3 weeks ago

VOASwahili

Malawi yapambana na ndoa za utotoni

Mashirika mawili yameanzisha makundi ya wasichana katika wilaya ya Mulanje kusini mwa malawi, ili kuwafundisha elimu ya kupambana na maradhi ya Ukimwi pamoja na ndoa za utotoni.

 

7 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Malawi ambalo litafanyika Julai 26 hadi Julai 27 mwaka huu mkoani Mbeya.
Kongamano hilo limeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji  Tanzania(TIC), Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania(TanTrade) pamoja na Taasisi ya Biashara na Uwekezaji ya Malawi(MITC).
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Raia wa Malawi akutwa na madawa ya kulevya Uwanja wa Ndege wa  kimataifa Zanzibar

Mkuu wa kietengo hicho cha Uwanja wa ndege Mrakibu wa Polisi Omar Khamis amemtaja mtuhumiwa huyo kwajina la Ester Kizungu mwenye umri wa miaka 31 ambae ni Raia wa Malawi.

“Amekamatwa akiwa anataka kusafiri kuelekea India, aliingia Tanzania kutokea Malawi tarehe 6 mwezi wa 5 ambapo tarehe 13 akaingia Zanzibar kutokea Dar ess salaam ndipo alipowasili moja kwa moja uwanja wa ndege majira ya saa 6 mchana hapo ndipo alipokamatwa akiwa na unga wa madawa ya kulevya katika mifuko miwaili tofauti...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Rais wa Malawi aungana na wananchi kuuwaga mwili wa kocha Jack Chamangwana

Rais wa Malawi, Prof. Arthur Peter Mutharika ameungana na wananchi wa taifa hilo kuuwaga mwili wa aliyekuwa mchezaji soka wazamani wa taifa hilo na mwalimu wa mchezo huo, Jack Chamangwana aliyefariki dunia siku ya Jumapili majira ya jioni kwenye Hospitali ya Queen Elizabeth (QECH) nchini humo.

 

Rais wa Malawi, Prof. Arthur Peter Mutharika (kulia)

Prof. Peter Mutharika ambaye ni rais wa taifa hilo akiwa pamoja na mkewe ‘First Lady Madam’ Prof. Gertrude Mutharika wamejitokeza kwa familia ya...

 

8 months ago

BBC

Malawi mourns death of former captain Jack Chamangwana

Tributes are paid to one of Malawi's greatest players, former captain Jack Chamangwana, who died in Blantyre on Sunday aged 61.

 

9 months ago

BBC

Oil discovery besets Malawi fishermen

Fishing communities in Malawi worry that oil drilling will ruin their livelihoods.

 

9 months ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ATEMBELEWA NA WAKURUGENZI WATENDAJI WA CLOUDS MEDIA GROUP, MULTICHOICE TANZANIA NA UJUMBE WA BUNGE LA MALAWI

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice...

 

9 months ago

BBC

Commonwealth Games: Scotland lose to Malawi in thrilling finale

Scotland's Bethan Goodwin misses a chance to draw her side level after failing to convert the final penalty of the match as Malawi take a hard-fought 51-50 win in the netball.

 

10 months ago

Michuzi

Meli za TPA kuongeza biashara kati ya Tanzania, Malawi

Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Balozi Benedicto Mashiba akizungumza wakati akipokea kwa mara ya kwanza ujio wa meli nyingine ya TPA, MV Ruvuma katika bandari ya Monkey Bay nchini Malawi.
Na Mwandishi WetuKUANZA safari kwa meli za mizigo za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika nchi ya Malawi kutaongeza wigo wa kibiashara kati ya nchi ya Tanzania na Malawi.
Mbali ya kuongeza zaidi wigo wa biashara kati ya nchi hizo, meli hizo – MV Njombe na MV Ruvuma pia zinatarajiwa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Shepherd Bushiri: Nabii kutoka Malawi anayedai kutenda miujiza na kuwavutia maelfu ya waumini

Hakuna hasa rekodi ya utajiri wake wote lakini inafahamika amekuwa akipata faida kwenye migodi kadhaa na anamiliki ndege binafsi na hoteli kadhaa kwa jina la kampuni yake ya uwekezaji Shepherd Bushiri Investments.

 

11 months ago

BBCSwahili

Madonna:Mwanangu ni Rais ajaye wa Malawi

Madonna amsifu mtoto wake mwenye asili ya Malawi

 

11 months ago

BBC

How Malawi reduced infant mortality

Every year 2.6m babies around the world don't survive beyond a month but Malawi's number is dropping.

 

11 months ago

Michuzi

MALAWI YAONESHA NIA KUPATA GESI KUTOKA TANZANIA

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na Ujumbe wa Mawaziri wawili kutoka Malawi na kuzungumza kuhusu uwezekano wa Malawi kupata Gesi Asilia kutoka Tanzania na Uendelezaji wa pamoja wa Bonde la Mto Songwe kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo uzalishaji umeme.
Ujumbe wa Malawi uliongozwa na Waziri wa Maliasili, Nishati na Madini, Aggrey Masi na Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii, Henry Mussa ambao waliambatana na Balozi wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe na wataalam kutoka...

 

11 months ago

CCM Blog

MALAWI WAJA TANZANIA KUSAKA HUDUMA YA GESI ASILIA

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na Ujumbe wa Mawaziri wawili kutoka Malawi na kuzungumza kuhusu uwezekano wa Malawi kupata Gesi Asilia kutoka Tanzania na Uendelezaji wa pamoja wa Bonde la Mto Songwe kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo uzalishaji umeme.

Ujumbe wa Malawi uliongozwa na Waziri wa Maliasili, Nishati na Madini, Aggrey Masi na Waziri wa Viwanda, Biashara na Utalii, Henry Mussa ambao waliambatana na Balozi wa Malawi nchini, Hawa Ndilowe na wataalam kutoka...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani