(Yesterday)

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1300 20.10.2017

#GNBSwahili: Nyota wa Hollywood Lupita Nyongo amefichua jinsi bwanyenye wa Hollywood Harvey Weinstein alivyomnyanyasa kimapenzi. Sikiliza!

 

(Yesterday)

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1000 20.10.2017

#GNBSwahili: Katy Perry amebaki akining’inia hewani baada ya jukwa la kuelea kukumbwa na hitilafu wakati wa tamasha. Sikiliza!

 

3 days ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1400 18.10.2017

#GNBSwahili: ‘Pole dancing’ kujumuishwa kwenye michezo ya olimpiki? Densi hiyo ni maarufu katika vilabu vya burudani. Sikiliza!

 

4 days ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1000 17.10.2017

Umechoshwa na maandishi ya kuchukiza na uadui kwenye mitandao ya kijamii? Facebook imenunua App mpya ‘tbh’- to be honest - inayohamasisha vijana kuwa wazuri kwa wenzao!

 

1 week ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1000 13.10.2017

#GNBSwahili: Filamu kuhusu shambulizi la kigadi nchini Kenya, ‘#WatuWote ‘ yapokea tuzo ya Oscars katika tamasha la kifahari Marekani Alhamisi jioni. Sikiliza!

 

1 week ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1500 12.10.2017

#GNBSwahili: Wenger amedhibitisha uwezekano wa Mesut Ozil na Alex Sanchez kuhama klabu hiyo Januari mwaka ujao. Sikiliza!

 

1 week ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1000 12.10.2017

" kwa mtoto wa miaka kumi mwenye afya bora, ni lazima mbavu zake zionekane wazi” Prof Mary Rudolf. Je, utajua aje mtoto wako ni mnene kupindukia? Sikiliza.

 

1 week ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1400 11.10.2017

#GNBSwahili: Rais wa Panama atangaza jumatano kuwa siku ya mapumziko baada ya timu ya taifa ya soka kufika fainali za kombe la duni kwa mara ya kwanza. Sikiliza!

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1100 04.10.2017

#GNBSwahili: Je, ulifungua akaunti yako ya Yahoo kabla ya mwaka 2013? Akaunti za wateja wote wa Yahoo bilioni 3 zilidukuliwa na maelezo muhimu kuibwa? Sikiliza!

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1400 03.10.2017

#GNBSwahili: Je, unajua 1% hadi 3% ya watu ulimwenguni hawana hisia wala hamu ya kushiriki ngono? Sikiliza!

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1000 03.10.2017

#GNBSwahili: Mwanamme wa tabaka la chini India - ‘wasioguswa’ ameuwawa kwa kutazama watu wa tabaka za juu wakicheza ngoma ya kuadhimisha siku kuu ya kihindi!

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1200 29/09/2017

Wanaume Lebanon wanafanyiwa upasuaji wa pua ili kuwavutia wasichana! Sikiliza #GNBSwahili.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1200 02.10.2017

#GNBSwahili: ‘App’ maalum 'Go Poligamy' inayowalenga wanaume wanaooa wake wengi imezinduliwa Indonesia. Sikiliza!

 

1 month ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1400 18/09/2017

Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda michuano ya Singapore Grand Prix mbele ya mpinzani wake mkubwa Sebastian Vettel.

 

1 month ago

BBCSwahili

Habari za Global Newsbeat 1000 18/09/2017

Mhandisi wa kilimo mwenye umri wa miaka 39 amemposa mpenzi wake kwa kuchimba maneno ya kumuomba awe mchumba wake kwenye shamba lake.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani