(Yesterday)

Malunde

Angali Picha: MASELE MBELE YA KAMATI YA BUNGE DODOMA


Mbunge wa Shinyanga mjini (CCM) na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele akiwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge jijini Dodoma kujibu tuhuma za utovu wa nidhamu zinazomkabili

 

(Yesterday)

Michuzi

MASELE AFIKA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE JIJINI DODOMA LEO

Mbunge wa Shinyanga Mjini, Mhe. Stephen Masele akielekea mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kujibu tuhuma zinazomkabili za utovu wa nidhamu tukio lililofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Mhe. Stephen Masele akifika mbele ya kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa ajili ya kujibu tuhuma zinazomkabili za utovu wa nidhamu kabla ya kikao kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

 

(Yesterday)

Malunde

Mbunge wa Shinyanga mjini na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Masele Ameshafika Bungeni Tayari Kwa Kuhojiwa

Spika wa Bunge,Job Ndugai ameitaka Kamati ya Kudumu ya Haki,Maadili na Madaraka Bunge kwenda kumuhoji Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Afrika,Stephen Masele.
Agizo hilo amelitoa Leo Mei 20 wakati Wabunge wakichangia mjadala wa Wizara ya Kilimo.
“Nawaomba Kamati ya Maadili mwende sasa maana Mheshimiwa Masele ameishafika,” amesema Spika Ndugai.

 

3 days ago

Malunde

Picha : STEPHEN MASELE ARUDI TANZANIA BAADA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA (PAP) KUFUNGWA


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mhe. Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini amerudi nchini Tanzania baada ya Mkutano wa Bunge la Afrika uliokuwa unaendelea jijini Johannesburg,Afrika Kusini tangu Mei 6,2019, kufungwa leo Ijumaa Mei 17,2019.

Mhe. Masele ambaye ni Mkuu wa Utawala PAP alikuwa anahudhuria mkutano wa bunge la Afrika na baada ya kukamilisha majukumu yaliyompeleka sasa amerejea nyumbani Tanzania huku wabunge wengine waliokuwa wakishiriki mkutano nao...

 

3 days ago

Malunde

MCHUNGAJI MSIGWA AHOJI UHALALI WA SPIKA NDUGAI KUMSIMAMISHA MASELE BUNGE LA AFRIKA


Makamu wa kwanza wa rais wa Bunge la Afrika,Mhe.Stephen Masele akiwa ofisini kwake katika makao makuu ya Bunge la Afrika,Johannesburg nchini Afrika Kusini***Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amehoji nafasi ya wabunge wanaochaguliwa na Bunge kuwawakilisha katika mabunge mbalimbali duniani kusimamishwa na Spika bila uamuzi huo kujadiliwa na waliowachagua.
Akizungumza bungeni leo Ijumaa Mei 17, 2019 baada ya kuomba mwongozo kwa mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, mbunge...

 

4 days ago

Malunde

CHADEMA WAZUNGUMZIA SINTOFAHAMU INAYOENDELEA BUNGE LA AFRIKA (PAP) , SPIKA NDUGAI NA MASELE


Makamu wa rais wa Kwanza wa rais wa Bunge la Afrika,Mhe. Stephen Masele akiendelea na shughuli za bunge la Afrika leo Mei 16,2019,Midrand,Johannesburg nchini Afrika Kusini, juu ni Rais wa Bunge la Afrika,Mhe. Roger Nkodo Dang akiendesha kikao cha bunge .

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEOTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kumekuwa na taarifa zinazosambaa katika njia mbalimbali za upashanaji habari mitandaoni na baadae kwenye vyombo vya habari tangu asubuhi ya leo kuhusu kile kinachoonekana kuwa ni...

 

5 days ago

MwanaHALISI

Masele ashusha mashambulizi

STEPHEN Masele, Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP), ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) amesema, hana tabia ya kueleza jambo kwa namna anavyopenda mtu isipokuwa kwa uhalisia wake. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). “…kama unafikiri nitakwenda kukuambia kile unachotaka kusikia, siko hivyo kwasababu nitakwenda kukueleza kile ninachokiona,” ameandika Masele kwenye ukurasa wake ...

 

5 days ago

Malunde

Spika Ndugai Atangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele kwenye Bunge la Afrika (PAP) Kwa Utovu Wa Nidhamu

Spika Job Ndugai ametangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele kwenye Bunge la Afrika (PAP) ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Bunge hilo kwa tuhuma za utovu wa nidhamu mpaka atakapohojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge.


Ndugai ametangaza uamuzi huo leo Alhamisi, Mei 16, 2019 wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma.

“Tunao wabunge wanaotuwakilisha kwenye mabunge mbalimbali ya Afrika ikiwemo SADC, Pan African Parliament (PAP), African Caribbean Pacific, Bunge la Afrika Mashariki na...

 

5 days ago

Michuzi

NEWZ ALERT: SPIKA NDUGAI ASITISHA UWAKILISHI MAKAMU WA KWANZA WA RAIS BUNGELA AFRIKA,STEPHEN MASELE

SPIKA wa Bunge Mhe. Job Ndugai, amesitisha uwakilishi wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Stephen Masele katika bunge hilo kuanzia leo Mei 16, 2019.

Sababu za hatua hiyo, Mhe. Ndugai amesema ni kutokana na utovu mkubwa wa kinidhamu ulioonyeshwa na Mhe. Masele ikiwemo kukaidi kurejea nyumbani kutokana na vitendo hivyo ili ahojiwe na Kamati ya Bunge ya Haki maadili na madaraka ya bunge.

Kwa sasa Mhe. Masele hyuko nchini Afrika Kusini akiongoza vikao vya bunge la Afrika...

 

1 week ago

Malunde

UCHAGUZI MKUU AFRIKA KUSINI 2019: MASELE AMPONGEZA MALEMA KWA KUONGEZA VITI BUNGENIMakamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika Mheshimiwa Stephen Masele amempongeza kupitia ukurasa wake wa tweeter kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) Julius Malema kwa kupata viti vingi vya ubunge kwenye uchaguzi mkuu nchini Afrika Kusini uliofanyika Mei 8 2019.


Ukilinganisha na ushindi waliopata miaka mitano iliyopita. EFF ndio chama pekee kilichoongeza viti vingi ukilinganisha  na vyama vikongwe kama ANC iliyopoteza viti 19 na Chama Cha DA Pia kimepoteza viti 6. 

Malema...

 

2 weeks ago

Malunde

MASELE AIKINGIA KIFUA SERIKALI YA TANZANIA KWENYE BUNGE LA AFRIKA


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika,Mheshimiwa Stephen Masele akisisitiza jambo wakati akiongoza kikao cha Bunge la Afrika leo Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini.Picha na Kadama Malunde- Malunde1 blog
***Makamu wa Kwanza wa Rais wa Bunge la Afrika,Mheshimiwa Stephen Masele ameipongeza serikali ya Tanzania kwa kuchukua hatua za haraka kusaidia nchi za Kusini mwa Afrika (Msumbiji,Malawi na Zimbabwe) zilizoathirika na Kimbunga cha Idai. 
Mheshimiwa Masele ambaye pia ni Mbunge wa...

 

2 weeks ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI BUNGE LA AFRIKA YAKUTANA NA MABALOZI WA AFRIKA, MASELE AFUNGUKA KUHUSU UBAGUZI NA UNYANYASAJI WA WAGENI

Kamati ya uongozi ya Bunge la Afrika ‘The Pan African Parliament Bureau’ imekutana na Mabalozi ‘Ambassadors’ wanaowakilisha mataifa mbalimbali barani Afrika katika nchi ya Afrika Kusini kujadili masuala kadha wa kadha kuhusu bara la Afrika. Mkutano huo ukiongozwa na Rais wa Bunge la Afrika,Mheshimiwa Roger Nkodo Dang kutoka Cameroon, umefanyika leo Ijumaa Mei 3,2019 katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Bunge la Afrika kama sehemu ya mkutano wa maandalizi ya Mkutano wa Pili wa Bunge la Tano la...

 

12 months ago

Malunde

Picha: MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA STEPHEN MASELE APOKELEWA KWA SHANGWE JIMBONI KWAKE SHINYANGA

Makamu wa rais wa Bunge la Afrika,Mheshimiwa Stephen Masele ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini (CCM) amepokelewa kwa shangwe Mjini Shinyanga alipofika kuzungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara.

Mheshimiwa Masele aliyekuwa ameambatana na wabunge wanne akiwemo Mbunge wa Jimbo la Msalala Ezekiel Maige,Mbunge wa Manonga Seif Gulamali,Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma Jackline Msongozi na mbunge wa Babati Vijijini mkoani Manyara Jitu Son,amefanya mkutano wa hadhara katika...

 

12 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MHE. STEPHEN MASELE (MB) NA MHE. MBONI MHITA (MB)

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati)akizungumza na Mbunge wa Shinyanga mjini Mhe. Stephen Masele ambaye hivi karibuni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika pamoja na Mbunge wa Jimbo la Handeni Vijijini Mhe. Mboni Mhita ambaye pia amechaguliwa kuwa  Rais wa Caucus ya Vijana ya Bunge la Afrika , ofisini kwa Makamu wa Rais , Kilimani Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....

 

12 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia  amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani