5 months ago

BBCSwahili

Wanafamilia watekeleza mashambulizi dhidi ya makanisa Indonesia

Takribani watu 13 wameuawa baada ya makanisa kushambuliwa na watu waliojitoa muhanga

 

5 months ago

BBCSwahili

Watu 9 waumeuwa nchini Indonesia baada ya makanisa kushambuliwa kwa mabomu

Milipuko hiyo imetokea katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo wa Surabaya na kusababisha vifo vya watu 9, huku idadi hiyo ikitazamiwa kuongezeka

 

6 months ago

BBCSwahili

Kanisa la Kianglikana kuuza makanisa 133

Kanisa la Kianglikana huko Tasmania lina mpango wa kuuza nusu ya makanisa yake 133 ili kusaidia kuwalipia wahasiriwa wa kijinsia walipokuwa watoto.

 

6 months ago

Zanzibar 24

Watu 36 wahukumiwa kifo kwa kushambulia makanisa

Mahakama ya kijeshi huko Misri imewahukumu watu thelathini na sita adhabu ya kifo kutokana na makosa ya mashambulizi dhidi ya makanisa ya Coptic.

Watu sabini walikufa kutokana na shambulizi la bomu katika kanisa kuu la ki Coptic mjini Cairo mwishoni mwa mwaka 2016, na makanisa ya Alexandria na Tanta yaliripuliwa siku kama hiyo mwezi wa nne mwaka uliofuata.

Tayari kundi la wanamgambo wa kiislamu wenye msiamamo mkali wamekiri kuhusika na mashambulizi hayo matatu. Wameendelea kukiri kuwa kazi...

 

8 months ago

Malunde

UTITIRI WA MAKANISA WAMSHTUA RAISWakati Bodi ya Utawala Bora nchini Rwanda (RGB) ikisitisha shughuli za makanisa 714 na msikiti mmoja, kwa kushindwa kufikia vigezo vinavyotakiwa katika kuendesha shughuli zao, Rais Paul Kagame ameelezea kushitushwa na idadi hiyo kubwa ya makanisa nchini mwake.
Rwanda, taifa la Afrika Mashariki lenye wakazi 11,262,564, kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2012, wakazi wake wengi ni Wakristo, hasa Waprotestanti ambao ni asilimia 49.5, Wakatoliki asilimia 43.7 na Waislamu ni asilimia mbili. “Makanisa...

 

8 months ago

BBCSwahili

Wachungaji 6 wa baadhi ya makanisa yaliyofungwa Rwanda wakamatwa

Serikali ya nchi hiyo iliamrisha kufungwa kwa makanisa zaidi ya 700 kwa madai ya kutotimiza kanuni za ujenzi wa makanisa yao.

 

8 months ago

VOASwahili

Makanisa 700 yamefungwa nchini Rwanda

Takwimu hizi zimetolewa baada ya wiki mbili tangu zoezi la kufunga makanisa yasiyokidhi mahitaji lilipoanza. Makanisa yaliofungwa ni yale yaliokuwa yakiwabughudhi wananchi kufuatia kero za waumini wakati wa ibada kutokana na vipaza sauti na ngoma suala ambalo wananchi walikuwa wakililalamikia siku zote Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema kwamba kuwepo ujenzi holela wa uanzishwaji makanisa hayo ni dalili tosha inayoashiria wananchi waliobweteka na wasio na la kufanya. Alikuwa akizungumza...

 

8 months ago

BBCSwahili

Rwanda yaanza kufungia makanisa 700 kwa kutotimiza masharti yaliyowekwa

Serikali ya Rwanda imeanza kutekeleza uamuzi wa kufunga makanisa ambayo hayajatimiza kanuni za ujenzi na vigezo vingine vinavyotakiwa kwa wachungaji wa makanisa hayo.

 

8 months ago

RFI

Rwanda yatetea uamuzi wake wa kufunga makanisa na Msikiti

Serikali ya Rwanda imetetea uamuzi wake wa kuyafunga makanisa 714, operesheni ambayo ilianza wiki moja iliyopita. Rwanda inasema sehemu hizo za ibada hazijatimiza masharti yaliyowekwa.

 

8 months ago

BBCSwahili

Serikali ya Rwanda yafungia zaidi ya makanisa 700 Kigali

Serikali ya Rwanda imeyafunga makanisa zaidi ya 700 katika mji mkuu wan chi hiyo Kigali kwa kukosa kutimiza masharti yaliyowekwa ya usafi na usalama.

 

9 months ago

Malunde

SERIKALI YATAKA MAKANISA YATANGAZE MAPATO YA FEDHAWAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amewataka viongozi wa dini nchini kutimiza wajibu wao na kuhakikisha wanahifadhi vyema mapato ya fedha na kuyaweka wazi kwa waumini ili kuondokana na migogoro isiyokuwa ya lazima kwenye nyumba za ibada.

Aliyasema hayo jana alipokuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Shinyanga kwenye ibada ya kumuweka wakfu na kitini askofu wa pili wa dayosisi hiyo Johnson Chinyong’ole ambaye...

 

9 months ago

BBCSwahili

Makanisa yaliyochongwa kwenye miamba Ethiopia

Eneo la Lalibela kaskazini mwa Ethiopia kuna makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalijengwa mwishoni mwa karne ya 12.

 

9 months ago

BBCSwahili

Makanisa ya kuchonga kuijenga Yerusalemu mpya bado yapo Ethiopia

Lalibela katika Ethiopia ya Kaskazini ni nyumba ya makanisa ya kale na ya kuvutia ambayo yalifunikwa mwishoni mwa karne ya 12

 

10 months ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waumini wa Kikristo(hawapo pichani) kwenye ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida  jana. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba( wa tano kulia) akifuatilia kwa makini mahubiri wakati wa Ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida jana  wengine...

 

11 months ago

Michuzi

DC SHINYANGA ATEMBELEA VITUO VYA HUDUMA YA MTOTO VYA MAKANISA YENYE USHIRIKA NA COMPASSION KLASTA YA SHINYANGA

Mkuu huyo wa wilaya amefanya ziara hiyo leo Jumamosi Disemba 2,2017 kwa ajili ya kujionea stadi za maisha na miradi mbalimbali inayofanywa na watoto wanaopata huduma katika vituo hivyo.Vituo vilivyotembelewa ni vituo vya Kanisa la ACT Shinyanga Mjini,AICT Kolandoto,TAG Shinyanga Mjini,PAG Shinyanga Mjini,KKKT Shinyanga Mjini. 
Akiwa katika ziara hiyo,Matiro amejionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na watoto kama vile utengenezaji skonzi,biskuti,keki,nguo,mafuta,sabuni pamoja na...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani