1 day ago

BBCSwahili

Wakimbizi wa DRC nchini Rwanda waapa kurudi nyumbani baada ya kupunguziwa mlo

Wakimbizi kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo waliotoka katika kambi ya Kiziba Rwanda wameendeelea kukita kambi katika ofisi za UNHCR wakishinikiza kurudishwa kwao

 

2 days ago

VOASwahili

Wakimmbizi wa DRC waliopo Rwanda wanadai kushambuliwa

Wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC waliopo nchini Rwanda walisema wanajeshi wa nchi hiyo waliwafyatulia risasi na kuwajeruhi angalau watu wawili siku ya Jumanne wakati wakimbizi hao wakijaribu kuandamana kutoka nje ya  kambi yao wakipinga kupunguzwa kwa mgao wa chakula. Kulingana na shirika la habari la Reuters waziri mmoja wa serikali alikanusha madai ya wakimbizi hao na alisema watu wapatao 2,000 kutoka kambi ya Karongi yenye wakimbizi 17,000 huko magharibi mwa Rwanda...

 

2 days ago

RFI

Wakimbizi wa DRC wakabiliana na askari wa Rwanda

Wakimbizi wa DRC walio katika kambi ya kiziba wilayani karongi magharibi mwa Rwanda wamepambana na jeshi la Rwanda RDF na wakimbizi wawili walipelekwa hospitali baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa.

 

5 days ago

BBC

Fifa inspectors to visit Rwanda for Under-17 World Cup bid

Fifa will send a two-man delegation to Rwanda next week to inspect the country's facilities as they bid to host the 2019 Under-17 World Cup.

 

5 days ago

VOASwahili

Rwanda yakana kuhusika na mauaji DRC

Wanajeshi watano wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameuwawa.

 

5 days ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa DR Congo wauliwa na wenzao wa Rwanda

Wanajeshi watano wa DR Congo wameuawa na wanajeshi wa Rwanda kulingana na jeshi la nchi hiyo

 

6 days ago

RFI

Waziri wa Michezo wa Ufaransa amalizia ziara yake nchini Rwanda

Waziri wa Michezo wa Ufaransa Laura Flessel, anamaliza ziara yake nchini Rwanda baada ya kuwasili nchini humo siku ya Alhamisi kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kimichezo kati ya nchi hizo mbili.

 

6 days ago

RFI

Waziri wa Michezo wa Ufaransa azuru Rwanda

Waziri wa michezo wa ufaransa Bi. Laura Flessel amefanya ziara ya siku tatu wakati ambapo uhusiano baina ya mataifa Ufaransa na Rwanda ukiwa hauko imara.

 

1 week ago

Michuzi

2 weeks ago

BBCSwahili

Wakimbizi Warundi kupata Vitambulisho vya kisasa Rwanda

Serikali ya Rwanda imeanza zoezi la kusajili upya wakimbizi kutoka Burundi miaka tatu tangu wakimbilie nchi humo.

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Muhubiri nchini Rwanda asema wanawake ''ni chanzo cha uovu'' duniani

Mhubiri wa Rwanda huenda akafungwa mbele ya vyombo vya habari baada ya kuwaita wanawake ''chanzo cha uovu'' katika mahubiri ya redio

 

2 weeks ago

VOASwahili

Rwanda inasema imeboresha haki za binadamu nchini humo

Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba imechukua hatua ya kuboresha haki za binadamu kwa kutekeleza makubaliano ya kimataifa ya Geneva kuhusu haki za binadamu. Nchi hiyo inatangaza hatua hii wakati kukiwepo ukosoaji wa kimataifa kuhusu ukosefu wa uhuru wa kutoa maoni nchini humo. Akizungumza mjini Kigali waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wa Rwanda, Johnston Busingye alisema katika mikataba 50 ya Geneva kuhusu kuheshimu haki za bidamu nchi ya Rwanda imekwishatekeleza mikataba minane kati...

 

2 weeks ago

Michuzi

UHAMIAJI YAWACHUNGUZA WATOTO WATATU RAIA WA RWANDA KWA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI

Na Jumbe Ismailly, Singida
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Singida inawashikilia kwa uchunguzi watoto wa kike watatu raia wa  Rwanda wenye umri chini ya miaka 18 kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria.

Kaimu Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Singida,Kamishna Msaidizi, Angela Shija amesema watoto hao wenye umri kati ya miaka 9 na 13 walikamatwa Januanri 30,mwaka 2018 wilayani Manyoni.

Amesema walikuwa  wakitokea nchini Rwanda wakielekea nchini Zambia kuwaona wazazi wao.

“Januari 30 mwaka 2018,  ofisi ya...

 

3 weeks ago

VOASwahili

Idara ya usalama Uganda yamwachia Raia wa Rwanda

Idara za usalama nchini Uganda imemwachia raia wa Rwanda ambaye alikamatwa huko mjini Mbarara.

 

3 weeks ago

VOASwahili

Raia wa Rwanda wapatwa na wasiwasi nchini Uganda

Mzozo kati ya Uganda na Rwanda unaendelea kushika kasi kutokana na kitendo cha baadhi ya Wanyarwanda kukamatwa Uganda na kurejeshwa Rwanda.

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani