12 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Mtulia, Mollel Sworn in As MPs On CCM Ticket


Tanzania: Mtulia, Mollel Sworn in As MPs On CCM Ticket
AllAfrica.com
Dodoma — Two newly-elected Members of Parliament (MPs) were sworn in once again on Tuesday, April 3, 2018 as legislators on the ruling party's ticket. Maulid Mtulia, who was sworn in almost two years ago as an MP for Kinondoni on the ticket of the ...

 

12 months ago

Michuzi

WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA

 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Mheshimiwa Godwin Aloyce Mollel akiapa kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.   Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.  Mheshimiwa Maulid Mtulia...

 

12 months ago

Malunde

WABUNGE WA CCM,MTULIA NA MOLLEL WAAPISHWA BUNGENI

Naibu Spika, Tulia Ackson, leo amewaapisha wabunge wawili, Dk Godwin Mollel wa Siha na Maulid Mtulia wa Kinondoni, leo Aprili 3,2018.

Wabunge hao wameapishwa baada ya kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika majimbo ya Siha na Kinondoni, baada ya wabunge wa maeneo hayo kuhamia CCM.

Mtulia, alikuwa mbunge wa Kinondoni (CUF), kabla ya kuhamia CCM na kugombea tena jimbo hilo kwa kupitia CCM.

Kadhalika Mollel, alikuwa mbunge wa Siha, (Chadema) kabla ya kuhamia CCM na kugombea tena jimbo hilo kwa tiketi...

 

12 months ago

Michuzi

UBALOZI WA KUWAIT NA TAASISI YA DORIS MOLLEL WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KWA WATOTO NJITI, HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA, DODOMA

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamini Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika, sehemu ya vifaa tiba kwa ajili ya Watoto Njiti, vilivyotolewa na Ubalozi wa Kuwait kwa kushirikiana na Taasisi ya Doris Mollel, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika mwishoni mwa wiki, mjini Dodoma. Wengine pichani ni Muanzilishi wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani