8 months ago

BBCSwahili

GNB: Waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte aonyesha ukarimu

Waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte alichukua kitambaa na kufuta chai aliyokuwa ameimwaga kwa bahati mbaya.

 

9 months ago

BBCSwahili

Mark Zuckerberg aomba radhi

Mtendaji mkuu wa mtandao wa kijamii Facebook asema kampuni yake iko kwenye mapambano na Urusi

 

10 months ago

Malunde

MMILIKI WA FACEBOOK MARK ZUCKERBERG AOMBA RADHI WATEJA WAKE

Mwanzilishi wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Mark Zuckerberg, kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica, inayotuhumiwa kuingilia data za watumiaji milioni 50 wa  mtandao huo, ameibuka na kudai kwamba wamefanya makosa.
Katika ujumbe wake kupitia ukurasa wake wa Facebook, Zuckerberg bila kuomba radhi kwa kile kilichotokea, amesema kitendo hicho kimewavunjia uaminifu. Hivyo kutokana na hali hiyo ameahidi kufanyika mabadiliko kadhaa ili kutoingiliwa wala kudukuliwa...

 

10 months ago

RFI

Mmiliki wa Facebook Mark Zuckerberg aomba radhi kwa watumiaji wake

Mkurugenzi mkuu na mmliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amevunja ukimya juma hili kuhusu kashfa iliyoikumba kampuni yake ambapo ameomba radhi kutokana na "kuvunja uaminifu" na weteja wake zaidi ya bilioni moja na kuapa kutorudia makosa yaliyojitokeza.

 

10 months ago

BBCSwahili

Mark Zuckerberg aomba radhi kwa kashfa ya Analytica

Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg kwa mara ya kwanza tangu kuzuka kwa kashfa ya Cambridge Analytica,ameibuka na kudai kwamba wamefanya makosa

 

11 months ago

BBC

South Africa: Ramaphosa stamps mark with cabinet reshuffle

The new South African president rejigs his cabinet and reappoints Nhlanhla Nene to finance minister.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani