8 months ago

Zanzibar 24

Rais JPM ateua wajumbe wa NEC, Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere wateuliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli amewateua Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere, kuwa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC).

Soma taarifa kamili:

The post Rais JPM ateua wajumbe wa NEC, Mizengo Pinda na Makongoro Nyerere wateuliwa appeared first on Zanzibar24.

 

9 months ago

Michuzi

MTOTO WA MKULIMA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA ATAJA MUAROBAINI WA KUZUIA UCHOMAJI MISITU


NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, DODOMA
WAKATI kuna wimbi la uchomaji misitu ovyo hapa nchini, “Mtoto wa Mkulima, Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda ametoa “dawa” ya kuzuia uharibifu huo wa maliasili na si nyingine bali ni kufuga nyuki.
Waziri Mkuu huyo mstaafu ambaye alipenda kujitambulisha kama mtoto wa mkulima kutokana na mapenzi yake katika Kilimo, alitoa “elimu” hiyo leo Aprili 14, 2018 wakati akizindua nembo ya “Malkia wa Asali Tanzania” kwenye Hoteli ya Morena mjini Dodoma. 
“Sisi upande...

 

11 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Pinda Explains How Fish Farming Can Boost Economy


Tanzania: Pinda Explains How Fish Farming Can Boost Economy
AllAfrica.com
Musoma — Former Prime Minister Mizengo Pinda has advised the government to promote fish farming in the Lake Zone, a move likely to contribute to the industrialisation drive. He also advised the government ensure standard fishing gear can be easily ...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani