(Yesterday)

CCM Blog

WAZIRI MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI ZA UHURU PUBLICATIONS LTD JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe  (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Wachapshaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani Rhoda Kangero na baadhi ya viongozi wa kampuni hiyo kwenda ofisini alipowasili, leo
 Waziri wa Habari, Sanaa, Utamadini na Michezo Dk harrison Mwakyembe  (mwenye suti) akiongozwa na Meneja rasilimali Watu ambaye pia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru...

 

2 days ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe Akutana Na Wajumbe Bodi Ya Filamu,atemebela Studio Zinazoandaa Kazi Za Filamu,Muziki

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw. Silvester Sengerema (kulia) moja ya kompyuta mpakato kuashiria makabidhiano ya vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa kwa ajili ya kuimarisha majukumu ya Bodi ya Filamu alipofanya ziara katika ofisi za Bodi na kukutana na wajumbe wa Bodi ya Filamu jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce FissooWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na...

 

4 days ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Mwakyembe Graces Radio Day Event


Tanzania: Mwakyembe Graces Radio Day Event
AllAfrica.com
Dar es Salaam — The minister for Information, Culture, Arts and Sports, Dr Harrison Mwakyembe was expected to be the chief guest during an event to commemorate the World Radio Day. The event, which was organised by UNESCO in collaboration with the ...

 

6 days ago

Michuzi

Mwakyembe akutana na Waziri Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kujadili mapokezi ya viongozi wa FIFA na CAF nchini

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe ameitaka Tanzania kuitendea haki heshima ya kupewa nafasi ya kufanyika kwa mkutano wa viongozi wa FIFA na CAF hapa nchini unaotarajiwa kufanyiaka kwa siku mbili mwishoni mwa mwezi Februari. 

Waziri Mwakyembe ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia ujio wa viongozi wa FIFA na CAF nchini kwa ajili ya kufanya mkutano hapa nchini ambao wanatarajia kuwasili nchini na kufanya mkutana...

 

2 weeks ago

Michuzi

Rasimu ya Katiba Mchezo wa Ngumi ya kabidhiwa kwa Waziri Mwakyembe


Na Anitha Jonas – WHUSM-Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameipongeza Kamati iliyoandaa rasimu ya katiba ya mchezo wa ngumi nchini kwa kumaliza kazi hiyo kwa wakati.
Mheshimiwa Mwakyembe ametoa kauli hiyo alipokuwa akikabidhiwa rasimu ya katiba hiyo jana jijini Dar es Salaam mara baada kukamilika kwa kuandaliwa kwake na kamati maalum iliyokuwa na wajumbe 13 wakuteuliwa ambao walifanya kazi ya kuzunguka kwa wadau wa ngumi na kukusanya...

 

2 weeks ago

Michuzi

Mwakyembe apongeza TBC kwa kuongeza Usikivu maeneo ya Mipakani mwa Tanzania


Na Anitha Jonas – WHUSM 
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe ameupongeza uongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kuongeza usikivu katika maeneo mbalimbali ya mipakani mwa nchi. 
Mheshimiwa Mwakyembe ametoa pongezi hizo alipokuwa akifungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika hilo uliyofanyika jana jijini Dar es Salaam ambapo katika mkutano huo walijadili mambo mbalimbali ikiwemo masuala ya bajeti na mwenendo wa shirika hilo. 
“Ninafuraha...

 

3 weeks ago

CCM Blog

WAZIRI DK MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MSANII NIKI WA BONGO MOVIE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Msanii maarufu wa filamu Abdul Nachona maarufu kama Niki kilichotokea jana Januari 25, 2018 jijini Dar es Salaam.


Dkt. Mwakyembe (Pichani) ameeleza kuwa kifo cha Abdul kimeacha pengo kwa tasnia ya filamu na Sekta ya Sanaa hasa katika nyanja ya uigizaji ambayo marehemu alikuwa nguli.


Dkt. Mwakyembe ametoa pole kwa familia ya marehemu, Uongozi wa Chemchem Arts Group, Uongozi wa...

 

4 weeks ago

Zanzibar 24

Waziri Mwakyembe aahidi kiasi hiki kusaidia hali ya Wastara

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe hapo jana Januari 21, 2018 aliambatana na Katibu wa Bodi ya Filamu  kwenda kumtembelea msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma nyumbani kwake na kumjulia hali.

Kitendo cha Mh,Waziri kufika nyumbani kwa muigizaji huyo kimekuja baada ya msanii huyo kuomba msaada kutokana na afya yake kuwa mbaya baada ya kupata ajali ya pikipiki miaka minne iliyopita na kumsababisha kukatwa mguu na kuwekewa mguu wa bandia ambao unahitaji...

 

4 weeks ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Govt Keen to Support Clubs in Transformation - Mwakyembe


Tanzania: Govt Keen to Support Clubs in Transformation - Mwakyembe
AllAfrica.com
MINISTER for Information , Culture, Arts and Sports, Harrison Mwakyembe, said the government is eager to see major club transformation for the benefit of football development in the country. He said this yesterday at the National Stadium in Dar es ...

 

4 weeks ago

Bongo Movies

Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe hapo jana( Jumapili) alikwenda kumtembelea msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma nyumbani kwake na kumjulia hali.

Mh.Waziri Mwakyembe ambaye aliambata na Katibu wa Bodi ya Filamu walifika nyumbani kwa muigizaji huyo kwa ajili ya kumjulia hali ambapo Waziri huyo aliahidi kumsaidia kiasi cha shilingi milioni. 1 kwa ajili kwenda India kwa ajili ya matibabu yake.

Hata hivyo Waziri Mwakyembe amewaomba wasanii wote nchini kuwa...

 

4 weeks ago

Michuzi

DKT. MWAKYEMBE AOMBA WATANZANIA KUSAIDIA MATIBABU YA WASTARA

Na Anitha Jonas – WHUSM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe ametoa wito kwa watanzania kujitokeza kumchangia msanii wa Filamu Wastara Issa ili aweze kwenda kupatiwa matibabu India ya mguu wake unaomsumbua.
Mheshimiwa Mwakyembe ametoa wito huo alipokwenda kumtembelea msanii huyo wa filamu nyumbani kwake leo Tabata Sanene jijini Dar es Salaam kutokana na msanii huyo kuwa anasumbuliwa na mguu wake uliyokatwa mpaka kufikia kuhitajika kufanyiwa upasuaji...

 

4 weeks ago

Michuzi

MWAKYEMBE ATEMBELEA KAMBI YA SERENGETI BOYS LEO JIJINI DAR

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Ndugu Dr. Harrison Mwakyembe, Leo Jumamosi Januari 20, 2018 ameitembelea timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 16 Serengeti Boys iliyopo kambini kwenye hostel za Makao Makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF na kuwaachia ujumbe wa Serikali. 
Dr. Mwakyembe akitoa salamu za Serikali amewaambia Vijana wanaounda timu hiyo kuwa serikali inawaamini na wanalo jukumu la kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania. 
Amewataka kupambana kwa ajili ya...

 

1 month ago

Michuzi

DKT. MWAKYEMBE AOMBOLEZA KIFO CHA MCHORA KATUNI MASHUHURI THADDEI THOMAS MAREALLE

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mchora Katuni mashuhuri Ndg. Thaddei Thomas Marealle kilichotokea asubuhi ya tarehe 05 Januari, 2018 katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwakyembe ameeleza kuwa kifo chake Ndg. Thaddei kimeinyang’anya fani ya uchoraji na kwa ujumla tasnia nzima ya Sanaa za Ufundi mmoja wa Wasanii mahiri waliokuwa tegemeo kubwa la Maendeleo ya tasnia hiyo nchini. Dkt. Mwakyembe...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani