10 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI 10, Naibu MWanasheria Mkuu, Wakili Mkuu wa Serikali, Naibu Wakili Mkuu na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti : www.ikulu.go.tz               Faksi: 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,      IKULU, 1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 20 Aprili, 2018 amewaapisha Majaji 10 wa Mahakama Kuu, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali, Naibu Wakili Mkuu wa...

 

10 months ago

VOASwahili

Mwanasheria Mkuu Uganda apinga Mkuu wa Jeshi, Spika kuhojiwa

Mahakama ya katiba nchini Uganda Jumatatu imeanza kusikiliza kesi inayopinga mabadiliko ya katiba yaliyofanywa na bunge la nchi hiyo yaliyoondoa ukomo wa umri kwa wagombea urais.

 

11 months ago

Malunde

MAHAKAMA YAMSHIKA KOO MWANASHERIA MKUU KUHUSU MAANDAMANO TANZANIA

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuagiza Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuleta majibu kuhusu mashauri mawili ya kikatiba yaliyofunguliwa mahakamani hapo na wanaharakati dhidi ya ofisi yake, ifikapo Machi 21 mwaka huu.

Mashauri hayo ni, shauri namba 4/2018 linalopinga sheria ya jeshi la polisi na ya vyama vya siasa zinazodaiwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa, na shauri namba 6/2018 linalopinga sheria ya uchaguzi inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini (maded) kuwa...

 

12 months ago

Michuzi

JAJI MKUU WA GAMBIA AMTEMBELEA MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Adelardus Kilangi, leo (Alhamisi) amekutana na kuwa na mazungumzo na  Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Gambia Mhe.   Hassan Bubacar Jallow.Jaji Mkuu wa Gambia, yupo hapa  nchini kwa  ziara ya kikazi    ya kujifunza na kujipatia uzoefu kuhusu mfumo wa utoaji haki  hapa nchini pamoja na maboresho mbalimbali  yakiwamo ya maslahi ya  watumishi yanayoendelea katika   Mahakama ya Tanzania na Taasisi  nyingine za  Sheria na  utoaji  haki.Jaji Mkuu  Jallow amemueleza...

 

12 months ago

Michuzi

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MISUNGWI NA MWANASHERIA WAKAMATWA

JESHI la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) mkoani hapa imemkamata Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi Bw. Anthony Bahebe.
Pia Mwanasheria wa Halmashauri hiyo Bw. Alphonce Sebukoto naye amekamatwa na Jeshi hilo. 
Viongozi wote hao wanakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na ubadhilifu wa fedha za umma. Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema...

 

12 months ago

Malunde

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMSIMAMISHA KAZI MWANASHERIA WA WILAYA YA MISUNGWI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi Bw. Alphonce Sebukoto na kuagiza achungunzwe na vyombo husika.
Amechukua hatua hiyo baada Mwanasheria huyo kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwa ni pamoja na kushindwa kuishauri vema halmashauri hiyo na kuisababishia hasara ya sh. milioni 279.

Waziri Mkuu amemsimamisha kazi Bw. Sebukoto leo (Jumatatu, Februari 19, 2018) wakati akizungumza na watumishi na madiwani wa halmashauri hiyo...

 

12 months ago

Michuzi

MWANASHERIA WA MISUNGWI ASIMAMISHWA KAZI

*Ni baada ya  kuisababishia halmashauri hasara ya sh. milioni 279.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Misungwi Bw. Alphonce Sebukoto na kuagiza achungunzwe na vyombo husika.Amechukua hatua hiyo baada Mwanasheria huyo kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo ikiwa ni pamoja na kushindwa kuishauri vema halmashauri hiyo na kuisababishia hasara ya sh. milioni 279.
Waziri Mkuu amemsimamisha kazi Bw. Sebukoto leo (Jumatatu, Februari 19, 2018)...

 

12 months ago

CCM Blog

OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KUENDELEZA USHIRIKIANO NA VYOMBO VYA UTOAJI HAKI

Na Mwandishi Maalum
Mwanasheria  Mkuu wa  Serikali  Mhe.  Dk.Adelardus  Kilangi,  amesema,  Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali,  itaendelea kushirikiana na kufanya  kazi kwa karibu na  Mahakama ya  Afrika  ya Haki za Watu na Binadamu ( AfCHPR)  pamoja na Mahakama ya Haki ya  Afrika   Mashariki ( EACJ).

Ametoa uhakikisho huo kwa nyakati tofauti wakati alipokutana na kufanya  mazungumzo na   Marais wa Mahakama  hizo   Jijini Arusha, akiwa katika ziara ya kujitambulisha.

" Napenda...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani