8 months ago

Malunde

ALI KIBA AELEZA SABABU YA KUMGEUZIA MKONO DIAMOND MSIBA WA MASOGANGE

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amefunguka kuhusu namna alivyosalimiana na msanii mwenzake, Nassib Abdul au Diamond kwa kumgeuzia mkono walipokutana katika msiba wa Masogange kwenye viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es Salaam.

Wawili hao walipokutana, Alikiba badala ya kumpa kiganja cha mkono kama ilivyozoeleka, alimpa mkono kwa kuugeuza jambo ambalo liliibua mjadala katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa Mei 11, 2018 katika kipindi cha 360 kinachorushwa na...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Steve Nyerere Afunguka familia ya Agness Masogange kutopewa michango ya marehemu

Msanii wa filamu bongo ambaye pia ni mchekeshaji maarufu Steve Nyerere, amefunguka juu ya tuhuma za kutofikisha fedha za michango zilizobaki kwenye msiba wa Agness Masogange, na kusema kuwa pesa hizo haziwezi kupewa familia.

Akizungumza na Eatv.tv Steve Nyerere amesema kwamba pesa hizo ambazo zimetajwa kuwa milioni mbili zimekusudiwa kumsaidia mtoto wa marehemu Sania, atakapoanza kidato cha kwanza hapo mwakani. Ameendelea kwa kusema kwamba familia ya Agness inapaswa...

 

9 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Masogange Buried in Home Village


Tanzania: Masogange Buried in Home Village
AllAfrica.com
Mbeya — Artiste and socialite Agnes Gerald aka Masogange was buried yesterday in her home village of Utengule in Mbalizi District, Mbeya Region. During the burial, the owner of St Patrick Secondary School of Dar es Salaam, Mr Ndele Mwaselela ...

 

9 months ago

Malunde

KUHUSU TOFAUTI YA MASOGANGE ALIYEKUWA HAI NA MASOGANGE MAREHEMU

Agnes Gerald halikuwa jina maarufu sana. Wengi walimfahamu kwa jina la Masogange. Mbali na kupata umaarufu kwa kupamba video za wasanii, ujio wa mtandao wa Instagram ulilikuza jina lake. Ukitafuta jina Masogange katika mtandao huo zinakuja kurasa zaidi ya 50 zote zikiwa zimesheheni wafuasi wa kutosha.

Umbile lake zuri lilipamba kurasa hizo ingawa miongoni mwa wengi alionekana mwanamke asiye na maadili. Wapo ambao hawakupendezwa na mavazi yake na namna alivyoanika maungo yake.

Kwa wengine...

 

9 months ago

Malunde

MAELFU WAJITOKEZA KUMZIKA MASOGANGE HUKO MBEYA ,TAZAMA PICHA & VIDEO HAPA

Safari ya mwisho duniani ya aliyekuwa msaani maarufu aliyekuwa akipamba video za wanamuziki wa Bongo fleva, Agnes Gerald 'Masogange' imehitimishwa jana saa tisa alasiri bada ya kuhifadhiwa kwenye nyumba ya milele nyumbani kwa wazazi wake Utengule – Mbalizi mkoani Mbeya.


Maelfu ya waombolezaji kutoka Dar es salaam na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Mbeya walijitokeza wakiongozwa na Mkuu wa mkoa huo, Amos Makalla.

Akitoa salamu za rambirambi kutoka serikalini, Makalla amesema hakuna mtu...

 

9 months ago

MwanaHALISI

Ujumbe mzito wa kifo cha Masogange

JULIUS Mtatiro, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF ameandika ujumbe mzito wenye kufikirisha wengi juu ya msiba wa Agnes Gerrald “Masogange.’ Mtatiro ameandika ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa Facebook, akieleza maisha ya mrembo huyo huku akiwataja baadhi ya watu ambao walimtumia vibaya binti huyo na kumwacha anafariki bila kula matunda yake. Soma kwa ...

 

9 months ago

Malunde

Picha : MATUKIO YANAYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MASOGANGE NYUMBANI KWAO MBEYA

Mwili wa Agnes Gerald ‘Masogange” tayari umewasili nyumbani kwao eneo la Utengule-Mbalizi mkoani Mbeya.

 

9 months ago

Malunde

DIAMOND PLATNUMZ NA ALI KIBA WAKUTANA USO KWA USO MSIBA WA MASOGANGE


Wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba wamekutana katika msiba wa Agnes Masogange na kusalimiana.

Mara baada ya wasanii hao kusalimiana kwa kupeana mikono wakiwa katika meza kuu, waombolezaji waliojaa kwenye Viwanja vya Leaders walipiga kelele.

Diamond alimsalimia Kiba kwa kumpa mkono,baada ya tukio hilo, MC Pilipili alisikika akisema: “Unaona sasa, hawana ugomvi hawa.”

Kumekuwa na taarifa za wanamuziki hao kuwa na ugomvi kwa muda mrefu ambao hata hivyo, unatajwa...

 

9 months ago

Malunde

Picha : MWILI WA AGNES MASOGANGE UKIAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB DAR


Leo Aprili 22, 2018 mwili wa Agnes Gerald Masogange unaagwa katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kisha kusafirishwa kwenda kwao Mbeya kwa ajili ya mazishi.

Masogange alifariki dunia Ijumaa Aprili 20, 2018 saa 10 jioni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ‘pneumonia.‘

 

9 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI AMLILIA AGNES MASOGANGE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Agnes Gerald Waya kufuatia kifo cha mtoto wao Agness alimaarufu kama Masogange kilichotokea Ijumaa.
Rais Magufuli ametuma salamu hizo kupitia kwa Mwenyekiti Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM Bw. Kheri James na kusema kuwa amesikitishwa sana na kifo cha binti huyo kwani kifo chake kinapunguza idadi ya vijana ambao ndiyo jeshi na watu ambao wanaweza kufikisha mbali taifa. 
"Kupitia jukwaa hili...

 

9 months ago

Michuzi

KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB: MAANDALIZI YA KUANGA MWILI WA AGNES MASOGANGE YAENDELEA

 Jeneza lenye mwili wa video queen nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, likiwekwa sawa tayari kwa zoezi la kuaga mwili huo, katika viwanja vya Leaders Club, jijini Dar es salaam hivi sasa. Mwili wa Masogange unatarajiwa kuzikwa kesho huko kijijini kwao, Utengule, jijini Mbeya. Sehemu ya Wasanii wa filamu na Muziki nchini, wakiwa wamejumuika pamoja katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar kuomboleza msiba wa video queen nchini na muigizaji wa...

 

9 months ago

BBCSwahili

Mlimbwende Agnes Masogange kutoka Tanzania aaga dunia

Mlimbwende mnogesha video za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Agnes Gerald Alias Masogange ameaga dunia

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani