2 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MASUALA YA JINSIA NA MAHAKAMA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) tayari kufungua Mkutano wa Kimataifa unaohusu masuala ya Jinsia na Mahakama Afrika ulioandaliwa na Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia, wengine pichani kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma,Waziri wa Sheria Dkt. Palamagamba Kabudi pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Makamu...

 

8 months ago

Michuzi

Makamu wa Rais ashiriki ibada ya kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Mch. Dkt. Isaac Kissiri Laiser wa KKKT mkoani Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya kuwasili kwenye Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu Mteule Mch. Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mch. Newton John Maganga, mkoani Tabora leo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

8 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MLOGANZILA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ufumbuzi umepatikana wa changamoto kubwa ya umeme inayoikabili hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila na kuahidi kusimamia utendaji ili umeme upatikane muda wote.
Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa ziara yake katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila....

 

8 months ago

Zanzibar 24

Uamuzi wa Mahakama ya ICC dhidi ya aliyekuwa makamu wa Rais wa DRC

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), imemuondolea Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, Jean Pierre Bemba makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu ambayo alitiwa hatiani.

Pierre alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 18 jela kutokana na makosa hayo ambapo alitiwa hatiani mwezi Machi 2016 kwa makosa ya uhalifu, uliotokea katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, kati ya mwaka 2002, na 2003.

Mahakama hiyo imetoa uamuzi huo...

 

8 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA NA UMOJA WA WACHIMBAJI MADINI TANZANIA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia AcksonSpika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu kutoka Benki kuu ya Tanzania...

 

8 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS BENKI YA DUNIA ATEMBELEA MAHAKAMA YA WILAYA KIGAMBONI,AISIFU MAHAKAMA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MOLADI KTK UJENZI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii
Makamu wa rais wa Benki ya dunia, Sandie Okoro ameipongeza mahakama ya Tanzania kwa utekelezaji wa miradi ya mahakama kwa kutumia mfumo wa Teknolojia ya ujenzi wa bei nafuu ya mradi wa Molandi.
Pia Okoro ameipongeza mahakama kwa kuzingatia uwiano wa jinsia mahakamani katika utekelezaji wa majukumu kwani ameona kutoka ngazi za juu hadi ya chini wanawake wako wengi, 
Okiro amesema hayo leo Juni 8,2018 wakati anatembelea Mahakama ya Mwanzo na ile ya Wilaya ya...

 

8 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Malawi ambalo litafanyika Julai 26 hadi Julai 27 mwaka huu mkoani Mbeya.
Kongamano hilo limeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji  Tanzania(TIC), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) pamoja na Taasisi ya Biashara na Uwekezaji ya Malawi(MITC).
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam...

 

8 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewashauri hospitali ya CCBRT kufikisha ujumbe wa Fistula katika kila wilaya hapa nchini hata kwa kutumia radio jamii. 
Makamu wa Rais amesema hayo leo alipofanya ziara katika hospitali hiyo iliyopo Msasani jijini Dar Es Salaam. Makamu wa Rais amesema inasikitisha kuona asilimia kubwa ya wagonjwa wa Fistula ni wasichana wadogo.

Makamu wa Rais ameipongeza Hospitali ya CCBRT kwa kazi nzuri wanayoifanya kwa kutoa...

 

8 months ago

Michuzi

MAkamu wa Rais azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya Barack Obama jijini Dar es Salaam, ukuta huo umejengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Dunia wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Joseph Malongo akifafanua jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe...

 

9 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA NGAZI ZA JUU LA MABADILIKO YA TABIA NCHI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema kuwa ongezeko la watu katika miji mikubwa kuna changia sana katika uharibifu wa mazingira na matumizi makubwa ya mkaa.Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Mabadiliko ya Tabia Nchi, Mazingira na Uchumi wa Taifa.Makamu wa Rais amesema “Mkaa ni Ghali Tutumie Nishati Mbadala”, kwani kiwango cha miti inayokatwa kwa ajili ya kutengeneza mkaa ni kikubwa na kinatisha.“ Dar es...

 

9 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUTARISHA TUNGUU ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kufutari kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Tunguu Zanzibar jana jioni tarehe 29 Mei 2018.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi Mdogo wa Ujerumani nchini  Mhe. Jens Dominic Warth mara baada ya kufutari kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Tunguu Zanzibar jana jioni...

 

9 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 28 WA CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kufanya hima maana Serikali iko katika hatua za mwisho za kuanza kufanya mageuzi makubwa katika eneo la mazingira ya biashara kama ilivyobainishwa hivi karibuni na Waziri wa Viwanda na Biashara.
Makamu wa Rais ameyasema hayo leo wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 28 wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) unaotanguliwa na mafunzo...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani