(Today) 9 hours ago

Zanzibar 24

Waziri wa maswala ya ulinzi nchini Marekani asema taifa hilo limezuia vitisho vya Iran

Naibu waziri wa ulinzi nchini Marekani Patrick Shanahan alisema kuwa Marekani ilifanya busara sana

Mashambulio yaliopangwa na Iran yamezuiwa na vitendo vya Marekani kulingana na naibu waziri wa maswala ya ulinzi nchini Marekani Patrick Shanahan.

Marekani imeonya kuhusu tishio kutoka kwa Iran katika wiki za hivi karibuni na bwana Shanahan aliwaelezea wabunge katika mkutano wa faragha.

Hali ya wasiwasi imeongezeka huku Marekani ikipeleka vifaa vya kijeshi katika eneo la mashariki ya...

 

(Today) 9 hours ago

Malunde

Irani Yakataa Mazungumzo na Marekani

Rais Hassan Rouhani wa Iran amekataa mazungumzo na Marekani, baada ya Rais Donald Trump kusema kuwa Iran itampigia simu na kuomba kufanya mazungumzo "iwapo na wakati watakapokuwa tayari". 

Iran na Marekani zimeendeleza vita vya maneno katika wiki za karibuni wakati Marekani ikiimarisha vikwazo na kile inachosema ni lengo la kuishinikiza Iran kufanya makubaliano mengine mbali na masharti ya mkataba wake wa nyuklia wa 2015.
Shirika la habari la serikali ya Iran limemnukuu Rouhani akisema kuwa...

 

(Today) 12 hours ago

BBCSwahili

Patrick Shanahan: Waziri wa maswala ya ulinzi nchini Marekani asema taifa hilo limezuia vitisho vya Iran

Kaimu waziri wa maswala ya ulinzi anasema kuwa vitendo vya Marekani vimezuia mashambulio yaliopangwa na sera yake ilikuwa kuzuia

 

(Today) 20 hours ago

Malunde

WACHUNGAJI WA KANISA LA KKKT TANZANIA WALA NONDO MAREKANI


Wachungaji watatu kutoka KKKT DMP na mmoja kutoka KKKTDayosisi ya Ziwa Victoria Shinyanga wamehitimu katika Chuo Kikuu cha Luther Seminary Minnesota nchini Marekani tarehe 19/05/2019 kama ifuatavyo:- Rev. Dr. Ernest William Kadiva ametunukiwa Phd - Doctor of Ministry, Wengine wametunukiwa Master of Arts degree nao ni Rev. Kishe Dismas Mhando - na Rev. Kaanasia Geofrey Msangi, pia Rev. Martha Ernest Ambarang'u wa Dayosis ya Ziwa Victoria Shinyanga ametunukiwa Masters of Arts degree katika...

 

(Yesterday)

Michuzi

Marekani yalegeza vikwazo dhidi ya kampuni ya Huawei


Serikali ya Marekani imeondoa kwa muda vikwazo vya kibiashara ilivyoweka wiki iliyopita dhidi ya kampuni ya simu ya China Huawei.Hatua  hiyo inayolenga kupunguza hali ya kuvurugwa wateja wake wanaotumia simu za kampuni hiyo.


Mwasisi wa kampuni hiyo anayesema kuwa Huawei ilikuwa imejiandaa kwa hatua ya Marekani.


Wizara ya Biashara ya Marekani itairuhusu kampuni ya Huawei kununua bidhaa zinazotengenezwa Marekani kwa siku nyingine 90 ili kudumisha mitandao iliyopo na kutoa programu tumishi mpya...

 

(Yesterday)

Malunde

IRAN YASEMA MAREKANI HAIWEZI KUIANGAMIZA


Waziri wa mambo ya nje wa Iran Mohammed Javad Zarif amesema kile alichokiita ''kejeli za maangamizi'' za rais wa Marekani Donald Trump haziwezi kuimaliza Iran. 

Kupitia mtandao wa Twitter, Zarif amesema Iran imesimama imara kwa maelfu ya miaka, wakati maadui wake wote wakiwa wametoweka. 
Haya Zarif anayasema wakati mvutano ukizidi kushamiri baina ya nchi yake na Marekani, na onyo la Trump kwamba ikiwa Iran haitaacha kuitishia Marekani, basi mwisho rasmi wa Iran utakuwa umewadia. 
Mahusiano...

 

(Yesterday)

Michuzi

WACHUNGAJI WALA NONDOZZZZ MINNESOTA, MAREKANI

Wachungaji watatu kutoka KKKT DMP na mmoja kutoka KKKT Dayosisi ya Ziwa Victoria  Shinyanga Wamehitimu katika Chuo Kikuu cha Luther Seminary Minnesota USA tarehe 19/05/2019 kama ifuatavyo:-  Rev. Dr. Ernest William Kadiva ametunukiwa Phd - Doctor of Ministry,  Wengine wametunukiwa Master of Arts degree nao ni Rev. Kishe Dismas Mhando - na Rev. Kaanasia Geofrey Msangi, pia Rev. Martha Ernest Ambarang'u wa Dayosis ya Ziwa Victoria Shinyanga ametunukiwa Masters of Arts degree katika mahafali ya...

 

2 days ago

VOASwahili

Huawei yasema imejitayarisha kukabiliana na katazo la Marekani

Mwanzilishi, ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya China, Huawei – Ren Zgengfei, amesema kampuni hiyo imekuwa ikijitayarisha kukabiliana na katazo la biashara lililotolewa na Marekani.

 

2 days ago

Malunde

MAREKANI YATISHIA KUIANGAMIZA IRAN


Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kuizuia Iran kuwa na silaha za nyuklia saa chache baada ya kutishia kuiangamiza kufuatia matamshi ya kikosi cha walinzi wa Mapinduzi cha nchini Iran kwamba hawahofii vita.

Aidha Saudi Arabia imeionya Iran kuwa itajibu hatua za uchokozi kwa nguvu zote na kuiambia ni jukumu lake kuhakikisha inazuia vita.
Rais Trump alipozungumza na kituo cha televisheni cha Marekani cha Fox News amesema  hapendelei mvutano, lakini hatukubali kuiruhusu Iran kuwa na silaha za...

 

2 days ago

CCM Blog

MELI ZA KIVITA ZA MAREKANI ZAFIKA MIPAKA YA CHINA,

Meli za kivita za Marekani zafika mipaka ya China, hali ya taharuki yaendeleaJeshi la Marekani limetuma meli zake za kivita ambazo zimefika karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China katika hatua ambayo imewakasirisha wakuu wa Beijing na hivyo kupelekea hali ya taharuki kuendelea baina ya nchi hizo mbili ambazo tayari ziko katika vita vya kibiashara.Msemaji wa Jeshi la Marekani Clay Doss amethibitisha kuwa meli za kivita za Marekani zimepita karibu na visiwa vya China Jumatatu hii.Eneo hilo muhimu la bahari limekuwa chimbuko la mvutano mkubwa kati ya...

 

2 days ago

Zanzibar 24

Wasiwasi watanda kati ya Marekani na Iran Donald Trump asema ” Tukipigana na Iran itakuwa mwisho wa taifa hilo”

Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Iran kwamba itaharibiwa iwapo vita vitazuka katika ya mataifa hayo mawili. ”Iwapo Iran inataka kupigana , huo nduo utakuwa mwisho rasmi wa taifa hilo” , alisema katika jumbe wa Twitter siku ya Jumapili. ”Musijaribu kuitisha Marekani tena”. Ujumbe huo wa Twitter wa bwana Trump unaadhimisha kubadilika kwa msimamo baada ya jaribio la hivi karibuni la la kuficha uwezekano wa vita kati ya mataifa hayo mawili.

Kwa mujibu wa BBC. Siku chache zilizopita ,...

 

2 days ago

BBCSwahili

Rais wa Marekani asema vita dhidi ya Iran itakuwa mwisho wake huku wasiwasi kati ya mataifa hayo ukiendelea

Rais huyo wa Marekani ametoa onyo huku wasiwasi kati ya Washington na Tehran ukiendelea

 

3 days ago

BBCSwahili

Mauzo ya picha yavunja rekodi Marekani

Mchoro ambao umeuzwa kwa dola milioni 110 mjini New York wavunja rekodi.

 

4 days ago

BBCSwahili

Je, Marekani na Iran zinakaribia kukabiliana kivita?

Vita vinanukia wakati huu kuliko kipindi kingine chochote toka Donald Trump alipochukua hatamu za uongozi Marekani.

 

4 days ago

MwanaHALISI

Kachero CIA afungwa kwa kuipa China siri za Marekani

AFISA wa Zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA), Kevin Mallory (62) amefungwa miaka 20 jela kwa kosa la kutoa siri za taifa hilo kwa wakala wa China. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Katika kesi iliyokuwa ina mkabili kwenye Mahakama ya Idara ya Haki, Mallory alikutwa na hatia ya makosa kadhaa ya upelelezi, kutokana ...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani