(Yesterday)

Malunde

Picha : MAHAFALI YA KWANZA YA KIDATO CHA NNE KWA WAATHIRIKA WA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI SHULE YA AGAPE KNOWLEDGE OPEN SCHOOL

Leo Ijumaa Oktoba 20,2017 kumefanyika Mahafali ya Kwanza ya Kidato cha nne shule ya Sekondari “Agape Knowledge Open School” ambapo jumla ya watoto yatima na waathirika wa ndoa na mimba za utotoni 29 wanahitimu masomo yao kupitia mfumo wa elimu usio rasmi mwaka huu. 
Mahafali hayo yamefanyika katika shule hiyo iliyopo katika mtaa wa Busambilo kata ya Chibe manispaa ya Shinyanga na mgeni alikuwa Afisa Elimu Taaluma mkoa wa Shinyanga,James Malima kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Zainab...

 

(Yesterday)

BBCSwahili

Afisa mkuu wa tume ya uchaguzi Kenya Ezra Chiloba ajiondoa

Afisa mkuu mtendaji wa tume ya uchaguzi nchini Kenya Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukuwa likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi wa marejeo wa Alhamisi

 

2 days ago

Michuzi

TPF NET ARUSHA YATAKIWA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo ambaye pia ni mlezi wa TPF NET mkoa wa Arusha akikabidhi Mbuzi wawili pamoja na zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi 780,000 na fedha taslimu Shilingi 160,000/= kwa watoto yatima wa kituo cha Christ Hope Orphonage kilichopo jijini hapa.
 Wanachama wa Mtandao wa Polisi Wanawake Arusha pamoja na watoto yatima wa kituo cha Christ Hope Orphonage wakionekana kusikiliza kwa umakini hotuba iliyokuwa inatolewa na...

 

6 days ago

Channelten

Rais Trump amepuuza mapatano ya kinyukilia na Iran na kutishia kujiondoa

nbc-fires-donald-trump-after-he-calls-mexicans-rapists-and-drug-runners

Rais wa Marekani Donald Trump amepuuza mapatano ya kinyukilia na Iran na kutishia kujiondoa katika mkataba wa kimataifa unaohusiana na nyuklia iwapo bunge la Congress litakosa kuidhinisha mapendekezo yake.

Rais Trump ametoa tangazo hilo kama sehemu moja ya kubadilisha msimamo kuhusiana na Iran ili Marekani iweze kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya nchi hiyo kuhusiana na uimarishaji wake wa makombora ya kisasa na uungaji wake mkono kwa makundi ya kigaidi katika eneo la mashariki ya...

 

1 week ago

Bongo Movies

Lady Jaydee Afungukia Ishu ya Ndoa

Msanii Lady Jaydee amesema sasa hivi hafikirii kufunga ndoa na mchumba wake Mnigeria ambaye pia ni msanii, kwa sababu haamini kila mahusiano ni lazima yaishie kwenye ndoa.

Jaydee ametoa siri hiyo leo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kuwataka watu wasitegemee jambo hilo kwake na wasikariri kila mahusiano yataishia kwenye ndoa, kwani wapo waliokimbilia ndoa na zikawashinda.

Msikilize hapa

 

1 week ago

BBCSwahili

Mpango wa nyuklia wa Iran: Trump atarajiwa kujiondoa

Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kutounga mkono makubaliano ya kinyuklia na Iran Ijumaa na kuweka chini mkakati wa kukabiliana na mpango huo

 

1 week ago

MwanaHALISI

Mimba, ndoa za utotoni pasua kichwa

MIMBA na ndoa katika umri mdogo bado vinaitesa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, ingawa serikali haina takwimu sahihi za wasichana wanaokumbwa na matatizo hayo wakaiwa na umri mdogo, anaandika Dany Tibason. Ofisa Maendeleo ya Jamii wa wilaya ya Chamwino, Sophia Swai, amesema juhudi zinafanyika kupata takwimu hizo ili kutengeneza mkakati wa kupambana nazo. Swai ametoa ...

 

1 week ago

Malunde

AKATWA KOROMEO BAADA YA KUFUMANIWA AKIHONDOMOLA TENDO LA NDOA NA MKE WA MTU GESTI


Mkazi wa kijiji cha Nyansurura wilayani Serengeti, mkoani Mara Paul Chacha (24) amejeruhiwa koromeo kutokana na kile kilichotajwa kuwa ni baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu kwenye gesti bubu.
Katika tukio hilo mume wa mtu aliingia katika chumba cha gesti hiyo kininja akipitia darini.

Mwanamke anayedaiwa kufumaniwa akiwa na Chacha, Bhoke  (36) mkazi wa kijiji cha Tamukeri pia amekatwa kifundo cha mguu. Tukio hilo lilitokea Oktoba 3 na majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Changamoto katika kukabili ndoa za utotoni Tanzania

Sheria ya msingi ya ndoa nchini Tanzania iliyopitishwa mwaka 1971 inataja ndoa za kulazimishwa kama ni kosa la jinai.

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Chereko wawili watimiza miaka 71 ya ndoa

Mzee Sylvester Lubala akiwa na Mkewe Cecilia Lubala wakipunga mkono kwa wageni waalikwa wakati wa hafla yao ya kutimiza Miaka 71 ya ndoa iliyofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu maarufu na Viongozi wa kitaifa.

 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwa na Mkewe wakitoa pongezi kwa Mzee Sylvester Lubala mara baada ya kutimiza miaka 71 ya ndoa yao.

 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi...

 

3 weeks ago

Zanzibar 24

Zanzibar kuanzisha chuo cha mafunzo ya ndoa hivi karibuni

Ili kukabiliana na wimbi la takala kwa wanandoa, Jumuiya ya Maimamu Zanzibar (JUMAZA) inakusudia kuanzia chuo maalum kitakachotoa mafunzo ya ndoa ambacho kinatarajiwa kuanza kazi Januari mwaka ujao.

Naibu Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo, Sheikh Khamis Yussuf, alisema hayo wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi.

Alisema kwa kuanzia chuo hicho kitaanza kutoka huduma zake kupitia majengo yaliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi ‘A’ Unguja.

Alisema lengo la baadae ni kuhakikisha kila...

 

3 weeks ago

Michuzi

SYLVESTER LUBALA ATIMIZA MIAKA 71 YA NDOA NA MKEWE CECILIA LUBALA

 Katibu wa Chama cha Mashujaa wliopigana Vita kuu ya pili ya Dunia ambaye ni Baba Mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Mzee Sylvester Lubala  na Mkewe Cecilia Lubala wakipunga mkono kwa wageni waalikwa wakati wa hafla yao ya kutimiza Miaka 71 ya ndoa iliyofanyika katika hoteli ya Srena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu maharufu na Viongozi wa kitaifa


 Naibu Waziri wa Afya nyumba na Maendeleo ya makazi Angelina Mabula akimuweka Sawa mama yake wakati...

 

3 weeks ago

Michuzi

NDOA YA MENEJA WA GLOBAL PUBLISHERS, ABDALLAH MRISHO ILIVYOFANA JIJINI DAR

Meneja Abdallah Mrisho na mkewe, Catherine Mdamu wakiwa katika pozi la furaha, muda mfupi baada ya kufungwa kwa ndoa yao.Bibi Harusi, Catherine (katikati) akiwa na wanafamilia (wenye nguo nyeupe) na wafanyakazi wenzake, Women With Voices (WWV) wenye nguo za bluu.Daaab! Maharusi na wanafamilia wakiwa katika pozi maarufu kwa jina la dab!

Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, jana (Jumamosi, Sept. 30,2017) alifunga ndoa ya kifahari na Catherine Mdamu, iliyolifanya Jiji la Dar es Salaam...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Ndoa za kwanza za wapenzi wa jinsia moja zimefanyika Ujerumani

Ndoa za wapenzi wa jinsia moja zimefanyika kwa mara ya kwanza nchini Ujerumani

 

3 weeks ago

Bongo Movies

Nuh Mziwanda Atoboa Kilichovunja Ndoa Yake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Nuh Mziwanda ambaye jina lake la kuzaliwa ni Naftal Mlawa, ni mmoja kati ya vijana wanaofanya vizuri katika ulimwengu wa Bongo Fleva kwa sasa.

Miaka michache iliyopita, jina lake lilikuwa kubwa katika vyombo mbalimbali vya habari, lakini si kwa muziki, bali kwa uhusiano wake wa kimapenzi uliopata umaarufu akiwa na msanii mwen-zake, Zuwena Mohamed ambaye jina lake la kisanii ni Shilole a.k.a Shishi Baby.

Na walipata kujulikana sana kwa sababu ya...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani