4 weeks ago

BBCSwahili

Real Madrid yailaza Real Betis 5-3

Marco Asensio alifunga mabao mawili na kuisaidia Real Madrid kuizaba klabu ya Real Betis 5-3 na kuipatia klabu hiyo ushindi wa tatu mfululizo

 

1 month ago

Malunde

REAL MADRID YAWEKA REKODI LA LIGA

Mabingwa watetezi wa La Liga klabu ya Real Madrid jana imeibuka na ushindi wa mabao 5-3, dhidi ya Real Betis na kufanikiwa kuwa klabu ya kwanza kufikisha mabao 6,000 ya kufunga kwenye ligi hiyo.
Katika mchezo huo bao la pili la Marco Asensio ambalo alifunga dakika ya 59 ndio liliifanya Real Madrid kutimiza mabao 6,000 ya kufunga kwenye ligi hiyo na kuwa timu ya kwanza kufikia idadi hiyo kubwa ya mabao.
Baada ya bao hilo la pili la Asensio lilikuja muda mfupi tu baada ya beki Sergio Ramos...

 

1 month ago

BBCSwahili

Klabu bingwa Ulaya: Je Zinedine Zidane ataepuka shoka Real Madrid?

Baada ya msimu mbaya ambao ni vigumu kuelewa , je ufanisi wa michuano ya klabu bingwa itanusuru kazi Zinedine Zidane katika klabu ya Real Madrid?

 

2 months ago

Ghafla!

“A woman needs a real Man not a boy!” Zari's sister taking shots at Diamond Platnumz?


Ghafla!
“A woman needs a real Man not a boy!” Zari's sister taking shots at Diamond Platnumz?
Ghafla!
Zari's sister Ashutalal has shared a post that seems to be taking shots at Diamond Platnumz. In the post shared on her Instagram; the lady talked about ladies finding themselves responsible men who focus on their families. Also read: Tunda apologizes ...
Zari's sister goes ham on Diamond, calls him a boy who has deserted his familyZIPO.CO.KE

all 3

 

2 months ago

Michuzi

ZIDANE AKALIA 'KUTI KAVU' REAL MADRID

Na Agnes Francis, Globu ya Jamii
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Real Madrid, Zinedine Zidane ameendelea kusakamwa na matokeo mabaya anayoyapata baada ya jana kuondolewa kwa jumla ya mabao 2-2 dhidi ya Leganes.
Matokeo hayo yameifanya Madrid kuondolewa katika michuano ya Kombe la Mfalme(Copa del Rey).Mtanange huo uliopigwa Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid imeondolewa kwenye michuano hiyo licha ya ushindi walioupata wakiwa ugenini wa bao 1 - 0 wakati jana Madrid walipokea kichapo cha bao 2 - 1 bila...

 

2 months ago

BBC

Algeria's Taider moves from Bologna to MLS side Montreal

Algerian star Saphir Taider swaps Italy for Canada as he joins MLS side Montreal Impact in a three-year deal.

 

2 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane: Sioni Real Madrid bila Cristiano Ronaldo.

Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane anaamini kwamba mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo atasalia katika klabu hiyo na haoni sababu za yeye kuondoka katika klabu hiyo ya Uhispania

 

3 months ago

Zanzibar 24

Barcelona yaifanya vibaya Real Madrid, hizi hapa dondoo muhimu

Klabu ya Barcelona imefanikiwa kupeleka zawadi ya Christmas kwa mashabiki wake Duniani baada ya kuibuka na ushindi mnono katika mchezo dhidi ya mahasimu wao Real Madrid kwa kuichapa kwa magoli 3 kwa 0.

Madrid iliyoanza kwa nguvu katika kipindi cha mwanzo huku wakikosa goli la mapema kupitia kwa Cristiano Ronaldo walijikuta wakitandikwa magoli hayo kupitia kwa Luis Suarez mnamo dakika ya 54, Lionel Messi akifunga kwa penati mnamo dakika ya 64 na Alex vidal akiwazamisha kabisa katika dakika ya...

 

3 months ago

BBCSwahili

El Clasico: Real Madrid 0-3 Barcelona

Barcelona ilionyesha mchezo mzuri ugenini na kupata ushindi dhidi ya Real Madrid ambayo imeondolewa katika kuwania taji la ligi ya Uhispania

 

3 months ago

BBCSwahili

Barcelona kutoana jasho na Real Madrid katika 'El Clasico'

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo na winga Gareth Bale wote wako asilimia 100 tayari kucheza katika mechi kali zaidi duniani ya ''El Clasico'' dhidi ya Barcelona

 

3 months ago

BBC

Hakimi only sixth African player to score for Real Madrid

Achraf Hakimi hails an unforgettable first goal for Real Madrid as he becomes the first Moroccan and sixth African to score for the European giants.

 

4 months ago

BBC

The 10-year-old Liberian girl dreaming of Real Madrid

Jessica Quachie was spotted by an academy and now plays international tournament football against boys.

 

5 months ago

BBCSwahili

Tottenham yaichapa Real Madrid 3-1 yatinga 16 bora

Dele Alli alifunga mara mbili na kushuhudia Tottenham Hotspur ikiichapa miamba ya Hispania na mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa Ulaya Real Madrd na kufanikiwa kutinga hatua ya 16 bora.

 

5 months ago

BBCSwahili

Real Madrid yazuiwa na Tottenham Bernabeu

Tottenham Hotspur ilionyesha kwamba inaweza kucheza katika kiwango cha juu , alisema mshambuliaji Harry Kane

 

6 months ago

BBCSwahili

Gareth Bale: Nyota wa Real Madrid atatizwa na jeraha Wales

Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale hataweza kuchezea timu ya taifa ya Wales mechi muhimu za kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Georgia na Jamhuri ya Ireland.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani