3 days ago

RFI

Marufuku ya maandamano yaondolewa Kenya

Nchini Kenya Mahakama ya Juu imeondoa marufuku ya kuandamana dhidi ya tume ya uchaguzi ya chi hiyo IEBC. Mahakam inasema uamuzi huo ni wa muda.

 

4 days ago

BBCSwahili

Mahakama yaondoa marufuku ya maandamano Kenya

Msemaji wa Odinga anasema wanasitisha maandamano leo kuonyesha huruma kwa wale waliojeruhiwa na polisi wakati wa maandamano.

 

1 week ago

Channelten

Hali ya Kisiasa Nchini Kenya, Serikali yapiga marufuku maandamano baadhi ya maeneo

bomet_university_title_deed_legal_says_cs_matiangi_29089_L

Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku maandamano ya wafuasi wa upinzani NASA katikati ya miji nchini humo.

Waziri wa Usalama na Mambo ya ndani Fred Matiang’i, amesema maandamano hayo hayataruhusiwa katikati ya jiji la Nairobi, Mombasa na Kisumu.

Matiang’i ameongeza kuwa hatua hii imechukuliwa baada ya baadhi ya waandamanaji wa upinzani kupora mali ya watu katika miji hiyo siku ya Jumatano.

Aidha, Waziri huyo amefafanua kuwa serikali haiwezi kuzuia maandamano kwa sababu ni haki ya...

 

1 week ago

VOASwahili

Serikali Kenya yapiga marufuku maandamano

Wakati vyama vya upinzani nchini Kenya vikiahidi kufanya maandamano wakidai kuwepo mabadiliko kabla ya marejeo ya uchaguzi wa urais kufanyika, serikali imepiga marufuku maadamano katika miji mikuu mitatu.

 

1 week ago

Zanzibar 24

Maandamano yapigwa marufuku katika miji mikuu Kenya

Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu.

Kaimu waziri wa usalama Dkt Fred Matiang’i amesema wanaopanga maandamano wanafaa kuwajibishwa kutokana na uharibifu wa mali unaotokea wakati wa maandamano.

Hatua ya Dkt Matiang’i imetokea huku muungano wa upinzani National Super Alliance (Nasa) unaoongozwa na bwana Raila Odinga ukiendelea na maandamano ya kushinikiza mageuzi katika Tume ya Uchaguzi (IEBC).

Jumatano, visa vya...

 

1 week ago

RFI

Serikali ya Kenya yapiga marufuku maandamano ya upinzani katikati ya miji

Serikali ya Kenya imetangaza kupiga marufuku maandamano ya wafuasi wa upinzani NASA  katikati ya miji  nchini humo.

 

1 week ago

BBCSwahili

Serikali Kenya yapiga marufuku maandamano miji mikuu

Serikali nchini Kenya imepiga marufuku maandamano katika maeneo ya katikati mwa miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

UN yapiga marufuku meli nne juu ya Korea Kaskazini

Umoja wa Mataifa umepiga marufuku meli nne dhidi ya kufika kwenye bandari za kimataifa baada ya kubainika kwamba zilikiuka vikwazo vilivyowekewa Korea Kaskazini na umoja huo.

 

2 weeks ago

Michuzi

MARUFUKU KUWAKAMATA WAUGUZI BILA YA KUFUATA TARATIBU-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya baadhi ya viongozi katika maeneo mbalimbali nchini kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wakiwemo wauguzi bila ya kufuata taratibu.
Pia amewataka wauguzi nchini kufanya kazi kwa weledi, uaminifu pamoja na kufuata maadili ya taaluma yao kwa kuwa maisha ya wagonjwa yako chini yao.Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumatano, Oktoba 04, 2017) wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 45 wa Chama cha Wauguzi Tanzania, mkoani Lindi.
“Naagiza...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Dele Alli apigwa marufuku kwa kuonyesha ishara ya kidole cha kati

Kiungo wa kati wa Uingereza Dele Alli amepigwa marufuku kutoshiriki mechi moja ya kimataifa kufuatia hatua yake ya kuonyesha ishara ya kidole cha kati

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Mavazi ya niqab na burka yapigwa marufuku Austria

The government says the law, which comes ahead of elections, is designed to protect Austrian values.

 

3 weeks ago

Channelten

Cameroon yapiga marufuku Mikutano maeneo yanayozungumza Kiingereza

516757DF-6DDF-45D9-BEB9-A8EA4DD31A70_mw1024_mh1024_r1_s

Maafisa nchini Cameroon hapo wamepiga marufuku kwa siku tatu mfululizo, mikutano yoyote ya kuanzia watu wanne na zaidi, katika mkoa wake unaozungumza lugha ya Kiingereza.

Aidha wameamuru kufungwa kwa vituo vya mabasi, migahawa na maduka na kupiga marufuku mizunguko ya watu katika maeneo ya mkoa huo.

Hatua hiyo inalenga kuzuia maandamano ambayo yamepangwa na Wacameroon wanaozungumza Kiingereza kesho-Jumapili, kwa kile wanachosema ni maovu dhidi yao na kutengwa na serikali ya rais Paul Biya,...

 

3 weeks ago

Michuzi

DC WA KAKONKO KANALI NDAGALA APIGA MARUFUKU UNYANYASAJI KWA WAZEE,KUWATUHUMU WANAZUIA MVUA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.
MKUU wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala amewaagiza Wananchi wa Wilaya ya Kakonko kuacha tabia ya kuwatuhumu baadhi ya wazee kuwa Wanazuia Mvua na kutaka kuwaondoa ikiwa ni pamoja na kuwauwa kwa kwa imani za kishirikina , na vikundi vitakavyo gundulika vinawatuhumu watachukuliwa hatua ili kukomesha vitendo hivyo.

Akizungumza na Wananchi jana katika maadhimisho ya siku yaWazee Wilayani humo katika kijiji cha Kasanda ,Ndagala alisema kumekuwa na tabia ya...

 

3 weeks ago

Michuzi

MARUFUKU SHULE MKOANI SINGIDA KUNUNUA CHAKI NJE YA MKOA-RC NCHIMBI

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amepiga marufuku Shule zote Mkoani Singida kuagiza chaki nje ya Mkoa kwakuwa kuna viwanda vinavyozalisha chaki bora mkoani hapa.
Dkt Nchimbi ametoa katazo hilo mara baara ya kufanya ziara katika viwanda viwili vinavyozalisha chaki katika halmashauri ya Itigi na kushuhudia chaki yenye ubora ikiwa imezalishwa kwa wingi na ikiwa haijapata soko.
“Hawa wenye viwanda wamejitahidi kuzalisha chaki bora haina vumbi na inauzwa kwa bei sahihi lakini shule zetu...

 

3 weeks ago

Malunde

JESHI LA POLISI TANGA LAPIGA MARUFUKU VIGODORO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga R.P.C Benedict Michael Wakulyamba, amepiga marufuku Vigodoro ndani ya jiji hilo kutokana na vitendo hivyo kuhamasisha uhalifu.
Akiongea ofisini kwake Kamanda Benedict amesema miongoni mwa viashiria vya uvunjivu wa amani ni Vigodoro, ambavyo vinatumika kukusanya vijana wenye umri mdogo wakijiandaa kufanya uhalifu.

“Miziki ya kigodoro ni miziki ambayo ukiangalia namna inavyochezwa na hata washiriki wake ni vijana ambao wanatumia kama sehemu ya maficho kwaajili ya...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani