4 weeks ago

MwanaHALISI

Hukumu ya Sheikh Ponda kizungumkuti

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda kwa mara nyingine, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali inapinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro iliyomuachia huru Sheikh Ponda katika tuhuma ya uchochezi. Hukumu hiyo iliyotarajiwa kutolewa jana na Jaji Mkasi Mongwa ambaye ...

 

2 months ago

MwanaHALISI

Hukumu ya Sheikh Ponda yakwama

MAHAKAMA ya Rufaa imeshindwa kutoa hukumu ya rufaa ya Serikali dhidi ya Sheikh Issa Ponda baada ya jaji kutokamilisha kuiandika, anaandika Faki Sosi. Katika rufaa hiyo Serikali inapinga hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro iliyomuachia huru Sheikh Ponda katika tuhuma ya uchochezi. Hukumu hiyo iliyitarajiwa kutolewa leo na Jaji Mkasi Mongwa ambaye amesema ameshindwa ...

 

2 months ago

Zanzibar 24

Sheikh Ponda afunguka sababu ya nyumba yake kupekuliwa na Polisi

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye alishikiliwa na polisi kwa takribani siku mbili ametoa sababu ya kupekuliwa nyumbani kwake Ubungo Kibangu na polisi hao, kuwa ni kutafutwa kwa nyaraka za uchochezi.

”Kuhusu upekuzi uliofanyika nyumbani kwangu Ubungo – Kibangu, polisi walidai wanatafuta kama kuna nyaraka zozote za uchochezi, lakini hawakuzikuta”. Amesema Sheikh Ponda

Sheikh Ponda alishikiliwa na polisi kutokana na kuzungumza na waandishi wa...

 

2 months ago

Malunde

SHEIKH PONDA AACHIWA POLISI KWA DHAMANA

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limemwachia kwa dhamana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda.
Pondà ameachiwa leo Jumamosi jioni baada ya kushikiliwa na Jeshi hilo tangu jana Ijumaa asubuni akituhimiwa kutoa lugha za kichochezi katika mkutano wake na waandishi wa habari Jumatano iliyopita.
Msemaji wa Jumuiya hiyo, Sheikh Rajabu Katimba amesema: "Sheikh Ponda ameachiwa kwa dhamana na atatakiwa kuripoti tena polisi."
Awali, Kamanda wa Kanda...

 

2 months ago

MwanaHALISI

Sheikh Ponda bado ang’ang’aniwa

MWANAWAZUONI, mwanaharakati na kiongozi mashuhuri wa madhehebu ya dini ya Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, bado anaendelea kushikiriwa na jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Taarifa kutoka ndani ya jeshi hilo na zilizomnukuu Sheikh Rajabu Katimba zinasema, Sheikh Ponda ambaye aliripoti polisi leo asubuhi, bado anaendelea kuhojiwa akituhumiwa ...

 

2 months ago

BBCSwahili

Sheikh Ponda ajisalimisha katika kituo cha polisi Tanzania

Katibu mkuu wa baraza la mashirika ya kiislamu nchini Tanzania Sheikh Issa Ponda amejisalimisha katika kituo cha polisi cha Central

 

2 months ago

Zanzibar 24

Shekh Ponda apewa siku 3 zakujisalimisha kwa Polisi

Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamempatia katibu mkuu wa baraza la mashirika ya kiislamu siku tatu kujisalimisha kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi yake, afisa mkuu wa polisi anayesimamia maeneo maalum bwana Lazaro Mambosasa amesema kuwa Sheikh Ponda alifanya makosa hayo siku ya Jumatano wakati wa mkutano na wanahabari .

The Citizen limenukuu kamanda huyo wa polisi akisema kuwa...

 

2 months ago

MwanaHALISI

Sheikh Ponda atii sheria bila shuruti, ajisalimisha Polisi

SHEIKH Issa Ponda, Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania amethibitisha kuwa anaheshimu mamlaka na sheria kutokana kutii wito wa Jeshi la Polisi, anaandika Faki Sosi. Sheikh Ponda amewasili Kituo kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam majira ya saa nne asubuhi. Wito huo ulitolewa Jana na Kamanda wa Polisi Kanda ...

 

2 months ago

BBCSwahili

Sheikh Ponda apewa siku 3 kujisalimisha kwa polisi Tanzania

Maafisa wa polisi nchini Tanzania wamempatia katibu mkuu wa baraza la mashirika ya kiislamu siku tatu kujisalimisha kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi

 

2 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Ponda Given 3 Days to Surrender to Dar Police


AllAfrica.com
Tanzania: Ponda Given 3 Days to Surrender to Dar Police
AllAfrica.com
Secretary of the Council of Islamic Organisations in Tanzania Sheikh Issa Ponda speaks during a press conference in Dar es Salaam on Wednesday. With him is Twalib Hassan. By Witness Robert. Dar Es Salam — The police have given secretary of the ...

 

2 months ago

Channelten

Jeshi la Polisi kanda Maalum Dsm limetoa siku tatu Sheikh Ponda Issa Ponda kujisalimisha Polisi

b2

Jeshi la Polisi kanda Maalum Dsm limetoa siku tatu kwa katibu wa kutetea haki za waislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda kujisalimisha Polisi kanda Maalum ili ahojiwe kwa tuhuma za kutoa lugha za Uchochezi wakati akizungumza na waandishi wa habari jana.

Kamanda wa Polisi kanda Maalum dsm Lazaro mambosasa akizungumza na waandishi wa habari jijini dsm amesema wanamtafuta sheikh Ponda kumhoji kutokana na kauli zake wanazodai za Uchochezi ambapo jana katika hotel ya Iris polisi walishindwa...

 

2 months ago

MwanaHALISI

Sheikh Ponda kimenuka, apewa siku tatu kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda kujisalimisha mikononi mwa Polisi ndani ya siku tatu kuanzia leo, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema Sheikh Ponda ametenda makosa ...

 

2 months ago

CHADEMA Blog

SHEHE PONDA AMJULIA HALI TUNDU LISSU NAIROBI , AZUNGUMZIA HALI YA KIUSALAMA NCHINI

Mkutano wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda na waandishi wa habari, umevamiwa na polisi waliokuwa wanataka kumkamata ili kuzuia mkutano huo usifanyike.Hata hivyo, polisi hao walioingia katika hoteli ulikofanyika mkutano huo, Kariakoo jijini Dar es Salaam, walishindwa kumpata Sheikh Ponda kwani tayari alikuwa amemaliza kuzungumza na waandishi hao na

 

2 months ago

Zanzibar 24

Mkutano wa Sheikh Ponda wavamiwa na Polisi

Jeshi la Polisi limevamia na kuzuia mkutano wa Sheikh Issa Ponda uliokuwa amepangwa kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la kushambuliwa kwa risasi, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, mara baada ya Sheikh Ponda kurejea kutoka Nairobi ambako alikutana na kuzungumza na Lissu.

Mkutano huo ulikuwa umepangwa kufanyika katika Hoteli ya Iris, iliyopo eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro...

 

3 months ago

CHADEMA Blog

KAULI YA SHEIKH PONDA KUHUSU JARIBIO LA MAUAJI DHIDI YA MHE TUNDU LISSU

SHEIKH PONDA AGUSWA NA JARIBIO LA MAUAJI DHIDI YA MHE TUNDU LISSU Nimesikitishwa na tukio la kupigwa risasi Mheshimiwa Tundu Lissu. Ni tukio linalopingana na misingi ya sheria za nchi. Bila shaka wakati wa ukombozi ukifika hata jiwe litapiga kelele, ninaamini wakati wenyewe haupo mbali. Ni ujinga na upuuzi kudhani kwamba matumizi ya silaha yanaweza kuzuia ukombozi. Wanaodhani hivyo

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani