2 days ago

Bongo Movies

Roma Aikana CHADEMA

Msanii Roma Mkatoliki ambaye anaimba muziki wa Hip hop kwenye game ya bongo, amekikana chama cha CHADEMA na kusema kuwa hajawahi kuwa mwanachama wa chama hicho kama ambavyo wengi wanaamini, na hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.

Roma ambaye hivi karibuni alikutwa na sakata la kutekwa na kuibua sintofahamu nyingi, amesema kwamba hajawahi kuwa mwanasiana na hajawahi kuwa na kadi ya chama chochote.

“Mtu akisema nipo kwenye siasa za upinzani siyo jambo sahihi na siyo jambo ambalo...

 

2 days ago

Bongo Movies

Roma Atoboa Siri ya Zimbabwe

Rapa Roma amedai sababu za kusema anakwenda Zimbabwe  ni kutokana na ukweli kwamba nchi hiyo  ni moja kati ya nchi ambazo ziliguswa na matatizo aliyopata ikiwepo kutekwa na kuteswa kwa siku tatu mfululizo.

Akizungumza leo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Roma amesema ingawa tayari idea ya wimbo huo ilikuwepo lakini alitamani kuonyesha mama wa Afrika kwani Zimbabwe ni kati ya nchi ambazo Tanzania ilisaidia kutafuta uhuru wake.

“Ningeweza kwenda Zimbabwe au nchi nyingine yoyote...

 

6 days ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Afungukia Bifu Lake na Roma

HIT MAKER wa ngoma inayobamba kwa sasa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, amesema aliumizwa sana na maneno ya rapa mwenziye, Roma Mkatoliki, aliyeongea maneno ya kumkashifu mara baada ya kuibuka baada ya kutekwa kwake, miezi michache iliyopita.

NAY WA MITEGO AFUNGUKA…

“Roma anatakiwa ajue kwamba mimi ni mmoja kati ya wasanii ambao walishinda kutwa nzima kwenye studio yake ya Tongwe Records na kituo cha polisi, toka siku aliyotekwa hadi siku aliyopatikana, lengo likiwa ni kutaka...

 

2 weeks ago

Bongo Movies

Wimbo wa Roma Waibua Maswali

SIKU mbili baada ya kuanza kusambaa mitandaoni na kuchezwa kwenye vituo mbalimbali vya redio, wimbo wa Msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’, umeibua maswali mengi.

Maswali yanaanzia kwenye jina la wimbo huo aliouita ‘Zimbabwe’, ambapo kwenye mashairi yake anasema ‘nakwenda Zimbabwe’, ambapo wengi wamejiuliza kwanini wimbo wa kuelezea kutekwa kwake aupe jina kama hilo.

Kwenye utambulisho wa wimbo huo katika moja ya kituo cha redio, msaani huyo aliwakilishwa na mkewe, Nancy...

 

2 weeks ago

Bongo Movies

Sikuwahi Kujua Roma ni Msanii-Mke wa Roma (VIDEO)

Mke wa msanii Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa kwa mara ya kwanza alikutana na Roma Mkatoliki kwenye sherehe za kumnio na kudai msanii huyo alitambulisha kama Ibrahim na kusema kipindi hicho hakujua kama Roma ni msanii.

Mke wa Roma Mkatoliki Nancy amesema hayo jana kupitia kipindi cha Friday Night Live (FLN) na kusema alikuja kujua kuwa ni msanii baada ya muda kupita siku ambayo msanii huyo alikuwa na show Coco Beach.

 

2 weeks ago

Bongo Movies

Mke wa Roma Afungukia Roma Kuchepuka

Mke wa msanii Roma ameelezea jinsi mahusiano yake ya ndoa na rapper huyo yalivyo na kudai kuwa tabia ya wanaume kuchepuka kwenye ndoa ni wote wanayo.

Baby Mama (Nancy) huyo ambaye alifunga ndoa na Roma mwaka 2015 ameiambia XXL ya Clouds Fm kuwa ni vigumu kujua kinachoendelea nyuma ya pazia kwa mwanaume ila kutokana na urafiki na upendo kuna baadhi ya mambo kwa mumewe husamehe tu.

 

“Kucheat ni kwa kila mwanaume, siyo Roma tu ni vitu ambavyo vipo, unaweza ukachitiwa pasipo kujua au kwa...

 

2 weeks ago

Malunde

Video Mpya: ROMA MKATOLIKI - ZIMBABWEMsanii wa hip hop Bongo, Roma ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Zimbabwe’ ambayo imeongozwa na Nicklass, audio amefanya Bin Laden ndani ya studio za Tongwe Records.

Tazama kwa kubonyeza Play Hapo chini:-

 

2 weeks ago

Bongo Movies

Tazama Video Mpya ya Roma Mkatoliki-Zimbabwe

Rapa Roma Mkatoliki ametusogezea video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Zimbambwe’ katika wimbo huu Roma Mkatoliki amezungumzia mambo mengi kuhusu sakata la utekaji wake na mambo ambayo amepitia kwa siku tatu ambazo alikuwa ametekwa.

Katika wimbo huu Roma Mkatoliki amegusia juu ya kauli ya Mbunge wa Nkasi (CCM), Ally Kessy ambaye alisema kuwa kitendo alichofanyiwa Roma Mkatoliki ikiwa pamoja na kuteswa na kutekwa ni sawa na kudai kuwa msanii huyo amemtukana Rais Magufuli. Hivyo...

 

2 weeks ago

BBC

Riyad Mahrez: Roma still want Leicester City winger but looking at other options

Roma still want to sign Leicester winger Riyad Mahrez, but their sporting director says they are also "working on other solutions".

 

1 month ago

Mwananchi

Riyad Mahrez aitosa Roma asajiliwe Arsenal

Nyota wa Leicester City, Riyad Mahrez amegairi kusajiliwa na AS Roma na badala yake anangojea dirisha lijalo la usajili ili kwenda kuichezea Arsenal.

 

1 month ago

BBC

Riyad Mahrez: Leicester reject Roma bid for Algeria winger

Leicester City reject 'low offer' from Roma for winger Riyad Mahrez, Foxes boss Craig Shakespeare confirms.

 

1 month ago

Mwanaspoti

Mahrez ashusha mshahara kuivuta AS Roma

Riyad Mahrez ameripotiwa kwamba yupo tayari kupunguza mshahara wake ili tu ajiunge na AS Roma ya Italia, lakini bado anasubiriwa ofa rasmi ipelekwe kwenye klabu yake ya Leicester City.

 

1 month ago

Mwananchi

Tottenham yatangaza kumuachia Federico Fazio klabu ya Roma

Klabu ya Tottenham imethibitisha kuachana na beki wake, Federico Fazio (39), ambaye alitolewa kwa mkopo msimu wote ulioisha kwa timu ya Roma.

 

1 month ago

Mwanaspoti

Roma yajitosa kwa Riyad Mahrez

Miamba ya Serie A, Roma ipo tayari kumsajili nyota Algeria, Riyad Mahrez kutoka Leicester City, kwa mujibu wa Sky, Italia.

 

1 month ago

Mwanaspoti

Roma yamtaka Martial kwa mkopo

Mshambuliaji wa Manchester United, Anthony Martial ameripotiwa kuivutia AS Roma ya Italia na kwamba inataka kumsajili kwa mkopo.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani