1 day ago

RFI

Odinga azindua harakati za kutafuta haki baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema hawezi kukubali wito wa kuyakubali matokeo ya urais baada ya Uchaguzi Mkuu wiki mbili zilizopita, yaliyompa ushindi rais Uhuru Kenyatta.

 

5 days ago

Zanzibar 24

Hatimaye Odinga atinga kortini, awasilisha nyaraka 9000 za ushahidi

Muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance umewasilisha kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 8 Agosti.

Mawakili wa muungano huo wamewasilisha nyaraka za kesi hiyo na ushahidi katika majengo ya Mahakama ya Juu mjini Nairobi takriban saa moja unusu kabla ya muda ulioruhusiwa kumalizika.

Nyaraka na stakabadhi za ushahidi zilizowasilishwa na muungano huo ni za kurasa 9,000.

Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais...

 

5 days ago

Michuzi

Breaking nyuzzzz......: Odinga afungua kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Kenya

Aliyekuwa Mgombea Urais wa Kenya kupitia umoja wa NASA, Raila Odinga hatimaye amefungua kesi katika Mahakama ya Juu (Supreme Court) ya nchi hiyo kupinga matokeo ya urais wa Kenya saa 4:30 usiku yaani saa moja na nusu kabla ya deadline ya Saa 6 kamili ya usiku wa leo. Election Petition ina viambatanisho (annexure) vyenye kurasa zaidi 9, 000.

 

5 days ago

BBCSwahili

Odinga kuwasilisha kesi kupinga ushindi wa Kenyatta leo

Muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance leo unatarajiwa kuwasilisha kesi ya kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta.

 

1 week ago

RFI

Odinga kupinga ushindi wa rais Kenyatta katika Mahakama ya Juu

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya NASA Raila Odinga, ametangaza kwenda katika Mahakama ya Juu kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta, baada ya Uchaguzi Mkuu kumalizika wiki iliyopita.  

 

1 week ago

BBCSwahili

Uchaguzi Kenya 2017: Odinga kupinga ushindi wa Kenyatta mahakamani

Raila Odinga ametangaza kwamba muungano wake wa National Super Alliance utawasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumanne wiki iliyopita.

 

1 week ago

BBC

Kenya election: Raila Odinga to challenge result in court

The opposition leader had previously refused to appeal against President Uhuru Kenyatta's victory.

 

1 week ago

RFI

Raila Odinga asubiriwa kutoa kauli baada ya Uchaguzi Mkuu

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, anasubiriwa kutangaza mwelekeo wake kuhusu Uchaguzi Mkuu uliokamilika wiki iliyopita na kumpa ushindi rais Uhuru Kenyatta.

 

1 week ago

RFI

Raila Odinga kutoa tamko la uelekeo wa NASA baada ya kupinga ushindi wa Uhuru Kenyatta

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ameahirisha kutangaza mwelekeo wake na wa muungano wake wa NASA, baada ya kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta aliyetangazwa wiki iliyopita. Odinga alitarajiwa kuwahotubia wafuasi wake hapo jana lakini muungano wa NASA, umesema kuwa tangazo hilo sasa litafanyika hii leo jumatano. Mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 72, ameendelea kusisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi huo, na kura zake ziliibiwa.

 

1 week ago

BBCSwahili

UN yakataa ombi la Odinga kukagua matokeo ya uchaguzi Kenya

Umoja wa Mataifa umekataa ombi la kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga kukagua matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti.

 

1 week ago

RFI

Odinga aahirisha uamuzi kuhusu mgogoro wa kura

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ameahirisha hadi kesho kutangaza mwelekeo wake na wa muungano wake wa NASA, baada ya kupinga ushindi wa rais Uhuru Kenyatta aliyetangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wiki iliyopita.

 

1 week ago

BBCSwahili

Uchaguzi Kenya: Odinga achelewa kutangaza hatua atakayochukua

Muungano wa upinzani nchini Kenya National Super Alliance (Nasa) umeahirisha kikao cha kutoa tangazo kuhusu mweleko wa chama hicho kufuatia uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

 

1 week ago

Zanzibar 24

Raila Odinga aliweka hadharani suala la wizi wa kura Kenya

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga aliyeshindwa urais na mpinzani wake Uhuru Kenyatta kwenye uchaguzi uliopita ameliambia gazeti la Financial Times nchini Uingereza kwamba atafichua ushahidi siku ya Jumanne kutokana na alivyoibiwa kura, ”Tutauonesha ulimwengu ulivyochezewa” .alisema.

Raila Odinga

Bwana Odinga ambaye alikuwa akiwania urais kwa mara ya nne alibainisha kuwa hatowania tena urais na  aliwataka Wakenya kujua kilichofanyika wakati wa uchaguzi huo.

”Sio swala la kuwa...

 

1 week ago

RFI

Raila Odinga : Niko tayari kufichua wizi wa kura

Wakati ambapo hali ya utulivu ikianza kurejea nchini Kenya, kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga akihojiwa na gazeti la Financial Times la Uingereza amesema kwamba atafichua ushahidi siku ya Jumanne kuhusu vile alivyoibiwa kura.

 

1 week ago

BBCSwahili

Raila Odinga kufichua madai ya wizi wa kura Kenya

Bwana Odinga ambaye alikuwa akiwania urais kwa mara ya nne pia alibaini kwamba hatowania tena urais na kwamba aliwataka Wakenya kujua kilichofanyika wakati wa uchaguzi huo.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani