3 weeks ago

BBCSwahili

Mwanafunzi apigwa risasi shuleni huko Uholanzi

Wanafunzi, walimu na familia waelezea mshituko wao baada ya binti wa miaka 16 kupigwa risasi akiwa chuo.

 

7 months ago

Malunde

MWALIMU MKUU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUBAKA MWANAFUNZI UKUTANI

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mosa Mixed, iliyopo Wilaya ya Kisasi nchini Kenya, Bwana Samuel Kimanzi (58) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kitui kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule yake.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, mtuhumiwa amepandishwa kizimbanbi leo Juni 6, 2018 na kuongeza kuwa tukio hilo la ubakaji limetokea katika shule hiyo wakati mkuu huyo wa shule alienda katika bweni la wanafunzi wa kike usiku wa Mei 21, 2018 kwa lengo la kufanya ukaguzi...

 

8 months ago

BBCSwahili

Walimu wa Moi Girls wafanyiwa uchunguzi wa DNA Kenya katika kesi ya ubakaji wa mwanafunzi

Polisi Kenya wamewaagiza walimu wa kiume, walinzi na jamaa wa kiume wa walimu wanaoishi ndani ya Shule ya Moi Girls kufanyiwa uchunguzi wa DNA kubaini kesi ya ubakaji wa mwanafunzi katika shule hiyo.

 

8 months ago

Malunde

MWALIMU ABAKA MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI BWENINI..ARUKA UKUTA

Jeshi la Polisi katika eneo la Laikipia nchini Kenya, linamtafuta mwalimu wa kiume ambaye anatuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la nane katika shule ya msingi Slopes View Academy.
Kwa mujibu wa Citizen Kenya imeripoti leo Juni 4, 2018 kwamba tukio hilo limetokea asubuhi ya Juni 2 ambapo mwalimu wa zamu alikutana na msichna huyo alipokuwa anaenda darasani kujisomea na ndipo alimuamuru kurudi bwenini huku akimfuata na kisha kumbaka
Mtuhumiwa wa ubakaji ambaye ni mwalimu aliruka ukuta wa shule...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Mwanafunzi aunda gari inayotumia nishati ya jua

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya ameunda gari linalotumia kawi ya jua, gari ambalo limekuwa likiwavutia watu sana mtaani kwake, na mtandaoni.

Samuel Karumbo, 30, ni mwanafunzi katika chuo cha mafunzo anuwai cha serikali mjini Kitale, Magharibi mwa Kenya lakini ameliunda gari lake katika eneo la Langas, Eldoret si mbali sana na mji wa Kitale.

Anasema gari lake, ambalo lina mitambo mitatu ya sola iliyobandikwa, linaweza kusafiri umbali wa kilomita 50 kwa siku.

Mitambo hiyo inaweza kuzalisha kawi...

 

8 months ago

BBCSwahili

Gadget Man Samuel Karumbo: Mwanafunzi aunda gari linalotumia nishati ya jua Kenya

Mwanafunzi mmoja nchini Kenya ameunda gari linalotumiwa kawi ya jua, gari ambalo limekuwa likiwavutia watu sana mtaani kwake.

 

8 months ago

BBCSwahili

Mwanafunzi ashtakiwa wizi kwa kuponda pesa alizotumiwa kimakosa Afrika Kusini

Mwanafunzi wa kike wa Afrika Kusini ambaye alitumia zaidi ya dola $63,000 kati ya dola milioni moja na laki moja $1.1m alizopokea kimakosa amefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya wizi

 

8 months ago

Malunde

MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI ABAKWA KISHA KUUAWA


Mtoto Sharon Mwende, mwenye umri wa miaka nane amebakwa na kisha kuuawa katika eneo la Kithimu-Embu nchini Kenya baada ya kupotea kwa siku moja.

Kwa mujibu wa Citizen Kenya, mwili wa Sharon ulipatikana Jumanne Mei 29, 2018, umbali wa takribani mita 50 kutoka nyumbani kwao, baada ya wazazi kutoa taarifa za kupotea kwa mtoto huyo katika kituo cha Polisi Embu na kituo cha redio Wimwaro Fm. 
Mtu mmoja aliyekuwa anatafuta kuni nje ya makazi yake ndiye aliuona mwili wa Sharon na kuamua kutoa...

 

8 months ago

Malunde

MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU MBEYA SHABIKI WA LIVERPOOL AJINYONGA TIMU YAKE KUFUNGWA


Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo cha Saint Augustine Mbeya, Moses Mashaka amejinyonga kwa mujibu wa mashuhuda wa eneo analoishi wamesema Mwanafunzi huyo alikuwa shabiki wa Klabu ya Liverpool na imedaiwa kuwa kitendo cha kufungwa kwa klabu hiyo goli 3-1 ndiyo sababu.

Hata hivyo wengine wamesema Mwanafunzi huyo alijiingiza katika mchezo wa kamari maarufu kama Betting na kitendo cha kuliwa inawezekana ikawa ndiyo sababu.

Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi...

 

8 months ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA ST. AUGUSTINE AJINYONGA MJINI MBEYA KWA MATOKEO YA MECHI YA REAL MADRID NA LIVERPOOL

Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo kikuu cha ‘St. Augustine’ kampasi ya Mbeya Moses Mashaka amejinyonga mara baadaya timu yake ya Liverpol kushindwa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya, Polisi yathibitisha

 

8 months ago

Zanzibar 24

Dulla Makabila afunguka kwa mara ya kwanza kujibu tuhuma za kubaka Mwanafunzi

Msanii maarufu wa singeli Dulla Makabila amekanusha tuhuma zinazomkabili za kubaka Mwanafunzi kwa kusema kuwa hajabaka na hana kesi Polisi kama ambavyo tetesi zinasema.

Msanii huyo amesema kuwa amekuwa akipokea simu nyingi pamoja na familia yake kwa tuhuma ambazo amedai sio kweli na zinapelekea migogoro na mkewe.

“Mambo ya kuzushiwa ni mengi sana hali inayopelekea muda mwingine ugomvi na mke wangu, nimepokea simu nyingi sana kuhusu hilo tukio la kuhusishwa kwenye tuhuma za...

 

8 months ago

Malunde

MWANAFUNZI AFARIKI KWA KULIPUKIWA NA BETRI YA SIMU MWANZA

Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Sabasaba jijini Mwanza, Dotto Baraka (13) amefariki dunia baada ya kulipukiwa na betri ya simu aliyokuwa akiiunganisha na radio chakavu.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amethibitisha tukio hilo ambapo amesema limetokea Mei 17, mtaa wa Igoma Mashariki jijini Mwanza.
“Baada ya kutoka shuleni, marehemu akiwa na watoto wenzake alianza kutengeneza radio chakavu kwa kuchukua betri ya simu na kuunganisha kwenye nyanya za radio...

 

8 months ago

VOASwahili

Mwanafunzi afunguliwa mashtaka ya kuuwa shuleni Texas

Maafisa wa polisi katika mji wa Texas Ijumaa wamemfungulia mashtaka kijana mwenye umri ya miaka 17 kwa kosa la kuuwa katika shambulizi la bunduki lililouwa watu 10, wengi wao wakiwa wanafunzi, katika shule ya sekondari ya Santa Fe, Texas.

 

8 months ago

BBCSwahili

Habari ya Global Newsbeat 17.05.2017 1000 EAT: Roboti yamwakilisha mwanafunzi Marekani

Cynthia Pettway alikuwa mgonjwa kiasi kwamba hangeweza kuhudhuria sherehe ya kufuzu na aliwakilishwa na roboti.

 

8 months ago

Michuzi

BODI YA MIKOPO YAFAFANUA KUHUSU UMILIKI WA LESENI ZA BIASHARA KWA WAZAZI SIO SIFA YA MWANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUKOSA MKOPO

Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo za kweli zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa waombaji wa mikopo ambao wazazi wao wanamiliki leseni za biashara hawatapata mikopo ya elimu ya juu katika mwaka wa masomo 2018/2019. Taarifa hizo sio sahihi na zinapotosha waombaji mikopo na umma kwa ujumla.
Ufafanuzi wa kina ni kama ifuatavyo:
a)   Mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB inaongozwa na Sheria ya HESLB (SURA 178) pamoja na Mwongozo unaotaja sifa, vigezo na utaratibu wa...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani