPOKELEWA

 

9 months ago

Malunde

MZEE MAJUTO AAGWA RASMI

Wasanii wa filamu pamoja na baadhi ya wasanii wa muziki Tanzania, wamemsindikiza na kumuaga muigizaji mwenzao Amri Athumani maarufu kama Mzee Majuto, ambaye anelekea nchini India kwa matibabu.
Akizungumza kwa niaba ya wasanii wenzake muigizaji Hashim Kambi amesema wanamuombea Mzee Majuto asafiri salama na kupata matibabu, ili atakaporudi waendelee kuungana naye kwenye kazi za sanaa.
Sambamba na hilo wasanii hao wameishukuru serikali kupitia waziri wake wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Waliomtapeli Mzee Majuto wakamatwa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kuwa kuna Kampuni iko Mwanza iliingia Mkataba na King Majuto na Mkataba huo ulikuwa ni wakumlipa Milioni 24 wakatoa check, check hiyo ikawa haina Pesa, Hivyo serikali imewachukulia hatua wahusika.

“Naomba niwaeleze wananchi Nimeunda jopo la wanasheria na tumeshaanza kikao cha kwanza sasa hivi kazi yetu kubwa kwasababu tumeshaanza na suala la Mzee Majuto ni kuangalia kazi zote alizokwisha zifanya na tunawaandikia...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Mzee Majuto kupelekwa India kimatibabu leo

Steve Nyerere ambaye amehusika katika kusaidia kuratibu zoezi la kumuwezesha Mzee Majuto kwenda nchini India kwa matibabu zaidi amesema kuwa leo Mei 1, 2018 Msanii huyo mkongwe nchini Mzee Majuto atapelekwa nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi kufuatia matatizo aliyopata siku kadhaa zilizopita huku akiwataja watu ambao wamehusika katika kufanikisha jambo hilo na kusema ni pamoja na Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri wa Habari Dkt. Harrison Mwakyembe.

“Niseme ahsante...

 

9 months ago

Michuzi

Waziri Ummy amjulia hali Mzee Majuto Muhimbili

 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza jambo na Mchekeshaji mkongwe almaarufu kwa jina la Mzee Majuto mapema jana,alipokwenda kumjulia hali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili,anakopatiwa matibabu

 

9 months ago

Malunde

SERIKALI YABEBA JUKUMU LA MATIBABU YA MZEE MAJUTO

Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amemtembelea msanii nguli wa filamu, Amri Athuman maarufu mzee Majuto na kueleza kuwa Serikali inabeba jukumu la matibabu yake.

Mzee Majuto alilazwa Aprili 23 baada ya kuzidiwa ghafla kutokana na kidonda cha operesheni ya henia aliyofanyiwa Julai mwaka jana jijini Tanga.

Akizungumza katika tukio hilo jana Aprili 28, 2018 Dk Mwakyembe amesema Serikali imeamua kumpeleka mzee Majuto nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

"Kwa...

 

9 months ago

Michuzi

MZEE MAJUTO KUPELEKWA NCHINI INDIA KWA MATIBABU

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG. 
Msanii mkongwe wa filamu za vichekesho nchini, King Majuto anatarajia kupelekwa nchini India kwa matibabu kutokana na tatizo linalomkabili. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, mara baada ya kutoka kumsalimia Mzee Majuto ambaye amelazwa katika hospitali ya Tumaini, Mwenyekiti wa Uzalendo Kwanza Steve Mengele 'Steve Nyerere' amesema kuwa uamuzi huo umekuja baada ya kuona mzee Majuto amekuwa akihangaika mara kwa mara kutafuta...

 

9 months ago

Malunde

MZEE MAJUTO : NIKIFA MTAPATA TAARIFA

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto amefunguka na kuwatoa wasiwasi wapenzi na mashabiki wake kiujumla kuwa yeye ni mzima kabisa na endapo Mungu atamchukua 'kufariki' basi watapata habari popote pale watakapo kuwepo.
Mzee Majuto ametoa kauli hiyo baada ya siku za hivi karibuni kuzushiwa kifo kwa mara nyingine tena baada ya yeye kuzidiwa na kurudishwa hospitalini kwa mara nyingine ili aweze kupatiwa matibabu juu ya ugonjwa unaomsumbua.
"Mimi ni mzima kabisa,...

 

9 months ago

Malunde

BONGO MOVIE KUMSAFIRISHA MZEE MAJUTO KWENDA INDIA KUTIBIWA

Wasanii wa Bongo Movie wakiongozwa na Steve Nyerere kwa Pamoja wamekwenda hospitali aliyolazwa muigizaji mkongwe mzee Majuto kwa lengo la kumuona na kumpa faraja katika kipindi hiki ambapo amelazwa katika hospitali hiyo.

Pamoja na kwenda hapo wamemkuta Mzee Majuto yupo kwenye hali nzuri huku akijitokeza mdau ambaye ni Kampuni ya ASAS aliyejitolea Ticket mbili kwaajili ya Mzee Majuto kwenda kutibiwa India.

Baada ya hapo Msanii Steve Nyerere alizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa'" Ni...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Majuto sasa arejeshwa tena Hospitali

Muigizaji na mchekeshaji wa siku nyingi, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidiwa. Mke wa mwigizaji huyo, Aisha Yusufu amesema walimpeleka mume wake  hospitalini hapo leo Aprili 23,201 saa 7:00 mchana. Aisha amesema kidonda alichofanyiwa upasuaji kimeleta shida, hivyo kumpeleka kwa ajili ya uangalizi zaidi. Majuto alilazwa hospitalini hapo Januari mwaka huu na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume.

The post Majuto sasa...

 

9 months ago

Malunde

MZEE MAJUTO ALAZWA TENA HOSPITALI BAADA YA KUZIDIWA

Muigizaji na mchekeshaji wa siku nyingi, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidiwa.


Mke wa mwigizaji huyo, Aisha Yusufu amesema walimpeleka mume wake  hospitalini hapo leo Aprili 23,201 saa 7:00 mchana.
Aisha amesema kidonda alichofanyiwa upasuaji kimeleta shida, hivyo kumpeleka kwa ajili ya uangalizi zaidi.
Majuto alilazwa hospitalini hapo Januari mwaka huu na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Majuto afunguka alicho teta na Rais mstaafu

Siku chache baada ya kusambaa kwa picha zikimuonyesha mchekeshaji Amri Athumani maarufu Mzee Majuto akizungumza na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, leo Alhamisi Aprili 5, 2018 ameeleza walichoteta.

Picha hiyo ilipigwa wakati Kikwete alipokuwa akiondoka katika ukumbi wa Mlimani City kulikokuwa kukifanyika  hafla ya utoaji  tuzo za filamu za SZIFF, zilizoandaliwa na kituo cha televisheni cha  Azam kupitia chaneli yake ya Sinema Zetu.

Akizungumza na MCL Digital leo Mzee Majuto...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Hali ya Majuto yamuhuzunisha Dk. Kikwete aandaa mchakato wa kusafirishwa India

Staa wa filamu za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’licha ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume bado hali yake haileti matumaini ambapo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, amejitosa baada ya kumuona alivyodhoofu kwa sasa.

JK na Mzee Majuto walikutana uso kwa uso wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar ambako kulikuwa na shughuli ya utoaji tuzo za filamu zilizojulikana kwa jina la Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu ambapo walionekana wakiteta kwa dakika...

 

11 months ago

Bongo Movies

Uganga Basi – Mzee Majuto

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Mzee Majuto amefunguka na kuweka wazi kwamba sinema ndio kitu pekee kinachomfanya aweze kutamba mjini ‘kuishi’ huku akidai ana kazi nane ameshazifanya ameziweka ndani tu, na uganga basi ndio imetoka.

Mzee Majuto amesema hayo wakati alipokuwa akipiga stori mbili tatu alipotembelewa na wasanii wenzake Jacob Stephen ‘JB’ pamoja na Single Mtambalike ‘Richie’, katika hospitali ya Tumaini Jijini Dar es Salaam alipolazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani