3 weeks ago

Michuzi

UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA WATOA POLE KWA FAMILIA YA MARIA NA CONSOLATA


 

3 weeks ago

Malunde

POLEPOLE AWAPONDA MBOWE,ZITTO KABWE KUGAWANA UBUNGE MSIBANI

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Ndg. Humphrey Polepole amewaonya Vongozi wa vyama vya Upinzani nchini, Mbowe pamoja na Zitto Kabwe baada ya kukubaliana kushirikiana kumpata Mbunge jimbo la Buyungu lililoachwa wazi na Mwl. Kasuku Bilago kwa kuwaambia wembe wa CCM ni ule ule.
Polepole amesema hayo ikiwa zimepita siku kadhaa baada ya mazishi ya Mwl. Kasuku Bilago kuzikwa huko Kakonko mkoani Geita baada ya kuugua kwa muda mfupi na kisha kwenda kuzikwa huko kijijini kwao.
Polepole amesema...

 

2 months ago

Michuzi

CCM DAR YASHAURI WALIOZIBA NJIA ZA MAJI WAONDOLEWE, YATOA POLE KWA WALIOPOTEZA NDUGU KWASABABU YA MVUA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Dar es Salaam kimetoa pole kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha huku kikitoa ushauri kwa Serikali kuwaondoa waliojenga kwenye njia za maji kwa lengo la kupunguza maafa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Cylivia Katekamba amewaambia leo waandishi wa habari kuwa chama hicho kinatoa pole kwa wote ambao wamefikwa na maafa na kuomba wenye uwezo wa kusaidia walioathrika na mvua hizo...

 

2 months ago

Malunde

POLEPOLE AMVURUGA ZITTO KABWE 'NIPO TAYARI KUKAMATWA , KUUAWA RIPOTI YA CAG'

Baada ya Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey PolePole kusema Zitto Kabwe alidanganya kuhusu Ripoti ya CAG ya upotevu wa TRILIONI 1.5, Zitto amemjibu kwa kuandika yafuatayo;

"Kuna mtu anasema nikamatwe kwa kupotosha Kuhusu TZS 1.5trn zinazohojiwa na CAG
"Mimi Kabwe Zuberi Ruyagwa Zitto, Mwenyeji wa Kigoma, Muislam, NAAPA kwamba Serikali ya CCM ya Awamu ya Tano imeshindwa kuonyesha kwa CAG matumizi ya shilingi trilioni MOJA na Bilioni Mia Tano,
"Nipo...

 

2 months ago

Malunde

HAJI MANARA : WOTE NI MAKADA WA CCM LAKINI MIMI NI MAARUFU KULIKO HUMPREY POLEPOLE

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara ameweka wazi kuwa yeye ni maarufu zaidi nchini Tanzania kuliko Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole.

Haji Manara amesema kuwa yeye ni kada mzuri wa CCM na Polepole anafanya kazi kama yake lakini hana jina kubwa kumzidi yeye kutokana na historia ya maisha yake na chama hicho.

Manara amedai kuwa CCM ndio chama kilichomsomesha nje ya nchi kuhusu masuala ya propaganda na ameshawahi kuwa Katibu Mwenezi wa Mkoa wa Dar es salaam miaka ya...

 

2 months ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MRISHO GAMBO

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni mama mzazi wa  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli leo Aprili 18, 2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar...

 

2 months ago

Malunde

POLEPOLE AWACHIMBA MKWARA WAPINZANI WANAOPONDA RIPOTI YA CAG

 Chama cha Mapinduzi(CCM) kimesema kuwa kuna viongozi wa upinzani wamekuwa wakitoa taarifa za uongo kuupotosha umma, tabia ambayo haikubaliki, haivumiliki na itafika wakati watasema sheria ichukue mkondo wake maana wanaleta taharuki kwa wananchi.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Hamphrey Polepole amesema hayo leo Jumatano Aprili 18 wakati akifafanua mambo kadhaa yanayopotoshwa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG).
Polepole amesema imekuwa tabia na mtaji wa...

 

3 months ago

Malunde

POLEPOLE AMTAKA ZITTO KABWE ATAFUTE KAZI NYINGINE YA KUFANYA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefunguka na kusema Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe mwaka 2020 atafute kazi nyingine ya kufanya kwa sababu jimbo hili litarudi kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) 

Polepole amesema hayo Machi 17, 2018 wakati akifanya ukaguzi wa mradi wa kusambaza maji mkoa wa Kigoma ambapo amesema kuwa wanataka kuhakikisha kuwa mkoa huo unapata maji safi kabla ya mwaka 2020. 
"Mkandarasi ameniahidi mpaka mwezi wa tano maji...

 

3 months ago

Michuzi

POLEPOLE AENDELEA KUVUNA WANACHAMA WAPYA MKOANI KIGOMA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, 
JUMLA ya wanachama 27 kutoka Chama cha NCCR-Mageuzi  akiwemo aliewahi kuwa Diwani Kupitia Chama hicho Kata ya Kitagata  wilayani Kasulu mkoani Kigoma wamejiunga CCM.Miongoni mwa hao walijiunga CCM wapo pia wanaotoka Kata ya Nyakitonto na wamefikia uamuzi kutokana na utendaji kazi unaofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli.Wanachama hao wapya wamejiunga CCM leo mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Humphray Polepole ambaye yupo...

 

3 months ago

Michuzi

POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU


 Na Rhoda Ezekiel Kigoma,
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amewashauri Wasimamizi na waratibu wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini( TASAF) kushirikiana na viongozi wa vijiji na wataalamu wa aridhi kuanzishisha miradi itakayokuwa endelevu ambayo itakawaondoa haraka wanufaika wa mfuko huo.

Polepole ametoa kauli hiyo jana akiwa kwenye ziara yake ya mkoani Kigoma ambapo pamoja na mambo mengine alipata nafasi ya kutembelea wanufaika wa TASAF katika...

 

3 months ago

Malunde

POLEPOLE : WASIMAMIZI NA WARATIBU TASAF SHIRIKIANENI NA VIONGOZI WA VIJIJI KUBUNI MIRADI KUSAIDIA KATA MASKINI BADALA YA KUWAPA PESA TU


KATIBU wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Humphrey Polepole amewashauri wasimamizi na waratibu wa Mpango wa kunusuru Kaya Masikini -TASAF kushirikiana na viongozi wa vijiji na wataalamu wa ardhi kuanzisha miradi itakayokuwa endelevu na itakayowaondoa haraka wanufaika wa mfuko katika umaskini badala ya kuwapatia pesa pekee.
Alitoa ushauri jana akiwa katika ziara yake ya kutembelea wanufaika wa mfuko huo wa maendeleo wilayani Kibondo katika kijiji cha Nyabitaka kata ya Kizazi...

 

3 months ago

Malunde

POLEPOLE AIBUKIA KWENYE MRADI WA SAMAKI ULIOGEUZWA MALI YA MTENDAJI WA KATA NA VIONGOZI WA KIJIJI KIGOMAMradi wa ufugaji wa samaki ulioibuliwa na wananchi na kuendelezwa na serikali kwa lengo la kuzinufaisha kaya maskini katika kijiji cha Biturana Kata ya Biturana Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma umegeuzwa kuwa mali ya mtendaji wa kata hiyo na baadhi ya viongozi wa serikali ya kijiji hicho.

Hayo yameibuliwa jana na Katibu wa itikadi na uenezi CCM Taifa Humphrey Polepole Wakati akikagua mradi wa maendeleo wa kuzinufaisha kaya maskini alipotembelea mradi wa Bwawa la samaki na kubaini kuwepo...

 

3 months ago

Malunde

POLEPOLE : SERIKALI ITAWASHUGHULIKIA WOTE WALIOHUSIKA KUKWAMISHA MIRADI YA MAJI KIGOMA


Katibu wa  itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM taifa Humphrey Polepole amewaahidi wananchi wa wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma kuwa Serikali inayoongozwa na chama tawala itawashughulikia wale wote waliohusika kukwamisha miradi ya maji kutokamilika kwa wakati.
Akizungumza jana Wilayani humo katika Kijiji cha Nyagwijima wakati akikagua utekelezaji wa miradi ya Maendeleo na utekelezaji wa ilani ya CCM Polepole alisema wilaya hiyo miradi ya maji iliyojengwa ina changamoto na baadhi...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani