11 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane anaachia ngazi Real Madrid: Je Real Madrid itafanya nini?

Uamuzi wa Zinedine Zidane kuondoka Real Madrid unawacha maswali mengi ikiwemo la ni nani atakayemrithi

 

11 months ago

Michuzi

BREAKING NEWS:: ZINEDINE ZIDANE AACHIA NGAZI REAL MADRID

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiAliyekuwa Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane 'Zizzou' mchana wa leo ametangaza kuachia ngazi kama Kocha Mkuu wa kikosi hivyo baada yakutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE).
Zidane (45) alijiunga na Real Madrid mwaka 2014 akianza kukinoa kikosi cha Castilla (Real Madrid B).
Zidane alichukua mikoba ya Rafael Benitez aliyeondoka kwenye Kikosi cha kwanza hapo January 2016 .
Kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari...

 

11 months ago

BBCSwahili

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya.

 

11 months ago

BBCSwahili

Kipa wa Liverpool Loris Karius ashauriwa ahame baada ya makosa dhidi ya Real Madrid

Mlinda lango wa Liverpool Loris Karius ameshauriwa ahamie taifa jingine kucheza soka baada ya makosa mawili kuchangia klabu hiyo kufungwa na Real Madrid.

 

11 months ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Real Madrid walivyosherehekea kulaza Liverpool na kushinda Champions League

Maelfu ya mashabiki wa miamba wa Uhispania Real Madrid walijitokeza katika barabara za jiji kuu la Uhispania Madrid kuwapokea wachezaji wa klabu hiyo waliporejea kutoka Kiev Jumapili.

 

11 months ago

BBCSwahili

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya

Mlinda lango huyo na familia yake wamekuwa wakipokea vitisho baada ya makosa mawili kutoka kwake kuwasaidia Real Madrid kupata ushindi wa 3-1.

 

11 months ago

Michuzi

MWANAFUNZI WA ST. AUGUSTINE AJINYONGA MJINI MBEYA KWA MATOKEO YA MECHI YA REAL MADRID NA LIVERPOOL

Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo kikuu cha ‘St. Augustine’ kampasi ya Mbeya Moses Mashaka amejinyonga mara baadaya timu yake ya Liverpol kushindwa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Ulaya, Polisi yathibitisha

 

11 months ago

Malunde

MLINZI WA REAL MADRID SERGIO RAMOS AMUOMBEA MO SALAH

Beki wa Mabingwa wa Kombe la UEFA Champions League, Sergio Ramos amesema kuwa hakudhamiria kumuumiza mshambuliaji wa Liverpol, Mohamed Salah katika mchezo wao wa fainali uliochezwa usiku wa kumkia leo.
Ramos ameeleza hayo kupitia ukurasa wake maalum wa kijamii baada ya mamia ya mashabiki wa soka ulimwenguni kumlaumu mchezaji huyo kuwa alikusudia kimakusudi kumfanyia madhambi mwenzake kwa kuwa kile kilichoonekana sio cha kawaida.
"Muda mwingine mchezo wa mpira wa miguu unakuonyesha upande wako...

 

11 months ago

BBCSwahili

Zidane:Najivunia kuwa sehemu ya Mafanikio ya Real Madrid

Zinedine Zidane amesema anajivunia kuweka historia na Real Madrid baada ya kunyakua taji la ligi ya mabingwa

 

11 months ago

BBCSwahili

Fainali klabu bingwa Ulaya: Real Madrid wataweza kuizuia mishale ya Liverpool?

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp hana nia ya kubadilsha mbinu za kikosi chake cha 4-3-3 kwenye mechi ya leo Jumamosi

 

11 months ago

Michuzi

LEO NI LEO LIVERPOOL VS REAL MADRID JIJINI KIEV


Na Sultani KipingoVilabu viwili vya soka vikubwa barani Ulaya leo vinaingia uwanja wa Olimpiysky Stadium jijini Kiev huku Real Madrid wakipania kunyakua kombe la UEFA Champions kwa mara ya 13 - kwa mara ya tatu mfululizo - kwa kuishinda Liverpool FC iiliyoingia fainali kwa mara ya kwanza katika miaka 11 wakiwinda ubingwa huo kwa mara ya sita.Ushindi huko Kiev utaifanya Real Madrid timu ya nne kushinda mataji matatu ya Ulaya na ya kwanza kufanya hivyo mara mbili, kufuatia ushindi wao wa...

 

11 months ago

BBC

Real Madrid v Liverpool: Could James Milner be key to Champions League final?

The Champions League final between Real Madrid and Liverpool has the makings of a classic, but what can we learn from the pre-match statistics?

 

11 months ago

BBCSwahili

Liverpool v Real madrid: Uwanja ambao Cristiano Ronaldo na Mo Salah watakutana

Uwanja wa Taifa wa Olimpiyskiy mjini Kiev utakuwa mwenyeji wa fainali inasubiriwa kwa hamu na ghamu ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Liverpool na Real Madrid.

 

11 months ago

BBCSwahili

Barcelona yawika huku Real Madrid ikilazwa

Barcelona imesalia na mechi mbili kuandikisha rekodi ya kutofungwa msimu mzima katika ligi ya La Liga baada ya kuicharaza Villarreal huku Ousmane Dembele akifunga mabao mawili

 

12 months ago

BBCSwahili

Fainali ya ubingwa Ulaya: Je mashabiki wa Liverpool na Real Madrid watarajie nini Kiev?

Bingwa wa zamani wa uzani mzito wa masumbwi ndiye mwenyeji wa fainali hiyo itakayofanyika Mei 26 mjini Kiev.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani