2 weeks ago

Michuzi

2 weeks ago

Zanzibar 24

Mkurugenzi wa Benki ya KCB awatoa hofu wateja wake

Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya biashara ya Kenya KCB Cosmas Kimario amewatoa hofu wananchi na hasa wateja wa benki hiyo juu ya amana zao walizoeka kuwa ni salama kutokana na kuwa na Mtaji wa kutosha katika kuendeshea huduma za kifedha.

Akizungumza na zanzibar24  mara baada ya futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa watendaji wake iliyofanyika Mjini  Zanzibar Kimario amesema katika sekta ya fedha kwa benki hiyo iko vizuri kutokana na kuwa na msimamizi mzuri ambae ni Benki kuu ya Tanzania BOT...

 

3 weeks ago

Michuzi

MKURUGENZI MPYA UNITED BANK FOR AFRICA AAHIDI BENKI YAO KUENDELEA KUISAIDIA SERIKALI KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii
UONGOZI wa United Bank for Africa(UBA) Tawi la Tanzania umeweka wazi moja ya mkakati wake ni kuendelea kushirikiana na Serikali ya Awamu ya Tano kutekeleza mipango ya maendeleo huku ukisisitiza kutoa huduma bora za kibenki nchini.
Pia umesema unajivunia mafanikio yake katika kutoa huduma bora za kibenki na uwepo wake nchini Tanzania umetoa mchango mkubwa katika kukuza uchumi na kuendelea kueleza namna ambavyo wamekuwa wakitoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo,...

 

3 weeks ago

Michuzi

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU MKURUGENZI MTENDAJI MTANDAO WA JAMII RORUMS


Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo na Mwanahisa wa  mtandao wa Jamii Forums, Micke William baada ya kuonekana hawana kesi ya kujibu.
Max na Micke wameachiwa huru leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi  Godfrey Mwambapa baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na mashahidi sita wa upande wa mashtaka na kuona kuwa ushahidi uĺiotolewa na mashahidi hao dhidi ya washtakiwa umeshindwa kuthibitisha...

 

3 weeks ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi apokea vitendea kazi ubalozi wa china

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi akizungumza jambo na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa China, Xu Chen wakati wakati wa mkutano baina yao uliofanyika ubalozi wa China Alhamisi Mei 31, 2018 Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Rodney Thadeus akizungumza jambo wakati wa wakati baina ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbasi ((katikati) na Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa China, Xu Chen uliofanyika Alhamisi Mei 31,...

 

4 weeks ago

RFI

Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania (LHRC) chatangaza uteuzi wa mkurugenzi mpya

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kimetangaza uteuzi wa Ana Henga kuwa mkurugenzi wake mkuu. Anachukua nafasi ya Dr. Hellen Kijo Bisimba ambaye amekiongoza kituo hicho kwa zaidi ya miaka 20.

 

4 weeks ago

Michuzi

MKURUGENZI JIJI LA DODOMA ATANGAZA NEEMA KWA WATEJA WA VIWANJA

Na Ramadhani JumaOfisi ya Mkurugenzi, Dodoma
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeongeza muda wa kulipia Viwanja kwa wateja wake wote walionunua Viwanja kuanzia Aprili 20, mwaka huu kutoka siku 30 yaani Mwezi mmoja hadi siku 90 yaani miezi mitatu.Aidha, Halmashauri hiyo inatarajia kuendelea kuuza Viwanja vya eneo la Iyumbu kuanzia tarehe 5 Juni, 2018 kwani tayari imeshamaliza kazi ya kushughulikia malalamiko ya Wakazi wa Ngaloni walioibuka na kudai kutolipwa fidia hapo awali.Hayo yametangazwa na...

 

4 weeks ago

Michuzi

RAIS Dkt. Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti Bodi ya Chai na Mkurugenzi Mkuu wa RARI

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIADescription: Description: Description: Description: Description: Coat of ArmsSimu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tz               Faksi: 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,      IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIIkulu, Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Mhandisi Steven Daudi Malekela Mlote kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Chai Tanzania...

 

1 month ago

Zanzibar 24

Mkurugenzi wa Tip Top Connection, Babu Tale akamatwa na Polisi kwa amri ya Mahakama

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Tip Top Connection ya jijini Dar es Salaam, Hamis Taletale maarufu Babu Tale, ametiwa mbaroni na kufikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa amri ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Babu Tale amekamatwa kufuatia amri iliyotolewa Februari 16, 2018 na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda Maalum, Wilbard Mashauri iliyoelekeza kukamatwa mtuhumiwa huyo na ndugu yake, Idd Taletale. Amri hiyo pia, ilielekeza watakapokamatwa wapelekwe Gereza...

 

1 month ago

Michuzi

Riadha Tanzania wampongeza Mkurugenzi mpya MultiChoice

SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limempongeza Mkurugenzi wa MultiChoice Tanzania, Maharage Chande kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa MultiChoice Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi.
Mei 20 mwaka huu, Kampuni ya MultiChoice Africa Limited, ilithibitisha uteuzi wa Wakurugenzi wawili, ambako Mtanzania Maharage Chande ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania, anakuwa Mkurugenzi mpya wa Kanda ya Afrika Mashariki na Magharibi.
Uteuzi huo uliotangazwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa...

 

1 month ago

VOASwahili

Mkurugenzi wa CIA aapishwa

Mkurugenzi wa CIA Gina Haspel ameapishwa Jumatatu akiwa ni mwanamke wa kwanza kuongoza taasisi hiyo.

 

1 month ago

VOASwahili

Mkurugenzi wa CIA apitishwa na Baraza la Seneti

Baraza la Seneti la Marekani Alhamisi limempitisha Gina Haspel kama Mkurugenzi mwanake wa kwanza wa Idara ya Ujasusi ya Marekani.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani