2 days ago

Bongo5

FIFA kufanya mapinduzi ya soka, waweka wazi mpango wa kufuta offside na kubadili upigaji wa penati

Raisi mpya wa FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili soka kabisa.Infantino anaonekana kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta vyake.Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la dunia 2026 kufikia timu 48 sasa Infantino amekuja na mpya.Kwa kumtumia mkurugenzi wa mambo ya ufundi wa FIFA Marco Van Basten amependekeza baadhi ya sheria mpya katika soka.

Akihojiwa na gazeti la Ujerumani liitwalo Bild,Van Basten amesema wanawaza kuondoa mchezo wa kuzidi katika soka.

“sipati picha...

 

3 days ago

Ippmedia

Watanzania watakiwa kuanzisha mapinduzi ya kifikra kwa kuondoa utumwa wa kuongea lugha ya Kiswahili.

Balozi wa lugha kiswahili hapa nchini, na mke wa rais mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete ametoa ushauri huo wakati wa hotuba yake katika hafla ya utoaji wa tuzo ya kwanza inayotambua mchango wa watunzi na waandishi wa fasihi ya lugha ya kiswahili ya Mabati cornell ya fasihi ya kiafrika ambayo imefanyika kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasomi wa lugha ya kiswahili kutoka vyuo mbalimbali duniani.

Day n Time: Jumanne Saa 2:00...

 

4 days ago

Habarileo

Mwamunyange apongeza miaka 53 ya Mapinduzi

MKUU wa Majeshi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange amewapongeza wananchi wa Zanzibar kwa kuadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi na kuwataka kuyaenzi kwani ndiyo kielelezo cha utu wa Mwafrika kujitawala katika nchi yake.

 

5 days ago

Mwananchi

Mapinduzi Cup ni somo tosha kwa wawakilishi wetu Afrika, jipangeni

Tangu Desemba 30 hadi Januari 13, katika Visiwa vya Zanzibar, kulikuwa na michuano ya Kombe la Mapinduzi lililomalizika kwa Azam kutwaa ubingwa kwa kuibandua Simba bao 1-0.

 

6 days ago

Michuzi

MASHINDANO YA NAGE MAPINDUZI CUP YAFIKIA TAMATI, NAIBU WAZIRI NGONYANI, MASAUNI WAMWAGA ZAWADI KWA WASHINDI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani akiwasalimia wachezaji wa Karakana City wakati akikagua timu za mchezo wa Nage zilizoingia Fainali ya Mashindano ya Nage Mapinduzi CUP 2016-2017. Aliyevaa kofia ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, ambaye ndiyo mwandaaji wa Mashindano hayo. Ngonyani aliyafunga Mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Amani, mjini Unguja, Zanzibar.
Naibu ...

 

6 days ago

TheCitizen

Simba turn focus on VPL title after Mapinduzi Cup

After missing the Mapinduzi Cup following a 1-0 loss against Azam FC, Simba Sports Club technical bench has turned their focus on the Tanzania Mainland Premier League matches and they are optimistic to win the title.

 

6 days ago

Zanzibar 24

Balozi Seif: Chama cha Mapinduzi hakitawaonea haya wanachama wenye sura mbili

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi ameonya kwamba wembe ule ule uliotumika katika mchakato wa kumpata Mgombea wa CCM katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Tanzania Mwaka 2015 ndio utakautumika katika kumpata Mgombea wa Chama hicho upande wa Zanzibar ifikapo uchaguzi wa mwaka 2020.

Alisema wembe huo ndio silaha pekee itayosaidia kusafisha virusi vitakavyojaribu kuibuka ndani ya chama hicho   endapo yatatokea  makundi yatayoashiria kutaka...

 

7 days ago

CCM Blog

AZAM ILIPOIBUKA KIDUME KWA SIMBA NA KUTWAA MAPINDUZI CUP 2017, JANA MJIZNI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kombe la Mapinduzi 2017, Nahodha wa Timu ya Azam John Bocco, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa wa kombea hilo, kufuatia kuifunga Simba bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja, jana usiku.
Mshambuliaji wa Azam Joseph Mahundi akiumiliki mpira, dhidi ya mchezaji wa Simba Besela Bakungu timu hizo zilipomenyana jana usiku katika mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017,  kwenye Uwanja wa Aamaan mjini...

 

1 week ago

Zanzibar 24

JWTZ yatuma salam za pongezi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Jeshi la Wananchi wa Tanzania { JWTZ } limeelezea faraja yake kutokana na juhudi kubwa zinazoendelea kuchukuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika  kuwaletea Maendeleo Wananchi wake bila ya bila ya kuingizwa cheche za kibaguzi.

Faraja ya Jeshi hilo imekuja kufuatia ushuhuda wa Taasisi za Kimataifa  zinavyothibitisha  maendeleo makubwa yaliyofikiwa na  wananchi wa Zanzibar na kubadilisha ustawi  na  uchumi wao ndani ya kipindi cha zaidi ya miaka 50 iliyopita.

Makamu wa Pili wa Rais...

 

1 week ago

Bongo5

Azam FC wachukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Simba fainali

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa usiku wa Ijumaa hii huko visiwani Zanzibar.

Bao la ushindi la Azam lilifungwa na Himidi Mao katika dakika ya 12 ya mchezo kwa kupiga shuti kali. Ushindi huo wa Azam umeifanya kuweka rekodi mpya katika mashindano hayo kwa kucheza mechi zote bila ya kufungwa bao hata moja.

Tazama picha za Azam wakishangilia ushindi huo.

Picha katika akaunti ya...

 

1 week ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGAZO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR


Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akiongoza kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kilichofanyika kwenye ukumbi wa zamani wa...

 

1 week ago

MillardAyo

VIDEO:Goli moja la Himid Mao liloipa Azam FC kombe la Mapinduzi , Full Time 1-0

Tarehe 30 2016 ndio ilikuwa siku ambayo mashindano ya Mapinduzi Cup yalifunguliwa na leo January 13 2016 Kombe la Mapinduzi lilifikia katika hatua ya fainali ambapo   Azam FC walikutana na Simba SC kucheza katika hatua ya fainali  na Azam FC waliibuka washindi baada ya kuifunga Simba kwa goli 1-0 Goli la Azam FC lilifungwa katika dakika ya […]

The post VIDEO:Goli moja la Himid Mao liloipa Azam FC kombe la Mapinduzi , Full Time 1-0 appeared first on...

 

1 week ago

Mwananchi

Azam yainyuka Simba ikitwaa Kombe la Mapinduzi

Shuti la ‘mwendokasi’ la umbali usiopungua mita 25 la kiungo Himid Mao limetosha kuamua matokeo ya mchezo wa Fainali ya Mapinduzi uliofanyika mjni Zanzibar.

 

1 week ago

Habarileo

Azam bingwa mapinduzi

Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam imetwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba pia ya jijini humo kwa bao 1-0.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani