5 days ago

Michuzi

MUUZA NYAMA ARUSHA AJINYAKULIA KITITA CHA SH MILIONI MOJA KUTOKA BIKO

 

6 days ago

Michuzi

MPINA ATOBOA SIRI YA ONGEZO LA GHAFLA LA VIWANDA VYA NYAMA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina  (mwenye kizibao chekundu) akitoa maelekezo kwa  mmiliki wa kiwanda cha nyama cha Eliya Foods Overseas LTD kilichopo Longido  ndugu Shabbir Virjee(mwenye shati jeupe), kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina (Mwenye nguo nyeusi) akishuka kwenye gari maalum ya kubebea maziwa baada ya kulikagua gari hilo la kiwanda cha maziwa cha Kilimanjaro Fresh alipotembelea kiwanda hicho kuangalia utendaji wake...

 

6 days ago

CCM Blog

MPINA ATOBOA SIRI ONGEZEKO LA GHAFLA VIWANDA VYA NYAMA NCHINI

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, akitoa maelekezo kwa  mmiliki wa kiwanda cha nyama cha Eliya Foods Overseas LTD kilichopo Longido, Shabbir Virjee(kulia), kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbwi
--------
Na John Mapepele
Serikali imewahakikishia wawekezaji wa viwanda vya mazao ya mifugo nchini kuwa hakuna atakayechezea masoko yao kwa kuingiiza bidhaa hizo sokoni kwa njia isiyo halali.

 Badala yake serikali imetaka jitihada zinazofanywa na wawekezaji lazima zilenge kuwainua...

 

2 weeks ago

MwanaHALISI

Mradi wa maji kumaliza tatizo la wananchi kuchangia maji na wanyama

WAKATI zaidi ya 16, 000 wa vijiji vya Nyansenga, Kawekamo na Nyampande, Sengerema mkoani Mwanza wamesema wamekuwa wakiamka usiku wa manane kwenda kutafuta maji mabondeni na kwenye visima, maji ambayo sio safi na salama kwa matumizi yao kutokana na kutumiwa na wanyama wakiwemo fisi na mbwa. Anaripoti Moses Mseti, Mwnaza … (endelea). Wamesema kuendelea kutumia ...

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Fundi Nyangalio: Mlemavu asiyeona kubuni mavazi ya stara yenye muonekano wa mnyama

Nguvu ya ubunifu wa mtu mwenye ulemavu wa macho imeoneshwa katika tamasha la tano la maonesho ya mavazi la Stara

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Kipande cha nyama ya nguruwe kwa siku 'chaweza kusababisha saratani '

Ulaji wa hata kiasi kidogo cha nyama nyekundu iliyosindikwa unaongeza hatari ya saratani ya utumbo, utafiti wabaini

 

5 months ago

BBCSwahili

Nyama choma au chipsi yai? Haya ndiyo madhara ya chakula ukipendacho

Na je, mvinyo ni rafiki zaidi wa mazingira kuliko bia?

 

11 months ago

VOASwahili

Chenge asema kitendo cha polisi ni cha ovyo, kinyama

Mkazi wa Kitongoji cha Kiswanya, Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania Amina Mapunda (26), alijifungua nje ya kituo cha polisi baada ya kutolewa mahabusu alikokuwa akishikiliwa kwa tuhuma zilizomhusu mumewe anayedaiwa kununua kitanda cha wizi.

 

12 months ago

Michuzi

KIWANDA CHA NYAMA CHAPIGWA FAINI YA MILION 5 KWA KUSHINDWA KUKIDHI VIGEZO VYA USAFI WA MAZINGIRA

Na Mahmoud Ahmad Dodoma
Kiwanda cha nyama cha Tanzania (TMC) kimepigwa faini ya Milion 5 baada ya kukiuka kanuni za uhifadhi wa mazingira na kuchelewa kutekeleza agizo walilopewa kuhakikisha wanafanyiakazi maagizo waliyopewa juu ya kufanyiakazi kanuni za utunzaji wa mazingira ikiwemo kufanya tathmini mazingira kabla ya kuanza kazi.
Akizungumza wakati akikagua machinjio hayo na kiwanda hicho cha nyama, Naibu waziri wa nchi Ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Kangi Lugola ambapo...

 

12 months ago

Michuzi

Naibu Waziri afanya ziara kiwanda cha HUACHENG kinachojihusisha na uchinjaji na usafirishaji wa nyama ya Punda

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola ametoa muda wa miezi sita kwa kiwanda cha HUACHENG kinachojihusisha na uchinjaji na usafirishaji wa nyama ya Punda Mkoni Dodoma kuondoa mabaki ya miundo mbinu ya vyuma na mbao ambavyo awali vilikua vikitumika katika uchinjaji wa ngo'mbe.
Mara baada ya kufanya ziara ya kikazi katika kiwanda hicho iliyolenga kufuatilia maagizo ya Serikali yaliyotolewa hapo awali, Waziri Lugola ameutaka uongozi wa kiwanda hicho kutafuta...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani