(Yesterday)

Channelten

Kuelekea Uchaguzi Mpya wa Urais, Raila Odinga awataka wafuasi wake kuendelea na maandamano

3904EA64-8D04-4C5B-8453-DDB72B775BAB_w1023_r1_s

Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ambaye ametangaza kujitoa kwenye uchaguzi mpya wa urais uliopangwa kufanyika Oktoba 26, amewataka wafuasi wake kuendelea na maandamano licha ya serikali kupiga mafuruku maandamano hayo.

Wiki iliyopita serikali ya Rais Uhuru Kenyatta ilipiga marufuku maandamano kwenye vitovu vya miji mikubwa kwa maelezo kuwa ni kulinda maeneo ya kibiashara na uchumi dhidi ya uharibifu wa mali unaofanywa na wahalifu chini ya kivuli cha...

 

1 day ago

RFI

Raila Odinga: Bila mabadiliko ndani ya Tume ya Uchaguzi, hakuna Uchaguzi

Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA, umesisitiza kuwa hautashiriki katika Uchaguzi mpya wa urais uliopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.

 

6 days ago

RFI

Raila ajitoa katika kinyang'anyiro huku Kenyata akisema bado yupo tayari kushiriki uchaguzi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa uchaguzi utafanyika nchini humo licha ya wagombea wa Muungano wa upinzani wa NASA kutangaza kujiondoa katika uchaguzi wa marudio kama ilivyotangazwa na tume huru ya uchaguzi IEBC.Wachambuzi wa siasa Dr Brian Wanyama na Haji Kaburu wanaangazia hali ya mambo nchini Kenya.

 

6 days ago

BBCSwahili

Kufahamu zaidi kuhusu hatua ya Raila Odinga kujiondoa kwenye marudio ya uchaguzi Kenya

Upinzani unaamini kuwa uchaguzi unastahili kufutwa baada ya Odinga kujiondoa, lakini ni nini haswa kitafuatia?

 

6 days ago

Malunde

News Alert : RAILA ODINGA AJITOA UCHAGUZI MKUU KENYA WA OKTOBA 26

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.
Bwana Odinga anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu
Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.
Bw. Odinga anasema amejiondoa ili kuipa tume ya uchaguzi IEBC muda wa kutosha kufanya...

 

6 days ago

RFI

Raila Odinga asema hatashiriki Uchaguzi mpya wa urais nchini Kenya

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki katika Uchaguzi mpya wa urais uliopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu.

 

6 days ago

RFI

Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi wa urais wa Oktoba 26 nchini Kenya

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza Jumanne hii (Oktoba 10) kwamba anajiondoa kwenye uchaguzi wa urais uliopangwa kufanyika Oktoba 26.

 

6 days ago

Bongo Movies

Breaking : Raila Odinga ajitoa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa marudio Kenya

Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, leo October 10, 2017 ametangaza kutoshiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao uliamriwa na mahakama kurudiwa October 26 mwaka huu.

Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.

 

6 days ago

VOASwahili

Raila Odinga ajiondoa kwa kinyang'anyiro cha urais Kenya

Aliyekuwa mgombea wa urais kwa tikiti ya muungano wa National Super Alliance (Nasa), Raila Odinga, Jumanne aliotangaza rasmi kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha marudio ya uchaguzi uliotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi Oktoba

 

6 days ago

BBC

Raila Odinga quits Kenya election re-run

Kenyan opposition leader Raila Odinga pulls out of the 26 October poll re-run, urging a "credible election".

 

6 days ago

BBCSwahili

Raila Odinga ajiondoa kwenye uchaguzi mkuu Kenya

Bwana Odinha anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa n mahakama ya juu

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Rais Kenyatta na Raila Odinga wakutana katika mazishi

Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa Upinzani Raila Odinga wamekutana kwa mara ya kwanza tangu kufutiliwa mbali kwa matokeo ya uchaguzi wa urais wa Agosti 8 na mahakama ya juu

 

1 month ago

VOASwahili

Uhuru, Raila hawatabadilisha wasimamizi wa uchaguzi katika kambi zao

Rais Uhuru Kenyatta na hasimu wake wa kisiasa Raila Odinga wanaendelea kuwatumia makamanda wao walioshiriki kusimamia uchaguzi wa mwezi August 2017 katika kinyang’anyiro cha urais unaorudiwa tena nchini Kenya.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani