4 weeks ago

Zanzibar 24

Trump atoa onyo kwa aliyekuwa makamu wa Rais wa Obama

Rais wa Marekani, Donald Trump ameamua kuweka wazi kuwa amechoshwa na kauli za vitisho kutoka kwa aliyewahi kuwa makamu wa Rais nchini humo wakati wa utawala wa Barack Obama, Joe Biden.

Trump amesema amechoshwa na kauli za vitisho juu yake zinazotolewa na mwanasiasa huyo mkongwe nchini Marekani kutoka chama cha Democratic na kuweka wazi kuwa haogopi chochote kwani anamjua toka enzi ni mtu asiyekuwa na nguvu kimwili na kiakili.

“Mpuuzi Joe Biden anajifanya kama mtu mwenye nguvu. Ukweli ni...

 

4 months ago

VOASwahili

Obama, Bi Clinton ndio watu wanaopendwa zaidi na Wamarekani - utafiti

Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama na aliyekuwa mgombea urais kwa tikiti ya chama cha Demokratik, Hillary Clinton, bado ndio watu wawili wanaopendwa sana na Wamarekani, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup.

 

4 months ago

VOASwahili

Obama amueleza Harry hatari za mitandao ya jamii

Rais wa Marekani Barack Obama amemuambia Prince Harry wa Uingereza “kwamba kwenye mitandao ya jamii kuna hatari moja ya watu kuwa na ufahamu tofuati juu ya uhakika wa mambo” na kuzama katika taarifa ambazo zinashinikiza kuendelea kushikilia maoni potofu.

 

4 months ago

BBCSwahili

Obama aonya kuhusu matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii

Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama ameonya kuhusu matutumizi mabaya ya mitandao ya kijamii wakati wa mahojiano yasiyo ya kawaida tangu aondoke madarakani mwezi Januari

 

5 months ago

BBCSwahili

Obama afika kwa kazi ya mzee wa baraza Chicago

Kila mtu aliyekabidhiwa wito wa kuhudumu kama mzee wa baraza mahakamani hupokea hundi ya $17.20 (£13.11) kutoka kwa wilaya hiyo.

 

6 months ago

Zanzibar 24

Barua za Obama alizomwandikia mpenziwe wa zamani zafichuliwa

Barua za mapenzi ambazo ziliandikwa na Barrack Obama kwa mpenzi wake alipokuwa kijana zilidhihirisha wasiwasi wake kuhusu ubaguzi wa rangi, tabaka na fedha.

Barua hizo zilizoandikwa kwa mkono zilikuwa kati ya Obama alipokuwa mdogo na mpenzi wake wakati huo Alexandra McNear ambaye alikutana naye katika jimbo la California.

Baadhi ya barua hizo zinaonesha hali ngumu ya maisha na kazi aliyofanya ambayo hakuipenda.

Barua hizo zilizochukuliwa na maabara ya chuo kikuu cha Emory University mwaka...

 

6 months ago

BBCSwahili

Barua za Obama alizomwandikia mpinziwe wa zamani zafichuliwa

Barua za mapenzi ambazo ziliandikwa na Barrack Obama kwa mpenzi wake alipokuwa kijana zilidhihirisha wasiwasi wake kuhusu ubaguzi wa rangi, tabaka na fedha

 

6 months ago

BBCSwahili

Obama na Bush wakosoa uongozi wa Trump

Marais wawili wa zamani nchini Marekani wameonyesha wasiwasi wao kuhusu hali ya kisiasa nchini humo bila kumtaja rais Donald Trump kwa jina

 

6 months ago

BBCSwahili

Obamacare: Majimbo 18 yaonya kuishtaki serikali ya Trump

Majimbo 18 ya Marekani yamesema kuwa yataupeleka utawala wa Rais Trump mahakamani iwapo utaendelea na mpango wake wa kukataa kulipia bima ya afya ya Obamacare

 

6 months ago

BBCSwahili

Obama na Michelle washangazwa na tuhuma zinazomkabili Harvey Weinstein

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama, na mkewe, Michelle, wamesema wameshangazwa sana na tuhuma zinamkabili mwandaaji wa filamu wa Hollywood Harvey Weinstein.

 

7 months ago

BBCSwahili

Las Vegas: Muuaji huenda alilenga tamasha lililohudhuriwa na mabinti wa Obama

Stephen Paddock ambaye aliwaua watu 58 kwenye tamasha eneo wazi Las Vegas na kisha kujiua alikuwa amekodisha vyumba ambavyo vilikuwa karibu na maeneo ambayo kulikuwa kunaandaliwa matamasha awali

 

7 months ago

BBCSwahili

Obama atokwa na machozi alipomfikisha mwanawe chuo kikuu cha Harvard

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema kuwa hakuweza kuzuia machozi yake alipomfikisha mwanawe mkubwa Malia katika chuo kikuu.

 

8 months ago

BBCSwahili

Ken Mungai: Nakumbuka kimbunga Sandy na uchaguzi wa Obama

Ken Mungai, alikuwa mpiga picha wetu wa kwanza kabisa Idhaa ya Kiswahili ya BBC tulipozundua Dira ya Dunia TV.

 

8 months ago

Malunde

RAIS MAGUFULI, DANGOTE, OBAMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA KENYATTA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Magufuli na Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama ni miongoni mwa viongozi wanaotarajiwa kuhudhuria katika sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta.


Kamati ya maandalizi ya sherehe hizo inayoongozwa na Katibu Kiongozi, Joseph Kinyua imebainisha kuwa imeandaa orodha ya majina ya viongozi wa kimataifa kwa ajili ya kushuhudia tukio hilo la kihistoria la uapisho wa Kenyatta endapo ushindi wa Kenyatta hautopingwa...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani