6 days ago

Michuzi

Wizara Ya Kilimo Yaapa Kusafisha Wala Rushwa Wote na Wanaokwamisha Kilimo Cha Tumbaku Urambo Tabora


Na, Editha Edward-Tabora

Waziri wa kilimo Mhe, Japhet Hasunga amezitaka bodi zote zilizopo chini ya Wizara yake kuanza kujitathimini kama zimeshindwa kuwaondolea kero ya Rushwa kwa Wakulima zijiondoe kabla ya mwezi wa saba mwaka huu

Kauli hiyo ameitoa akiwa Wilayani Urambo Mkoani Tabora wakati wa Ufunguzi wa soko la zao Tumbaku kitaifa huku akisema Wizara hiyo ina mpango wa Kusafisha watu wote ambao Wanaojihusisha na Rushwa na kukwamisha kilimo cha zao hilo

"Mwaka huu tunaanza mabadiliko...

 

1 week ago

BBCSwahili

Afrika kusini: Cyril Ramaphosa aahidi kutokomeza rushwa katika chama cha e ANC

Baada ya Ramaphosa kuibuka na ushindi, aahidi kutokomeza rushwa katika chama chake.

 

1 week ago

VOASwahili

Tatizo la uchumi, rushwa vimepunguza kura za ANC Afrika Kusini

CHAMA tawala cha African National Congress (ANC) nchini Afrika Kusini kimerejea madarakani, kwa kura asilimia ndogo ikilinganishwa na chaguzi zilizopita.

 

1 week ago

Michuzi

WAZIRI MKUCHIKA AFUNGUA WARSHA KUHUSU HALI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA KIMATAIFA WA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti Chama cha Wabunge walio katika Mapambano dhidi ya Rushwa (APNAC) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Cpt. George Mkuchika akifungua warsha kuhusu hali ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Mapambano dhidi ya Rushwa iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), CP Diwani Athumani akiwasilisha maada mbele ya Wajumbe Chama cha Wabunge...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Rushwa ya 200,000, yampandisha Hakimu kizimbani

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) Mkoa wa Iringa, imempandisha kizimbani Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Mafinga kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya Sh 200,000 ili apunguze adhabu ya faini kwa watuhumiwa 10 waliofi kishwa mahakamani hapo kwa kosa la uzembe na uzururaji.

Akizungumza na wanahabari , Kaimu Kamanda wa Takukuru, Mkoa wa Iringa, Mweli Kilimali alisema hakimu huyo, Abdalah Omary Kitvai alifikishwa katika mahakama ya wilaya ya Mufindi juzi akituhumiwa...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Je ni nini chanzo cha rushwa ya 'ngono' katika vyuo vikuu Afrika Mashariki?

Madai ya rushwa na ngono yamekuwa yakigusa vyuo vikuu mbalimbali katika nchi za Afrika Mashariki.

 

4 weeks ago

Zanzibar 24

Waziri Haroun awataka waandishi wa Habari kutumia silaha yao kuikomesha Rushwa


Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Utumishi wa umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman
akizungumza katika Sherehe yaugaaji wa tunzo kwa Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar beach resolte Mazizini nnje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Utumishi wa umma na Utawala bora Haroun Ali Suleiman amewataka Waandishi wa Habari kutumia taaluma zao kwa kukemea masuala ya rushwa yaliopo katika jamii.


Akizungumza katika Sherehe yaUgawaja tunzo kwa Waandishi wa...

 

5 months ago

RFI

Uganda kumchunguza waziri wake wa mambo ya nje kuhusiana na madai ya rushwa

Mamlaka nchini Uganda zitachunguza tuhuma kuwa waziri wake wa mambo ya nje, Sam Kutesa alipokea rushwa ya dola za Marekani laki 5 kutoka kwa afisa mmoja wa serikali ya China.

 

5 months ago

BBCSwahili

Iran yamyonga mfanyabiashara ajulikanaye kama 'Sultani wa Bitumen' kwa sababu ya rushwa

Hamidreza Baqeri Darmani alipatikana na hatua ya kughushi nyaraka ndipo apate mikopo ambayo ilikuwa ikitolewa kwa ushirikiano na serikali.

 

11 months ago

BBCSwahili

Ghana yavunjilia mbali chama cha soka kutokana na tuhuma za rushwa

Rais wa chama hicho alinaswa katika video akipokea 'zawadi ya pesa' ya $65,000 kutoka kwa mwandishi habari mpekuzi.

 

12 months ago

BBCSwahili

Rushwa: Wakuu wa ununuzi wa bidhaa serikalini Kenya wapewa likizo ya lazima

Serikali ya Kenya imewaagiza wakuu wote wa vitengo vya ununuzi wa bidhaa na huduma katika wizara na mashirika ya umma kwenda likizo ya lazima ya mwezi mmoja.

 

12 months ago

Zanzibar 24

Mamlaka za Mapato za Africa Mashiriki zaungana kupambana Rushwa

Mamlaka za Mapato za Africa Mashiriki zimesema zitashirikiana katika  kupambana na Vitendo vya Rushwa vinavyojitokeza katika ukusanyaji wa mapato ili kuweza kufikia malengo waliyoyakusudia katika kukusanya mapato.

Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mkutano wa siku mbili uliwashirikisha makamishna wa Mamlaka za mapato za nchi sita,uliofanyika mjini Zanzibar Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania TRA Charles kichere amesema ili malengo ya ukusanyaji wa mapato yaweze kufikiwa ni...

 

12 months ago

Michuzi

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yakabidhiwa jukumu la kuisimamia Bodi ya Ushauri ya Masuala ya rushwa ya Umoja wa Afrika

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda akisaini hati ya kukubali rasmi kupokea jukumu la kuisimamia Bodi ya Ushauri kuhusu Masuala ya rushwa ya Umoja wa Afrika Mashariki. Kushoto ni Bw.Valentino Mlowola Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambaye alikabidhi majukumu ya usimamizi wa Bodi hiyo kwa Wizara.Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi za Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa jijini Arusha.Bodi hii yenye...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani