9 months ago

Malunde

MWANASHERIA MKUU WA KENYA PROFESA GITHU MUIGAI AJIUZULU

Mwanasheria mkuu wa Kenya Professa Githu Muigai
Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa miaka sita na nusu.

Rais Uhuru Kenyatta amemshukuru Profesa Githu kwa huduma zake na sasa jaji Paul Kihara Kariuki atachukua nafasi yake.Ujumbe wa rais Uhuru Kenyatta aktika mtandao wa Twitter
''Nimepokea kwa majuto uamuzi wa mwanasheria mkuu Githu Muigai . Namshukuru kwa huduma yake katika kipindi cha miaka sita na nusu. Nimemteua jaji Paul Kiharara Kariuki" , Rais...

 

9 months ago

VOASwahili

Mwanasheria mkuu wa Kenya Githu Muigai ajiuzulu

Mwanasheria mkuu wa Kenya, Githu Muigai, alijiuzulu siku ya Jumanne. Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta, kupitia ujumbe wa Twitter, alisema  ameshangazwa na hatua hiyo, lakini akamshukuru kwa huduma yake ya miaka sita na nusu kama mshauri mkuu wa sheria wa serikali.

 

9 months ago

BBCSwahili

Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai ajiuzulu

Mwanasheria mkuu wa Kenya Profesa Githu Muigai amejiuzuulu

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani