8 months ago

Mwananchi

Rashford amtembelea nyota wa zamani Brazil ‘Mfalme’ Ronaldinho

Mshambulaji wa Manchester United, Marcus Rashford ametumia muda wake wa mapumziko ya Ligi Kuu England kwenda Miami, Marekani na kumtembelea mkongwe Ronaldinho.

 

9 months ago

Mwanaspoti

Rashford aiombea Man U isimkose Morata

Mshambuliaji Marcus Rashford amesisitiza mpango wa Manchester United wa kusaka majina makubwa kwenye dirisha la usajili wakumbuke na kumsajili Alvaro Morata.

 

9 months ago

Mwananchi

Kocha England amteua Rashford timu ya vijana

Kocha wa England, Gareth Southgate amesema hashawishiwi na uamuzi wa kocha Jose Mourinho kuhusu mpango wake wa kumuita Marcus Rashford kwenye timu ya vijana England.

 

10 months ago

Mwanaspoti

Rashford kuongoza mashambulizi kwa Arsenal

Mshambuliaji kinda wa Manchester United, Marcus Rashford ametajwa kuongoza safu ya ushambuliaji kwenye mchezo wao dhidi ya Arsenal kesho Jumapili.

 

10 months ago

Mwanaspoti

Wenger abanwa na Rashford

MARCUS Rashford pengine litakuwa jina linalopeperusha usingizi wa Arsene Wenger kwa siku hizi mbili hadi wikiendi hii ipite.

 

10 months ago

Mwananchi

Rashford, Rooney kuongoza mauaji ya Man City

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amepanga kuwaanzisha pamoja na Marcus Rashford na Wayne Rooney dhidi ya Manchester City leo saa 4:00 usiku.

 

10 months ago

BBCSwahili

Mourinho: Rashford amepita kiwango cha mechi za chini ya miaka 21

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho hadhani kwamba mshambuiaji Marcus Rashford anafaa kuteuliwa katika kikosi cha soka cha wachezaji wasiozidi umri wa miaka 2

 

10 months ago

BBCSwahili

Rashford aipeleka nusu fainali Man United

Rashford aipeleka nusu fainali Man United

 

10 months ago

Mwanaspoti

Celta Vigo wazima ndoto ya Samatta, Rashford aibeba Man United

Brussels, Ubelgiji. Ndoto ya mshambuliaji wa Tanzania anayechezea KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta imezimika baada ya timu yake kuaga katika michuano ya Europa League.

 

11 months ago

Bongo5

Marcus Rashford kuziba nafasi ya Rooney na Kane timu ya taifa Uingereza

Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Marcus Rashford anatarajiwa kuwa kwenye kikosi cha kocha wa Uingereza, Gareth Southgate.

Kiungo huyo ambaye ana umri wa miaka 19 hapo awali alitarajiwa kushirikishwa katika upande wa vijana mwenye umri chini ya miaka 21 watapokuwa wakicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Ujerumani na Denmark wikendi ijayo.

Lakini washambuliaji wa England Harry Kane na Wayne Rooney wote wametolewa kutokana na majeraha , huku Rashford akitarajiwa kuchukua nafasi...

 

11 months ago

BBCSwahili

Marcus Rashford kujiunga na timu ya taifa ya Uingereza

Mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford atatajwa kwenye kikosi cha meneja wa England , Gareth Southgate siku ya Alhamisi.

 

11 months ago

Bongo5

Rashford, Martial na Rooney kuikosa Chelsea leo

Klabu ya Manchester United leo itakuwa katika uwanja wa Stamford Bridge jijini London, inaivaa Chelsea katika mechi ya robo fainali ya FA Cup.

Man United tayali wameshatua London kwa usafiri wa treni tayari kwa mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu kubwa.

Katika mechi hiyo, Man United itawakosa Zlatan Ibrahimovic mwenye adhabu ya kufungiwa mechi tatu, Marcus Rashford na Anthony Martial apmoaja na nahodha wao Wayne Rooney ambaye aliaumia mazoezini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!!...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani