7 months ago

MwanaHALISI

Mnyika, Heche wang’ang’aniwa Polisi, Mdee asakwa

JOHN Mnyika, Naibu Katibu Mkuu (Bara) na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti, John Heche wamezuiliwa polisi kwa madai ya kuwa wameshindwa kufuata taratibu za dhamana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Viongozi hao wa Chadema pamoja na wengine walifika Kituo Kikuu cha Polisi kuitikia wito kama walivyotakiwa na jeshi hilo. Walioachiwa kwa dhamana ni Mwenyekiti ...

 

8 months ago

Malunde

MNYIKA : MSAJILI ANASUKUMWA NA SERIKALI,DHAMIRA YAO KUKIFUTA CHADEMA..JAMBO HILO HAWALIWEZI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi inayowataka ndani ya siku tano kuwasilisha maelezo ya tuhuma za uvunjifu wa Sheria ya Vyama vya Siasa na ya maadili ya vyama vya siasa kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.


Katika majibu yake, Chadema wamejibu hoja mbalimbali za msajili na kuhoji hatua alizochukua mpaka sasa kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji ya viongozi wa chama hicho.

Akizungumza leo Februari 23,...

 

8 months ago

Malunde

ANGALIA PICHA ZA JOHN MNYIKA KWENYE MSIBA WA AKWILINA

JANA February 19, 2018 Mbunge wa Jimbo la Kibamba na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA -Bara John Mnyika akiwa ameongozana na Afisa Habari wa CHADEMA Tumaini Makene walifika kwenye msiba wa Mwanafunzi aliyepigwa risas, Akwilina Akwilini akiwa kwenye daladala wakati Polisi wakitawanya waandamanaji wa CHADEMA.

 

10 months ago

Malunde

MNYIKA AUNGANA NA RAIS MAGUFULI

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, katika kuomboleza vifo vya askari 14 waliouawa nchini Kongo na wengine kujeruhiwa, huku akiwapa pole wafiwa wote.
Mbunge wa Kibamba ameitumia Jumapili ya leo Disemba 10,2017  kuwaombea mashujaa hao na kuwapa pole wanafamilia wote ambao ndugu zao wamepoteza maisha katika tukio hilo.
"Kwa kipekee naitoa ibada ya leo kuwaombea Mashujaa wetu,askari 14 wa JWTZ ...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Mh. Mnyika arudisha imani kwa Chadema

Mbunge wa Kibamba  John Mnyika amefanikiwa kurejesha imani na furaha  kwa baadhi ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kuonesha kuguswa na kile kinachoendelea kwa Wabunge, Madiwani na wafuasi 34 wa Chama hicho kutaka wapewe dhamana kwani ni haki yao kimsingi.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter wafuasi wa Mnyika ambao wanaaminika pia kuwa wafuasi wa chadema wamempongeza Mnyika kwa kuonesha uimara wake kwa kusimama na wabunge wa Chadema katika kipindi cha...

 

11 months ago

CHADEMA Blog

Mnyika asema bomoabomoa iliyofanyika barabara ya Morogoro ni haramu

Dodoma. Mbunge wa Kibamba (Chadema), John Mnyika amesema bomoabomoa iliyofanyika katika barabara ya Morogoro ni haramu kwa sababu sheria ya barabara iliyotumika ilitungwa mwaka 1932 na ilishafutwa. Akiuliza swali bungeni leo Jumatatu Mnyika amesema Rais John Magufuli akiwa katika ziara Mwanza alitoa kauli ya kibaguzi na kwamba kama si ya kibaguzi basi Serikali itoe kauli ya kuwalipa fidia

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani