2 weeks ago

Channelten

RC Mbeya atoa miezi mitatu kwa Halmashauri ya Mbeya kuacha tabia ya kutoa maamuzi yanayosababishia serikali hasara adai atamshauri Raisi kuivunja isipojirekebisha

1

Halmashauri ya Mbeya imepewa miezi mitatu kubadili mwenendo wake wa kutoa maamuzi yasiyofuata kanuni, taratibu na sheria, kwa maelezo kuwa yamekuwa yakiingizia serikali hasara ya mamilioni ya shilingi ambapo mkuu wa mkoa Amos Makala pia ameonya kuwa ikiwa itashindwa kujirekebisha atashauri mamlaka husika kuichukulia hatua ikiwa ni pamoja na kuivunja.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amosi Gabriel Makala amefikia hatua hiyo baada ya uongozi wa halmashauri ya Mbeya , kudaiwa kukaidi ushauri inaopewa na...

 

3 weeks ago

Michuzi

WAKAZI WA MBEYA WAASWA KUACHA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.


Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu.

Aidha Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na matukio makubwa ya uhalifu pamoja na wahalifu. Jitihada zinaendelea kwa...

 

4 weeks ago

Michuzi

4 weeks ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Sai Baba Bus Casualties Admitted in a Mbeya Mission Hospital


Tanzania: Sai Baba Bus Casualties Admitted in a Mbeya Mission Hospital
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Five people were injured last Sunday August 27, 2017 after a bus they were travelling in from Mbeya to Dar es Salaam christened Sai Baba Express, overturned at Chimala area. Mbeya Regional Police Commander (RPC) Mohamed ...

 

1 month ago

Channelten

Miundombinu ya Gesi asilia Kujengwa Dodoma, Mwanza, Tanga, Mbeya na Arusha

g3

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania TPDC linakusudia kuanza utafiti wa namna ya usambazaji wa miundombinu ya kusafirishia gesi asilia kwenye mikoa ya Dodoma, Mwanza, Tanga, Mbeya na Arusha.

Hatua hiyo inakwenda sambamba na kuandaa mpango kabambe wa mtandao wa miundombinu ya Gesi asilia mkoani Pwani ili kuwezesha viwanda vitakavyojengwa mkoani humo viweze kutumia gesi asilia.

Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC Mhandisi KAPUULUYA MUSOMBA wakati akizungumza na waandishi...

 

1 month ago

Malunde

CCM MBEYA YAWAPA POLE WAATHIRIKA WA MOTO ULIOTEKETEZA SOKO LA SIDO


Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya,Wilson Nkhambaku.***Chama cha mapinduzi mkoa wa Mbeya kimetoa pole kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao kufuatia janga la moto ulioteketeza soko la SIDO Agosti 15,2017.Akitoa taarifa ya chama hicho kwa waandishi wa habari,leo Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya,Wilson Nkhambaku, alisema Chama Cha Mapinduzi kimeelezea masikitiko yake kutokana na kuungua kwa soko-tegemeo la SIDO.
 "Tukio hili si tu limewaumiza na kuwasononesha wafanyabiashara wa SIDO, bali limekiumiza...

 

1 month ago

Michuzi

TTCL YAZINDUA HUDUMA YA 4G LTE MBEYA

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezindua huduma mpya ya mawasiliano ya 4G LTE pamoja na kutambulisha huduma nyingine ya TTCL PESA.
Hata hivyo katika uzinduzi huo imeelezwa kuwa mawasiliano bora yanahitajika ili kuendelea kuimarisha shughuli za kiuchumi mkoani Mbeya ikiwa ni pamoja na kuongeza urahisi wa upatikanaji wa taarifa za masoko na bei nzuri kwa wazalishaji na Wakulima.
Hayo yalielezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla wakati akizindua huduma mpya ya kampuni ya Simu ya TTCL ya 4G...

 

1 month ago

Michuzi

Vigogo 6 Jijini Mbeya Kortini kujibu mashtaka ya Kutafuna Bilioni 5 za Soko la kimataifa


Na Mbeya YetuVigogo 6 kati ya 12 wanaotuhumiwa kuhusika kwenye kashifa ya ufisadi wa soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mbeya na kusomewa mashtaka matatu ya uhujumu uchumi.Waliopandishwa kizimbani Mahakamani hapo ni aliyekuwa Meya wa jiji hilo, Athanas Kapunga (70)  aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji hilo, Elizabeth Munuo (65) na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Dk. Samwel Lazaro ambaye kwa sasa ni Mganga Mkuu...

 

1 month ago

Zanzibar 24

Habar picha: Soko kuu Mbeya lateketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Soko kuu Jiji la Mbeya maarufu kama SIDO limeungua moto kuanzia majira ya saa 3 usiku hadi saa 7 usiku wa kuamkia leo na kuteketeza mali za wafanyabiashara mbalimbali katika soko hilo ambazo mpaka sasa hazijulikani idadi yake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hulo Mkuu wa Wilaya ya Mbeya William Ntinika amesema kuwa moto huo  ulikuwa mkubwa na kuteketeza mali zote katika eneo la kuuzia vyakula. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya William Ntinika

Ntinika amesema chanzo cha moto huo hakijulikani na...

 

1 month ago

Michuzi

MAJONZI YATAWALA JIJINI MBEYA BAADA YA SOKO LA SIDO KUTEKETEA KWA MOTO

Baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Sido lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, wakiangalia namna mali zao zilivyoteketea bila kujua cha kufanya. Moto huo ulioanza jana usiku umeteketeza eneo kubwa la soko hilo ambapo mali zilizoteketea bado thamani yake haijafahamika. chanzo cha moto huo pia bado hakijafahamika. PICHA ZOTE NA FADHIL ATICK A.K.A MRPENGO Muonekano wa eneo yalipokuwepo mabada ya wafanyabiashara hao baada ya kuteketea kwa moto. Kila kitu kimeungua.


 Mmoja wa...

 

1 month ago

Michuzi

RC AMOS MAKALLA ATOA TAARIFA YA AWALI KUUNGUA SOKO LA SIDO JIJINI MBEYA

Natoa pole kwa wote walioathirika na janga la moto kwa wafanyabiashara soko la Sido. SOKO la sido lilianza kuungua saa 21.32 Hrs jana usiku na kuteketeza mali za wafanyabiashara wa soko la sido.
Pamoja na kutoa pole niwashukuru wananchi, vyombo vya ulinzi kwa ushirikiano na kazi kubwa YA kudhibiti moto usiendelee kuleta madhara makubwa zaidi.
Serikali kupitia Mkuu wa wilaya ya Mbeya imeunda kamati  ya kufanya tathmini ya kujua hasara na chanzo cha Moto huo .
Tunaomba wananchi...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani