8 months ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU AKIWEMO RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN MKAPA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kushoto) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Philip Mangula Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya tatu Benjamin Mkapa (kulia) pamoja na Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Phillip Mangula...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima

Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima ‘Chairperson Emeritus’ wa Bosi ya South Centre.

South Centre ni jumuiya iliyoundwa kwa makubaliano ya serikali za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuchochea maendeleo katika nchi hizo.

Jumuiya hii iliundwa kwa makubaliano na ilianza kazi Julai 31, 1995 huku makao yake makuu yakiwa  Geneva, Switzerland.

Kazi yake kubwa ni kusimamia maendeleo ya kiuchumi kwa nchi za kusini.

Hii hapa barua ya...

 

8 months ago

Malunde

MKAPA ATEULIWA KUWA MWENYEKITI WA HESHIMA

Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Heshima ‘Chairperson Emeritus’ wa Bosi ya South Centre.
South Centre ni jumuiya iliyoundwa kwa makubaliano ya serikali za nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kuchochea maendeleo katika nchi hizo.
Jumuiya hii iliundwa kwa makubaliano na ilianza kazi Julai 31, 1995 huku makao yake makuu yakiwa Geneva, Switzerland.
Kazi yake kubwa ni kusimamia maendeleo ya kiuchumi kwa nchi za kusini.
Hii hapa barua ya uteuzi...

 

9 months ago

Michuzi

MBEYA PRESS CLUB WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI KWA MJADALA MKUBWA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw. Paul Ntinika akizungumza wakati akifungua mkutano wa Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya (Mbeya Press Club) unaofanyika leo kwenye ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani ambayo yanafanyika kila mwaka Mei 3 waadishi wa Habari mkoa wa Mbeya wamadhimisha siku hiyo leo, Kutoka kulia ni Frank Leonard Mwenyekiti wa Press Club Iringa, Modest Nkurlu Mwenyekiti wa Mbeya Press Club na kushoto ni Fredy Jackson...

 

10 months ago

Malunde

LOWASSA : MKAPA AMEGUSIA AJENDA YANGU TANGU CCM....CHADEMA


Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amemueleza Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa kwamba kauli yake aliyoitoa juzi akitaka kuwepo kwa mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini ilikuwa ajenda yake tangu alipokuwa CCM.

Lowassa ametoa kauli hiyo leo Machi 19, 2018 katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa na msemaji wake, Aboubakar Liongo.

Katika taarifa hiyo, Lowassa ambaye alijiunga Chadema mwaka 2015 baada ya jina lake kukatwa katika mchakato wa kura za maoni...

 

10 months ago

RFI

Mkapa: Tanzania inahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu elimu

Rais mstaafu wa awamu ya tatu nchini Tanzania Benjamin Mkapa ametoa wito wa kufanyika kwa majadilinao ya kitaifa kuhusu mwenendo wa sekta ya elimu nchini humo.

 

10 months ago

Malunde

MKAPA ATAKA MDAHALO KUNUSURU HALI MBAYA YA ELIMU TANZANIA

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa amesema elimu ya Tanzania ina mushkeli, hivyo unatakiwa kuitishwa mdahalo, kubaini chanzo cha tatizo na changamoto zinazokwamisha kupanda kwa elimu nchini na kuzitafutia ufumbuzi wa kuiboresha.


Mkapa ambaye alikuwa Rais wa Awamu ya Nne, alitoa kauli hiyo katika sherehe ya kumuaga Makamu wa Mkuu wa UDOM aliyemaliza muda wake, Profesa Idrisa Kikula na kumkaribisha Profesa Egid Mubofu chuoni hapo. 

Katika...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Mhe. Benjamin Mkapa amteuwa Makamu Mkuu UDOM

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na ofisi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambaye pia ni Rais Mstaafu (Awamu ya Tatu), Mhe. Benjamin William Mkapa amemteuwa Profesa Egid Beatus Mubofu na kumtangaza rasmi leo tarehe 5, Machi 2018 kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Profesa Idris Suleiman Kikula.

Kabla ya uteuzi huo Profesa Mubofu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), na kabla ya hapo alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa...

 

11 months ago

Michuzi

MKAPA AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA MFUKO WA UDHAMINI KUDHIBITI UKIMWI

Na Dotto Mwaibale
RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa amewataka wadau mbalimbali na wananchi kuendelea kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa huo nchini ambapo zaidi ya sh.milioni 200 zilipatikana.
Mkapa alitoa ombi hilo wakati akiongoza harambee ya kuchangia mfuko huo iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, wawakilishi wa mashirika ya nje na ndani pamoja na mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa...

 

11 months ago

CCM Blog

RAIS MSTAAFU MKAPA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA MFUKO WA UDHAMINI WA KUDHIBITI UKIMWI

Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akihutubia wakati akiongoza harambee ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana usiku.Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama akihutubia katika harambee hiyo.Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi,Bw.  Godfrey Simbeye akihutubia. Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akihutubia.

 

12 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: UDOM, Mkapa Hospital Ink Partnership Deal


Tanzania: UDOM, Mkapa Hospital Ink Partnership Deal
AllAfrica.com
Dodoma — UNIVERSITY of Dodoma (UDOM) and Benjamin Mkapa ultramodern Hospital (BMH) have signed a Memorandum of Understanding (MoU) to enable medical students at the university to carry out practical training at the hospital. UDOM's Vice-Chancellor ...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani