2 days ago

Michuzi

WAZIRI JAFO ALIVALIA NJUGA SUALA LA WATU WENYE ULEMAVU WAWEZE KUPATA FURSA ZA AJIRA PAMOJA NA KUPATIWA MATIBABU BURE

Na Victor  Masangu, KisaraweWAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa  (TAMISEMI)  Selemean Jafo amekemea vitendo vinavyofanywa na baadhi ya jamii kuwabagua na kuwanyanyasa  makundi ya watu  wenye ulemavu na  badala yake wabadilike na kuwashirikisha kikamilifu katika shughuli zote  za kimaendeleo sambamba na kuwapatia  fursa za ajira katika sekta mbali mbali  ili waweze kujikwamua kiuchumi pamoja na kuondokana na wimbi la umasikini.
Jafo ametoa kauli hiyo  wakati wa...

 

4 days ago

Michuzi

IGP SIRRO AKUTANA RAIS WA TLS PAMOJA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume (Kulia), aliyeongozana na wajumbe wake wawili Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la Kujitambulisha na pia kujadiliana masuala mbalimbali ya kisheria. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume (Kulia), wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hiIGP SIRRO...

 

4 days ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia  amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada...

 

1 week ago

RFI

Mali itagawanywa kwa wanandoa waishio pamoja tu;Mahakama Kenya

Mahakama nchini Kenya imekataa kubadili kipengele cha sheria ya ndoa kilichowasilishwa na wanaharakati kudai kugawanywa mali kwa asilimia hamsini kwa hamsini kwa wanandoa wanaotalikiana.Mahakama imesema wanandoa wanaopaswa kugawana mali ni wale wanaoishi pamoja.

 

1 week ago

Malunde

BOT YAZIUNGANISHA PAMOJA BENKI YA POSTA NA TWIGA

Benki Kuu ya Tanzania BoT, imeridhia uamuzi wa kuiunganisha Benki ya Twiga Bancorp Ltd na ile ya Tanzania Postal Bank Public limited Company (TPB Plc), ili iwe benki moja yenye nguvu ambayo utendaji wake utakuwa chini ya usimamizi na uendeshaji wa TPB Plc, uamuzi ambao utaanza Mei 17, 2018.

Hayo yamebainishwa na Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Bernard Kibese wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo Mei 16, 2018 na kusema benki hiyo ya Twiga Bancorp iliyokuwa...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Waziri Hamad Rashid aishauri kamati ya pamoja kuondoa matatizo yanayowakabili wafanya biashara

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed ameishauri Kamati ya pamoja ya kuratibu utekelezaji wa hati ya makubaliano kati ya Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) na Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Tanzania Bara  (TFDA) kumaliza matatizo wanayowakabili wafanyabiashara wakati wa kusafirisha bidhaa kutoka upande mmoja wa  Muungano.

Waziri Hamad Rashid ametoa ushauri huo alipokuwa akizindua Kamati hiyo ya wataalamu yenye wajumbe wanne kila upande katika Ofisi ya Wakala wa Chakula na Dawa...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Hawaii yakumbwa na Kimbunga pamoja na volkano

Kimbunga hicho cha kipimo cha ritcha 6.8 kimewafanya watu kuondoka majumbani mwao, pia kikiharibu miundombinu ya umeme na maji

 

3 weeks ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU –IFAKARA YENYE KM 66.9 PAMOJA NA DARAJA LA MTO RUAHA KATIKA ENEO LA NYANDEO KIDATU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy kushoto  na Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van de Geer kulia kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Kidatu hadi Ifakara yenye jumla ya kilometa 66.9 katika sherehe zilizofanyika katika kijiji cha Nyandeo Kidatu mkoani Morogoro. Wengine katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli watatu kutoka kushoto pamoja viongozi...

 

3 weeks ago

RFI

Kenyatta: Naomba tuungane pamoja na Raila Odinga kuhubiri maridhiano

Rais Uhuru Kenyatta amelihotubia bunge, ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuapishwa kuongoza muhula wa mwisho baada ya uchaguzi ulioligawa taifa hilo mwaka uliopita.

 

3 weeks ago

Michuzi

PAMOJA NA MVUA KUBWA KUNYESHA WANANCHI WAENDELEA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Usajili wa Vitambulisho vya Taifa mkoani Morogoro umeendelea kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kusajili pamoja na changamoto kubwa ya mvua ambayo imeharibu miundombinu na kufanya baadhi ya maeneo kutofikika kwa kirahisi.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sanganjelu Kata ya Madege wilayani humo Afisa Usajili Wilaya ya Gairo Ndg. Godwill Mwamanga amewahimiza wananchi wanaoshiri zoezi hilo kuwa makini wanapojaza taarifa zao kwa kuhakikisha wanajaza taarifa sahihi naza kweli ili...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Makaburi ya pamoja yagunduliwa DRC

Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamegundua makaburi matano ya pamoja mkoani Ituri, Jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Makaburi ya pamoja yagunduliwa Rwanda

Yamegunduliwa miaka 24 baada ya mauaji ya kimbari

 

4 weeks ago

Michuzi

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV.
Meneja Masoko Mwandamizi wa...

 

1 month ago

Michuzi

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA KOMPYUTA 10, MEZA PAMOJA NA VITI SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV. 2Meneja Masoko...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani