8 months ago

Michuzi

SHEREKEA SANAA NA NAFASI ART SPACE JUMAMOSI HII

Sherekea Sanaa ni tamasha la kipekee linalosheherekea sanaa na tamaduni za Tanzania kwa njia ya mziki, miondoko, michoro na mengineyo. Nafasi Art Space inawaalika tarehe 2 Juni kuanzia saa 12.30 joini mpaka saa 5 usiku kwenye tamasha hili linalofanyika kwa ushirkiano wa Nordic Week.
Siku hio, ndani ya ukumbi wa Nafasi Art Space, kutakuwa na maonyesho ya sanaa ya “Silence (ukimya)” zilizoandaliwa na wasanii mbali mbali nchini. Na kwenye jukwaa makundi ya “Muda Dance” na “Nantea Dance”...

 

8 months ago

Malunde

KINANA ANG'ATUKA NAFASI YA UKATIBU MKUU CCM

Katibu mkuu Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameng'atuka nafasi yake aliyokuwa akiishika ndani ya chama hicho na CCM wameridhia ombi hilo rasmi.
Hayo yamewekwa wazi na taarifa zilizotolewa na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole leo Mei 29, 2018 na kusema kwa pamoja wamemtakia mafanikio mema katika shughuli zake.
"Napenda kumshukuru ndugu Kinana kwa utumishi wake katika Chama cha Mapinduzi (CCM) na CCM itaendelea kutumia uzoefu wake katika majukumu...

 

8 months ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE APONGEZA MIPANGO YA MJASARIAMALI KIJANA BI HADIJA JABIR KATIKA KUTENGENEZA NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi ,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa GBRI Co. Ltd Bi Hadija Jabiri kwa mafanikio makubwa aliyopata kupitia kilimo cha mbogamboga.
Aidha amempongeza kwa kuajiri takriban Wafanyakazi 236 sambamba na uanzishwaji wa mpango wa ushikirishwaji wakulima wadogo wadogo(out-growers) ambao wataiuzia Kampuni hiyo mazao mbalimbali ya mboga mboga ili aweze kufikia mahitaji ya soko la nje ambayo ni tani 26 kwa wiki za...

 

8 months ago

Michuzi

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KOMBE LA DUNIA LA WATOTO NCHINI URUSI

Mashindano ya Kombe la dunia la watoto wa mitaani chini ya shirika la Steet Child United na udhaamini wa makampuni na taasisi tofauti, zaidi kampuni ya mawasiliano ya simu ya nchini Urusi, Megafon yamefikia tamati leo kwa kuchezwa mechi za mshindi wa tatu na fainali kwa watoto wa kike na wakiume, ambapo timu ya Tanzania (wasichana) iliweza kuwa mshindi wa pili baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka Brazil, baada ya kutokea mawasiliano mabaya kati ya mlinzi wa Tanzania na mlinda mlango...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Nafasi za Ukutubi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi 41 za kazi ya Ukutubi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

NAM. IDARA IDADI YA NAFASI MAHALI
1 IDARA YA ELIMU YA SEKONDARI 32 UNGUJA
2 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 5 UNGUJA
3 IDARA YA MAFUNZO YA UALIMU 4 PEMBA

Sifa za Muombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu elimu ya Stashahada ya Ukutubi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi...

 

8 months ago

Zanzibar 24

Nafasi 12 za kazi katika Idara ya Serikali Mtandao Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Serikakali Mtandao kama ifuatavyo:-

1.BUSINESS ANALYST DARAJA LA II – Nafasi tatu (3) Unguja.

Sifa za Muombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Computer Science, Information Systems au Information Technology kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2.SYSTEM DEVELOPER/PROGRAMMER DARAJA LA II Nafasi tatu(3) Unguja.

Sifa za Muombaji:
•Awe ni...

 

8 months ago

Michuzi

ZUHURA MAGANGA ATWAA KWA KISHINDO NAFASI YA UWENYIKITI TAPSEA

Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), Zuhura Maganga (katikati) akishangilia sambamba na wanachama wenzake wa TAPSEA baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguli wao uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Chuo Kikuu Zanzibar (SUZA), Tunguu, Zanzibar.  Mwenyekiti huyo amepewa ridhaa hiyo ya kukiongoza chama hicho kwa mara nyingine tena baada ya muda wake wa awali kumalizika, ambapo alimshinda mpinzani wake, Habiba Mhina kwa zaidi ya asilimia 90.Sehemu ya Wajumbe...

 

8 months ago

BBCSwahili

Chemsha bongo: Mchezaji wa zamani wa Manchester United Eric Cantona anatarajiwa kucheza mchezo wa hisani katika nafasi gani?

Je, umefuatilia habari zilizochapishwa na BBC Swahili kikamilifu wiki hii mtandaoni? Pima ufahamu wako na uwezo wako wa kukumbuka kwa kujibu maswali yafuatayo.

 

8 months ago

Malunde

SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA KAZI 6,180

Serikali imetangaza nafasi za kazi zaidi ya 6,180 katika sekta ya afya nchini na kuwataka wananchi wenye sifa stahiki kuomba nafasi hizo ili kuweza kutatua changamoto ya upungufu wa watumishi katika vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali za Wilaya.
Akiongea na waandishi wa habari jana Mei 10, 2018 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo alisema watumishi hao wataajiliwa kabla ya mwaka kuisha na kuongeza kwamba lengo la serikali ni kuboresha...

 

8 months ago

Michuzi

SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZAIDI YA 6, 000 KATIKA SEKTA YA AFYA

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii SERIKALI imetangaza nafasi za ajira katika sekta ya afya 6,180 katika kuhakikisha kuwa upungufu wa watumishi wa kada ya afya inatatuliwa na kuimarika katika upatikanaji wa huduma bora ya afya nchini.
Akitangaza ajira hizo leo jijini Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Tawala za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema watakapoajiriwa watumishi hao watapangiwa katika maeneo mbalimbali ya nchi kwa kuzingatia uhitaji.
"Watumishi...

 

9 months ago

Zanzibar 24

Nafasi za Kazi 27 Mamlaka ya kuzuia Rushwa na uhujumu wa uchumi Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Afisi ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

1.Afisa Uchunguzi Daraja la II “Nafasi 14 Unguja”

Sifa za Muombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu Elimu ya Shahada ya Kwanza ya Uchumi, Ukaguzi wa Hesabu, Sheria au Uhandisi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2.Afisa Takwimu Daraja la II “Nafasi 1 Unguja”

Sifa za Muombaji:
•Awe ni...

 

9 months ago

Michuzi

Benki ya Exim yaendelea kushika nafasi ya tano

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Exim Bank Tanzania, Selemani Ponda akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu matokeo ya benki ya mwaka 2017. Kushoto kwake ni Kaimu Afisa wa operation David Lusala na Kulia ni Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha Issa Hamisi.
BENKI ya Exim imeendelea kubaki katika nafasi ya tano kwa ukubwa ikiwa na rasilimali zenye thamani ya shilingi trilioni 1.6 zitokanazo na ukuaji wa amana kutoka kwa wateja.
Ikiwa ni Benki ya kwanza nchini kufungua Benki tanzu nje ya nchi, Benki ya...

 

9 months ago

BBCSwahili

Je kuna nafasi ya kura ya maoni kubadili mfumo wa uongozi nchini Kenya

Mjadala umeibuka miongoni mwa Wakenya katika majukwaa mbali mbali kuhusu uwezekano wa kuidhinisha mageuzi ya katiba kutoa nafasi zaidi za uongozi nchini.

 

9 months ago

Michuzi

Mafundi mitambo wa redio jamii watakiwa kutumia nafasi zao kuleta mabadiliko

Na Mwandishi wetuWashiriki wa mafunzo ya ufundi mitambo ya kurushia matangazo ya redio ambayo yameshirikisha mafundi kutoka redio jamii 25 zilizopo Tanzania Bara na Zanzibar wametakiwa kutumia vyema mafunzo ili yakalete mabadiliko katika maeneo yao ya kazi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ufundi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Mwandisi Upendo Mbele wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo ya siku saba ambayo yameandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na...

 

9 months ago

BBCSwahili

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 21.04.2018: Nani atakayechukua nafasi ya Wenger Arsenal?

Arsene Wenger alikasirika baada ya kuambiwa kwamba atafutwa kazi mwisho wa msimu huu iwapo hatojiuzulu. (Times - subscription required)

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani