9 months ago

BBCSwahili

Ronaldo kutangaza mustakabali wake punde

Cristiano Ronaldo amesema punde atatangaza mustakabali wake baada ya kuisaidia Real Madrid kushinda kombe mara ya tatu kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa.

 

9 months ago

BBCSwahili

Nani atawika fainali Kiev kati ya Salah, Ronaldo na Milner

Real Madrid wanatafuta ushindi wa 13 na ni wa tatu mfulizo huku Liverpool wakiweza kupanda juu ya Bayern Munich na Barcelona nyuma na AC Milan ikiwa wataibuka washindi huko Kiev.

 

9 months ago

BBCSwahili

Liverpool v Real madrid: Uwanja ambao Cristiano Ronaldo na Mo Salah watakutana

Uwanja wa Taifa wa Olimpiyskiy mjini Kiev utakuwa mwenyeji wa fainali inasubiriwa kwa hamu na ghamu ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kati ya Liverpool na Real Madrid.

 

10 months ago

BBCSwahili

Cristiano Ronaldo Jr atakuwa stadi wa kandanda kama babake?

Ronaldo ameonekana katika kila hatua kumuandaa mwanawe wa kiume Cristiano Jr kuwa mchezaji soka mahiri na pia kuzoea maisha ya umaarufu na kuangaziwa kila wakati na wanahabari.

 

10 months ago

BBCSwahili

Juventus 0-3 Real Madrid: Bao la Cristiano Ronaldo lililowafurahisha hata mashabiki wa Juventus

Bao hilo lilikuwa la ustadi mkubwa kiasi kwamba mashabiki wa Juventus ya Italia, ambao bila shaka walivunjiwa matumaini ya kufika nusufainali na bao hilo, walisimama na kumshangilia Ronaldo.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Ronaldo aonesha rekodi ya kusisimua

Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo usiku wa kuamkia leo ameifungia mabao 2 timu yake kwenye ushindi wa mabao 3-0 ilioupata dhidi ya Juventus na kuweka rekodi mbalimbali.

Moja ya rekodi ambayo nyota huyo mwenye miaka 33 ameiweka usiku wa jana ni kuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika mechi 10 mfululizo za ligi ya Mabingwa Barani Ulaya.

Ronaldo pia amefunga mabao 9 dhidi ya Juventus katika mechi 6 alizokutana na timu hizo. Baada ya mabao hayo mawili Ronaldo sasa amekuwa mchezaji mwenye...

 

11 months ago

BBCSwahili

Ureno 0-3 Uholanzi: Cristiano Ronaldo apigwa breki mjini Geneva

Katika mechi hiyo, mkimbio wa kufunga mechi nane mtawalia wa mshambuliaji nyota wa Ureno anayechezea Real Madrid Cristiano Ronaldo ulifikishwa kikomo.

 

11 months ago

BBCSwahili

Cristiano Ronaldo ashinda tuzo ya Mwanasoka bora Ureno.

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo ya Mwanasoka bora ya mwaka 2017 nchini Ureno

 

11 months ago

BBCSwahili

Cristiano Ronaldo afunga hat-trick yake ya 50

Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick yake ya 50 tangu aanze kucheza soka ya kulipwa huku Real Madrid ikiilaza Girona na hivyobasi kupanda hadi nafasi ya tatu katika ligi ya La Liga.

 

11 months ago

Zanzibar 24

Ronaldo azindua nguo zake mpya

Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, jana Machi 8 amezindua nguo zake mpya za ndani (boksa) ambazo zimepewa jina la Spring/Summer 18 CR7 (SS18 CR7).

kwa mujibu wa tovuti ya mchezaji huyo, imeonyesha kuwa nguo hizo zinauzwa kuanzia kiasi cha Euro 17.95 ambazo ni takriban shilingi 49,778 za kitanzania hadi Euro 26.95 ambazo ni zaidi ya shilingi 74,766.

 

The post Ronaldo azindua nguo zake mpya appeared first on Zanzibar24.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani