(Yesterday)

MillardAyo

VIDEO: Maamuzi ya Mbunge Mchengerwa atakaposikia Rais Magufuli sio mzalendo

Wabunge wameendelea kuchangia bajeti ya Wizara ya katiba na sheria, Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa amesema endapo itatokea wabunge wengi wakasema anachokifanya Rais Magufuli hivi sasa sio uzalendo basi atapendekeza neno Uzalendo liondolewe katika kamusi. Mchengerwa amesema..>>>’Kama anachofanya Rais JPM sio uzalendo nitapendekeza neno ‘UZALENDO’ liondolewe ktk kamusi,ni upotoshaji mkubwa uliozungumzwa na Tundu Lissu kuhusu […]

The post VIDEO: Maamuzi ya Mbunge Mchengerwa atakaposikia...

 

(Yesterday)

VOASwahili

Mbunge ahoji kufukuzwa kwa mkuu wa UNDP

Sakata la kufukuzwa nchini bosi wa shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Tanzania, Awa Dabo limechukua sura mpya baada ya mbunge kuhoji sababu za kufukuzwa mkurugenzi huyo.

 

(Yesterday)

Michuzi

MBUNGE WA NZEGA MJINI HUSSEIN BASHE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA, AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (kushoto), akikabidhi gari la wagonjwa kwa Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi. Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea juzi wilayani Nzega mkoani Tabora juzi. Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa...

 

3 days ago

Mwananchi

Msiba wa mbunge Macha ulivyowafunda wabunge wa CCM, wapinzani

“Msiba huu uwe funzo kwetu sote kwamba tunahitajiana, urafiki huu usiishie leo, bali uwe somo kwetu katika maisha yetu ya kila siku,” hiyo ni kauli ya Freeman Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani wakati wa kumuaga mbunge wa Viti Maalumu, Marehemu Dk Elly Macha.

 

3 days ago

Mwananchi

Kikao cha Mbunge wa CUF chazuiwa na Polisi

Dar es Salaam. Kikao cha mbunge wa  Temeke(CUF) Abdallah Mtolea, uliopangwa kufanyika leo umezuiwa na Jeshi la Polisi kutokana na sababu zisizofahamika.

 

4 days ago

MillardAyo

PICHA 10: Mazishi ya Mbunge Dr. Elly Macha yalivyofanyika leo Kilimanjaro

VIDEO: Umepitwa na hii kauli ya Mbunge Upendo Peneza kuhusu wananchi kutaka Bunge LIVE? Itazame hapa

The post PICHA 10: Mazishi ya Mbunge Dr. Elly Macha yalivyofanyika leo Kilimanjaro appeared first on millardayo.com.

 

5 days ago

Channelten

Buriani Mbunge Viti maalum DK Elly Macha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aongoza wabunge kuaga mwili

msiba

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wabunge kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge viti maalum Chadema marehemu Dk. Elly Macha, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma, kabla ya kwenda kuzikwa kijijini kwake Kirua Vunjo, Mkoani Kilimanjaro.

Akizungumza kwenye ibada maalum, Mchungaji kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Kanisa Kuu Dodoma, Mchungaji Samwel Mshana amewataka wabunge kuacha alama duniani, kama alivyofanya marehemu Dk. Macha, ambaye alikuwa ni...

 

5 days ago

Malunde

Video : MZIMU WA LOWASSA WAMTESA MWAKYEMBE SAKATA LA RICHMOND..AMTUHUMU MBUNGE NASSARI KUINGIA BUNGENI NA KONYAGI

Iikiwa imepita miaka tisa tangu alipojiuzulu aliyekuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Serikali ya Awamu ya Nne, Edward Lowasa, mzimu wake umeendelea kumtesa Dk. Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati Teule ya Bunge kuhusu suala la Richmond.

Hatua hiyo inatokana kuibuka   kwa suala la Richmond bungeni juzi, hali iliyosababisha kutupiana vijembe kati yake na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema).
Juzi, Dk. Mwakyembe ambaye sasa ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...

 

6 days ago

Michuzi

6 days ago

Mwananchi

Mwili wa Mbunge wa Chadema wawasili -VIDEO

Naibu spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Tulia Ackson leo Alhamisi ameongoza mapokezi ya mwili Mbunge wa viti maalumu (Chadema) Dk Elly Macha.

 

6 days ago

Malunde

WAZIRI MWAKYEMBE NA MBUNGE NASARI WACHAFUA HALI YA HEWA BUNGENI

Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nasari na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe jana walichafua hali ya hewa bungeni na kusababisha mzozo mkubwa katika mjadala uliokuwa ukiendelea.
Wawili hao walihamisha mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais Tamisemi na kurudisha suala la Richmond lililotokea mwaka 2008, huku Nasari akimtuhumu Dk Mwakyembe kuwa hakutenda haki katika ripoti yake na kumuondoa bila kumpa nafasi ya kujitetea aliyekuwa Waziri...

 

2 weeks ago

Michuzi

Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Hayati Dkt. Elly Macha kuwasili Dar es salaam April 20, 2017


Mwili wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Hayati Dkt.  Elly Macha unatarajiwa kuwasili nchini Aprili 20 mwaka huu ukitokea nchini Uingereza.Dk Macha alifariki dunia Machi 31 mwaka huu katika Hospitali ya New Cross, Wolverhampton nchini Uingereza alikokuwa akitibiwa.Akitoa ratiba ya msiba huo leo bungeni, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alisema taratibu zote za nchi i Uingereza za kurudisha mwili wa Mbunge huo zimekamilika.“Kule kuna taratibu nyingi za kisheria na kadhalika haikuwa rahisi...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani