3 days ago

Michuzi

CRDB BANK tawi la Azikiwe Premier yaadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwa Kuwakumbuka Watoto Waishio Katika Mazingira Magumu

Benki ya CRDB ndio benki yenye huduma bora Tanzania kuliko benki nyingine yoyote, imeendeleo kuonyesha kuwajali Watanzania ambapo Menejmenti na Wafanyakazi wa CRDB Bank Tawi la Azikiwe Premier, la jijini Dar es Salaam, wameadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika, kwa kuwakumbuka watoto wanaoishi katika mazingira magumu, kwa kuwatembelea watoto wanaotunzwa katika kituo cha Jeshi la Wokovu kwa kuwapelekea zawadi mbalimbali za mahitaji muhimu, na kuwadhamini baadhi yao kwa kuwafungulia akaunti,...

 

1 month ago

Zanzibar 24

Orodha ya Timu na wachezaji walioshinda tuzo za Vodacom Tanzania Premier League

Usiku wa May 24 2017 imekua siku rasmi ambapo tuzo za Vodacom Tanzania Premier League zimetolewa kwa Wachezaji na timu za bongo.Hii hapa orodha ya washindi:

Azam FC- Wachukua tuzo ya timu iliyoshika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu VPL na wameshinda shilingi milion 24 Kagera Sugar- Wachukua tuzo ya timu iliyoshika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu VPL na wameshinda shilingi milion 30 Simba SC- Wachukua tuzo ya timu iliyoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu VPL na...

 

1 month ago

MillardAyo

FULLVIDEO: List ya walioshinda Tuzo za Vodacom Premier League 2017

Usiku wa May 24 2017 imekua siku rasmi ambapo tuzo za Vodacom Tanzania Premier League zimetolewa kwa Wachezaji na timu za bongo na list yenyewe ndio nimekuwekea hapa kwenye hii video hapa chini. Ulimiss hii Good News nyingine kwa soka la bongo kutoka SportPesa itazame hii video hapa chini…

The post FULLVIDEO: List ya walioshinda Tuzo za Vodacom Premier League 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 month ago

MillardAyo

PICHA 19: Kutoka kwenye utoaji wa Tuzo za Vodacom Premier League 2017

Usiku wa May 24 2017 zimetolewa tuzo za Vodacom Tanzania Premier Ligi kwa Wachezaji na timu za bongo ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ambaye alikabidhi zawadi ya mchezaji bora wa ligi 2016 – 2017. Millardayo.com na Ayo TV zilikuwa eneo la tukio na tayari zimezinasa picha 19 za tukio hilo […]

The post PICHA 19: Kutoka kwenye utoaji wa Tuzo za Vodacom Premier League 2017 appeared first on...

 

1 month ago

MillardAyo

Lista ya walioshinda Tuzo za Vodacom Premier League 2017

Usiku wa May 24 2017 imekua siku rasmi ambapo tuzo za Vodacom Tanzania Premier League zimetolewa kwa Wachezaji na timu za bongo na list yenyewe ndio hii hapa chini #MillardAyoUPDATES utoaji wa tuzo Ligi kuu Tanzania Bara SIMBA SC wameshika nafasi ya 2 kwenye Ligi na wameshinda zawadi ya milion 42 #VPL pic.twitter.com/OY9zEBbFcT — millard ayo (@millardayo) […]

The post Lista ya walioshinda Tuzo za Vodacom Premier League 2017 appeared first on millardayo.com.

 

1 month ago

BBC

Acheampong dreams of playing in English Premier League

Ghana international Frank Acheampong reveals that he dreams of moving from Belgium to play in the English Premier League.

 

1 month ago

TheCitizen

EDITORIAL: MAINTAIN GOOD PRACTICES IN Premier League MATCHES

The curtain eventually falls on the 2016/17 Vodacom Premier League today with tension gripping several teams.

 

1 month ago

MillardAyo

LIST: Wachezaji wanaowania tuzo za Vodacom Premier League 2016/17

Shirikisho la Soka Tanzania TFF leo May 17 2017 kupitia tovuti rasmi ya shirikisho hilo imetangaza majina matano ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2016/2017 na watapigiwa kura hadi May 23 saa 6:00 usiku. Majina ya wachezaji watano yaliyotajwa na shirikisho la soka Tanzania TFF ni Haruna […]

The post LIST: Wachezaji wanaowania tuzo za Vodacom Premier League 2016/17 appeared first on millardayo.com.

 

1 month ago

MillardAyo

Chelsea imetwaa ubingwa wa Premier League ikiweka rekodi hizi

May 12, 2017 Chelsea imecheza mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya West Brom ambapo bao pekee la Michy Batshuayi limeiwezesha klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Premier League msimu wa 2016/2017 katika mchezo uliopigwa The Hawthorns. Batshuayi alifunga bao hilo zikiwa zimesalia dakika nane mchezo kumalizika katika mchezo ambao Chelsea ilihitaji ushindi ili kutwaa ubingwa wa EPL ikifikisha […]

The post Chelsea imetwaa ubingwa wa Premier League ikiweka rekodi hizi appeared first on...

 

2 months ago

TheCitizen

Five unresolved issues in the Premier League

With the end of the Premier League season just two and a half weeks away, here are five issues that are still to be resolved ahead of this weekend’s matches.

 

2 months ago

BBC

Atsu helps Newcastle to Premier League return

Newcastle United secure an immediate return to the Premier League with a convincing home win over 10-man Preston.

 

2 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Easy, We're On Course - Premier


Tanzania: Easy, We're On Course - Premier
AllAfrica.com
Dodoma — Take it easy, says Prime Minister Kassim Majaliwa, urging Tanzanians to be patient, and have faith as the government investigates recent incidents of abductions and disappearances. The premier made this call in Parliament yesterday, stressing ...

 

2 months ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Premier Majaliwa Instructs Empowerment Funds to Exercise Discipline in Loan Issuance


Tanzania: Premier Majaliwa Instructs Empowerment Funds to Exercise Discipline in Loan Issuance
AllAfrica.com
Dodoma — Prime Minister Kassim Majaliwa has called upon custodians of empowerment funds to refrain from the allure of dishing out loans on corruption grounds. By doing so, the money that the government injects to various funds that are deliberately ...

 

2 months ago

TheCitizen

Premier Majaliwa instructs empowerment funds to exercise discipline in loan issuance

Prime Minister Kassim Majaliwa has called upon custodians of empowerment funds to refrain from the allure of dishing out loans on corruption grounds.

 

2 months ago

TheCitizen

Former Israel Premier impressed by Tanzania tourism attractions

Former Israel Prime Minister, Mr Ehud Barak, has praised the government for the way it preserves the country’s tourist attractions.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani