4 months ago

CHADEMA Blog

Mh Freeman Mbowe kuongoza uzinduzi wa sera za CHADEMA Toleo la 2018

 

4 months ago

CHADEMA Blog

UAMUZI RUFAA YA MBOWE NA MATIKO KUTOLEWA KESHO

Baada ya jana kesi hiyo kuahirishwa leo tena imeahirishwa ambapo Mahakama Kuu Kanda ya Dar itatoa uamuzi wa rufaa hiyo kesho Novemba 30Katika kesi hiyo, upande wa Jamhuri imeweka pingamizi la awali ukiwasilisha hoja tatu za kutaka rufaa hiyo itupiliwe mbali bila hata kusikiliza msingi wakeKatika hoja ya kwanza, Wakili wa Jamhuri, Dkt. Zainabu Mango amesema kuwa taarifa ya kusudi la kukata rufaa

 

4 months ago

CHADEMA Blog

MHE FREEMAN MBOWE ATEMBELEA OFISI ZA MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM

Mhe Freemana Mbowe akiwa na mstahiki Meya wa Jiji la Dar es salaam Isaya Mwita alipomtembelea leo na kufanya naye mazungumzo.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Humphrey Polepole ashangazwa na Zitto Kabwe na Mbowe

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Ndg. Humphrey Polepole amewasikitikia Viongozi wa vyama vya Upinzani nchini, Mbowe pamoja na Zitto Kabwe baada ya kukubaliana kushirikiana kumpata Mbunge jimbo la Buyungu lililoachwa wazi na Mwl. Kasuku Bilago ambaye amefariki dunia, kwa kuwaambia wembe wa CCM ni ule ule.

Polepole amesema hayo ikiwa zimepita siku kadhaa baada ya mazishi ya Mwl. Kasuku Bilago kuzikwa huko Kakonko mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mfupi na kisha kwenda...

 

11 months ago

Michuzi

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MAOMBI UPANDE WA UTETEZI KESI YA UCHOCHEZI INAYOWAKABILI VIONGOZI CHADEMA AKIWAMO MBOWE

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetupilia mbali maombi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe ya kutaka kesi yao ikasikilizwe Mahakama Kuu.
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri baada ya Wakili wa Serikali Mkuu, Faraja Nchimbi kueleza kuwa shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kutolewa uamuzi.
Hakimu Mashauri amesema kuwa amepitia hoja...

 

11 months ago

Malunde

MBOWE ASHANGAA SUGU KUTOKA GEREZANI

Kufuatia kuachiwa huru kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi na Katibu wa Chadema Nyanda ya Juu Kusini, Emmanuel Masonga kutoka Gereza la Ruanda, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, amesema bado hawajafahamu ni taratibu gani zimetumika kuwaachia huru wakati kifungo chao kilikuwa bado.

“Katika mazingira ya kawaida, siku yao ya kifungo walichokuwa wamepewa kilikuwa kinaishia Juni 5, mwaka huu, lakini ghafla wakapewa taarifa kwamba wataachiwa leo. Hatuna hakika sana ni taratibu gani...

 

11 months ago

Malunde

MBOWE AFUNGUKA MADIWANI 46 WA CHADEMA KUHAMIA CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Taifa (CHADEMA) Mhe, Freeman Mbowe amefunguka na kutoa neno kuhusu madiwani 46 ambao wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema kuwa jambo hilo linafanywa na CCM kwa lengo la kuwakatisha tamaa wana CHADEMA.

Mbowe amesema kuwa wapo watu wanadhani kitendo cha baadhi ya madiwani kuhama CHADEMA na kwenda CCM ni kukiuwa chama hicho na kusema suala hilo haliwezi kutokea kwani madiwani wa CHADEMA nchi nzima wapo zaidi ya...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani