1 month ago

Michuzi

SADC WATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA SERIKALI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani chini ya Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeandaa Warsha ya Mafunzo ya Mfumo wa Ufuatialiaji na Tathmini wa SADC (SADC Results Based Online Monitoring and Evaluation System) kwa maafisa wa Serikali na taasisi za umma. Warsha hii inafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam...

 

1 month ago

Zanzibar 24

Tanzania yasaini itifaki 28 SADC

Tanzania kama Mwanachama hai na mwanzilishi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika  SADC imesaini jumla ya itifaki 28 kati ya itifaki 31,ambapo kati ya itifaki zilizowekwa saini jumla ya itifaki 23 zimesharidhiwa huku itifaki 5 ziko katika hatua mbalimbali za kuridhiwa. Itifaki nyingine tatu bado Serikali haijaweka saini ambazo ni itifaki za ajira,na kazi 2014,itifaki ya Utunzaji wa Mazingira kwa maendeleo Endelevu 2014 na itifaki ya kulinda aina mpya ya mimea 2017. Hata hivyo...

 

2 months ago

Michuzi

MHE SAMIA SULUHU AHUDHURIA MKUTANO WA SADC TROIKA EXTRA JIJINI LUANDA, ANGOLA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amemuwakilisha Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Mwenyekiti wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC aliyemaliza muda wake kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Troika Mbili wa SADC kuhusu hali ya Usalama katika Kanda umefanyika hapa Luanda, leo tarehe 24 Aprili, 2018. Mkutano huu umeitishwa baada ya mashauriano kati ya Mheshimiwa Dkt....

 

2 months ago

Michuzi

Launch of the SADC Liaison Office in the Democratic Republic of Congo

The Executive Secretary of the Southern African Development Community (SADC), Dr. Stergomena Tax (right), introducing  officials of the SADC Liaison Office in the Democratic Republic of Congo (DRC), Mobhare Matinyi from Tanzania (second from left) and Ambassador Pedro Kissoka from Angola (left), to the ambassadors, representatives of the government of DRC,  political parties, religious organizations and civic societies and members of the press during the launching of the office. Second from...

 

4 months ago

CCM Blog

STATEMENT OF THE SADC EXECUTIVE SECRETARY, H.E. DR. STERGOMENA LAWRENCE TAX FOLLOWING THE RESIGNATION OF HIS EXCELLENCY, JACOB ZUMA, PRESIDENT OF THE REPUBLIC OF SOUTH AFRICA

The Southern African Development Community (SADC), has noted the decision by His Excellency President Jacob Zuma to resign as the President of the Republic of South Africa. The Secretariat commends President Zuma for the statesmanship he has portrayed by accepting the decision of the National Executive Committee of the African National Congress (ANC), and respecting and upholding the Constitution of the Republic of South Africa. His decision has allowed for a peaceful and democratic transfer...

 

5 months ago

Michuzi

Dkt. Abbas Ahamasisha Wanahabari Kushiriki Tuzo za SADC

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amewahamasisha Waandishi wa Habari wa Tanzania kushiriki vema katika kuwania tuzo za wanahabari wa Jumuiya za Mendeleo Kusini mwa Bara la Africa (SADC).
Dkt. Abbas ametoa rai kwa Waandishi wa Habari kushiriki tuzo hizo jumatatu wiki hii wakati akiongea na waandishi wa Habari kuhusu hali ya uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyopo nchini. “Tunawaomba wale wote ambao wanadhani wanavigezo basi...

 

7 months ago

Michuzi

WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA SPIKA JOB NDUGAI

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto), Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADC PF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto)...

 

7 months ago

Channelten

Hali ya Kisiasa Zimbabwe, Maofisa wa SADC wakutana kujadili hatma ya nchi hiyo

0DA9B54B-1BB0-465A-ACE6-9B54B2575FD7_w1023_r1_s

Hali ya kutatanisha inaendelea kushuhudiwa nchini Zimbabwe wakati kukiwa na mazungumzo ya kimyakimya ya kuutatua msukosuko wa kisiasa wa nchi hiyo na uwezekano wa kumalizika kwa utawala wa miongo minne wa Rais Robert Mugabe.

Rais Mugabe yuko kwenye kizuizi cha jeshi na hakuna dalili ya kuonekana kwa makamu wake ambaye alifutwa kazi hivi karibuni Emmerson Mnangagwa, na kukimbia nchini.

Aidha ripoti zinasema kwamba wanajeshi bado wanashika doria katika mitaa ya mji mkuu, Harare, huku wasiwasi...

 

7 months ago

Michuzi

2018 SADC SECONDARY SCHOOL ESSAY COMPETITION

N:B All applicants are requested to send their applications to the following address:
    
         Permanent Secretary
         Ministry of Education,  Science and Technology
         Block 10,
         College of Business Studies and Law,
         University of Dodoma,
         P.O.Box 10
        ...

 

10 months ago

BBC

SADC condemns killing of Lesotho army chief Khoantle Motsomotso

Southern Africa's regional body sends a team to help avert a political crisis.

 

10 months ago

Michuzi

MKUTANO WA 37 WA SADC WAMALIZIKA MJINI PRETORIA

Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC umemalizika leo tarehe 20 Agosti 2017 katika mji wa Pretoria Afrika Kusini ambapo Wakuu wa nchi na Serikali wa SADC kwa kauli moja wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake katika Asasi ya Ushirikiano wa siasa , Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kazi nzuri aliyoifanya katika kipindi cha uongozi wake akiwa Mwenyekiti wa Asasi...

 

10 months ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 37 WA SADC AKIMWAKILISHA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitambulishwa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 37 wa SADC kwenye ukumbi wa OR Tambo mjini Pretoria, Afrika ya Kusini. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais. Rais wa Zambia Mhe. Edgar Lungu akiwashukuru washiriki wa mkutano huo wakati wa Utambulisho kwenye ufunguzi wa mkutano wa 37 wa SADC kwenye ukumbi wa OR Tambo mjini Pretoria, Afrika ya Kusini.# Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais. Mkutano huo wa 37  wa Wakuu wa...

 

10 months ago

BBCSwahili

Grace Mugabe kuhudhuria mkutano wa SADC licha ya kusakwa na polisi

Polisi wameweka ulinzi mkali kwenye mipaka ya taifa hilo kuhakikisha kwamba Bi. mugabe hatotoroka

 

10 months ago

VOASwahili

SADC yaanza kujadili maombi ya Comoros, Burundi kuwa wanachama

Mmoja ya mambo muhimu ambayo yatajadiliwa na Mkutano wa SADC wa 37 unaofunguliwa Jumamosi Pretoria, Africa ya Kusini ni kupanua wigo la wanachama wa taasisi hiyo ya kieneo.

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani