6 months ago

Michuzi

Tanzania kuwa mwenyeji wa Michezo ya pili ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games 2018)

Michezo ya pili ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games 2018) inatarajia kutimua vumbi jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6 mpaka 12 mwaka huu katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambapo nchi 14 tayari zimethibitisha kushiriki. 

 Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maandalizi ya Michezo hiyo, Mkuu wa Utawala ndani ya Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi Leonard Paul  (angalia video) amesema lengo la...

 

6 months ago

Michuzi

POLISI TANZANIA KUANDAA MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Jeshi la Polisi.Michezo ya pili ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games 2018) inatarajia kutimua vumbi jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6 mpaka 12 mwaka huu katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,  ambapo nchi 14 tayari zimethibitisha kushiriki. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maandalizi ya Michezo hiyo kinachofanyika jijini Dar es Salaam kwa siku mbili, Mkuu wa Utawala ndani ya Jeshi la Polisi,...

 

6 months ago

BBCSwahili

Forbes yawaorodhesha vijana wa Afrika mashariki wanaotarajiwa kuwa mabilionea

Jarida la Forbes limewaorodhesha vijana wa Afrika mshariki wanotarajiwa kuwa mabilionea katika siku za usoni.

 

6 months ago

Michuzi

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yakabidhiwa jukumu la kuisimamia Bodi ya Ushauri ya Masuala ya rushwa ya Umoja wa Afrika

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda akisaini hati ya kukubali rasmi kupokea jukumu la kuisimamia Bodi ya Ushauri kuhusu Masuala ya rushwa ya Umoja wa Afrika Mashariki. Kushoto ni Bw.Valentino Mlowola Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambaye alikabidhi majukumu ya usimamizi wa Bodi hiyo kwa Wizara.Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa jijini Arusha.Bodi hii yenye...

 

6 months ago

Michuzi

UKUSANYAJI WA MAPATO KATIKA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAONGEZEKA HADI KUFIKIA ASILIMIA 16

Na Veronica Kazimoto,Zanzibar 
Wastani wa ukusanyaji wa mapato katika kipindi cha miezi 10 ya Mwaka wa Fedha 2017/18 katika Jumuiya ya Afrika Mashariki umeongezeka hadi kufikia asilimia 16 ukilinganisha na asilimia 14 katika kipindi kama hicho cha 2016/17. 
Hayo yamesemwa na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere baada ya kumaliza Kikao cha 44 cha Makamishna Wakuu wa Mamlaka za Mapato za Jumuiya hiyo kilichofanyika tarehe 29 hadi 30 Mei, 2018 katika Ukumbi wa...

 

7 months ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YANG'ARA TUZO YA BENKI BORA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

 Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
TUZO kwa benki bora Afrika mwaka 2018 zimetolewa jijini Busan Korea Kusini huku aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)Profesa Benno Ndulu na Benki ya CRDB wakitwaa tuzo.
Hivyo tuzo hizo zimetolewa katika mkutano wa mwaka wa benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) na kusherekea maendeleo na huduma za benki barani Afrika.

Katika tuzo hizo aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)Profesa Benno  Ndulu ametwaa tuzo ya Gavana Bora Afrika 2018 na hiyo ni...

 

7 months ago

Michuzi

Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yapitishwa na Bunge


   Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisoma hotuba ya bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2018/2019 bungeni jijini Dodoma. 
Mapema leo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepisha kiasi cha Shilingi Bilioni Mia Moja Sabini na Saba, Milioni Sita na Mia Mbili Thelathini na Mbili Elfu.
Kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni Mia Moja Sitini na Sita, Milioni Mia Sita na Sita, na Mia Mbili Thelathini na Mbili Elfu ni kwa ajili ya...

 

7 months ago

Zanzibar 24

Wanawake wa Rwanda na Kenya wataishi muda mrefu zaidi Afrika Mashariki

Wanawake nchini Rwanda na Kenya ndio wanaotarajiwa kuishi muda mrefu zaidi miongoni mwa wanawake na wanaume katika nchi za Afrika Mashariki, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Shirika la Afya duniani (WHO).

Umri wa wanawake kuishi Rwanda kwa sasa ni miaka 69.3 na nchini Kenya ni miaka 69.0.

Hata hivyo, umri wa kuishi wa wanaume Uganda ndio ulioongezeka zaidi katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita, ambapo umepanda kwa miaka 13.5.

Nchini Tanzania, umri wa kawaida wa...

 

7 months ago

BBCSwahili

Utafiti: Wanawake wa Rwanda na Kenya ndio wataishi muda mrefu zaidi Afrika Mashariki

Wanawake nchini Rwanda na Kenya ndio wanaotarajiwa kuishi muda mrefu zaidi miongoni mwa wanawake na wanaume katika nchi za Afrika Mashariki, kwa mujibu wa takwimu.

 

7 months ago

BBCSwahili

Uganda yapongezwa kwa kuendeleza Kiswahili Afrika mashariki

Zaidi ya watu milioni 15 hutumia lugha hiyo kama lugha ya kwanza huku nchi nyengine wakitumia Kiswahili kama lugha ya pili au ya tatu.

 

7 months ago

Michuzi

Wabunge wa Afrika Mashariki wamtembelea Balozi Chikawe - Tokyo

 Wabunge hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chapter ya Tanzania hivi kariuni wamezuru Ubalozi wa Tanzania Tokyo,nchini Japan,wakiwa kwenye ziara ya wiki moja nchini humo. Pichani kushoto ni Ndugu Charles Mchome ambaye ni Mtanzania anayeishi Japan na ni Mdau wa globu ya Jamii.Pichani kushoto ni Dkt Abdullah Hasnuu Makame,Balozi Mathias Chikawe,Mheshimiwa Josephine Lemoyan pamoja na Mhandisi Mohamed Habib Mnyaa wakiwa katika picha ya pamoja.

 

7 months ago

VOASwahili

Amnesty International yasema vyombo vya habari Afrika Mashariki mashakani

Leo ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari na wanaharakati wanadai kuwa uhuru huo katika nchi za Afrika Mashariki umepungua.

 

8 months ago

Zanzibar 24

JPM achambua changamoto Jumuiya Afrika Mashariki

Rais John Magufuli amesema wabunge wa Afrika Mashariki wamechaguliwa katika kipindi ambacho jumuiya hiyo imepiga hatua kubwa kimaendeleo lakini inakabiliwa na changamoto nyingi.

Akihutubia Bunge la Afrika Mashariki (Eala) jana mjini hapa, Rais Magufuli alisema ukanda wa Afrika Mashariki unasifika kwa ukuaji wa uchumi, huku nchi hizo zikiondoa vikwazo vya uchumi na uwekezaji.

Hata hivyo, alisema bado kuna changamoto katika jumuiya hiyo,

“Bado inakabiliwa na changamoto kadhaa ambazo nyinyi...

 

8 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI (EALA) KATIKA UKUMBI WA MSEKWA MKOANI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Martin Ngoga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki linalofanyika kwa mara ya kwanza katika makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa Bunge wa Msekwa kwa ajili ya kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki mjini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya...

 

8 months ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA YA MASHARIKI WANAOIWAKILISHA TANZANIA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Bunge la  Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha  Tanzania, Ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 23, 2018.  Kutoka kushoto ni Josephine Lemoyan,  Happiness Lugiko, Mhandisi Habibu Mnyaa, Mariam Ussi Yahya, Alhaj Adam Kimbisa, Fancy Nkuhi na Dkt. Abdullah Hasnuu Makame. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha Tanzania baada ya...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani