3 days ago

Michuzi

BALOZI SEIF AWAASA WANANCHI KUWATUNZA WAZEE WAASISI WA ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wazee Waasisi wa Zanzibar wataendelea kuwa ngao ya Taifa ambayo Viongozi wa sasa pamoja na Wananchi na Kizazi Kipya wana wajibu wa kuwatunza katika maisha yao ya kila siku.
Alisema ngao hiyo inatokana na kazi kubwa waliyoifanya wakati wa harakati za kupigania Ukombozi wa Taifa hili ambapo kwa sasa Viongozi waliopo madarakani pamoja na Wananchi wanaendelea kula matunda ya Uhuru uliotokana na Wazee hao.
Balozi Seif alitoa kauli...

 

5 days ago

Michuzi

Balozi Seif afuturu na wazee wanaoishi nyumba za serikali Zanzibar

Waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini wanaendelea na harakati zao za kufutari pamoja zinakopelekea kushibana kiimani ya moyo ndani ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mwezi ambao umeteremshwa Kitabu Kitakatifu cha Quran kisichoshaka katika kubainisha Haki na Batil.
Futari hizo zinazojumuisha Waumini wa rika tofauti ufanywaji wake hupaswa kuzingatia utaratibu maalum wa hali ya Kiafya na Mazingira safi uliowekwa na Uongozi wa Manispaa pamoja na Halmashauri za Wilaya.
Futari hiyo...

 

1 week ago

Michuzi

Balozi Seif awasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya ofisi ya Makamu wa Rais wa Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Pato la Taifa kwa Mwaka 2019 linatarajiwa kukua kwa kasi ya wastani wa asilimia 7.8% itakayosababisha kuimarika zaidi kwa Uchumi wa Zanzibar kutokana na ongezeko la Uwekezaji katika Sekta ndogo ya usafirishaji na Uvuvi.
Alisema hali hiyo imesababisha kuongezeka kwa Pato la Mwananchi mmoja mmoja kutoka Shilingi Milioni 2,104,000/- sawa na Dola za Kimarekani Mia 944 na kufikia Shilingi za Kitanzania Milioni 2,323,000/- sawa...

 

2 weeks ago

Michuzi

Wananchi wanapaswa kujua Historia yao - Balozi Seif Ali Iddi


 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifanya ziara ya kukagua Mahandaki Mawili ya Mangapwani yaliyokuwa yakitumika kuhifadhia Watumwa ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu muhimu ya kujifunza Historia ya Biashara hiyo iliyopigwa marufuku tokea Karne ya 18. Balozi Seif Ali Iddi akipewa maelezo ya Biashara ya Utumwa ilivyokuwa ikufanyika katika Mahandaki ya Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale anayesimamia Utalii na...

 

2 weeks ago

Zanzibar 24

Balozi Seif ataka maeneo ya historia yatunzwe

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema wananchi wanapaswa kujua historia yao ili kulinda uhuru wao, heshima, utamaduni na mazingira yao yanayowazunguuka.

Alisema binaadamu asiyejua historia yake ni sawa na mtumwa wakati wote akiendelea kutawaliwa kifikra jambo ambalo ni hatari katika  maisha yake.

Alisema hayo alipofanya ziara fupi ya kukagua mahandaki mawili ya Mangapwani yaliyokuwa yakitumika kuhifadhia watumwa ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu muhimu ya...

 

2 weeks ago

Michuzi

Wananchi wanapaswa kujua Historia yao- Balozi Seif

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wananchi wanapaswa kujua Historia yao katika dhana nzima ya kuendelea kulinda Uhuru wao, Heshima, Utamaduni na hata mazingira yao yanayowazunguuka ya kila siku.
Alisema Binaadamu asiyejua Historia yake kamwe anakuwa Mtumwa wakati wote akiendelea kutawaliwa kifikra jambo ambalo ni hatari katika maisha yake yanayomuhusu.
Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo alipofanya ziara fupi ya kuyakagua Mahandaki Mawili ya Mangapwani yaliyokuwa...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Je, Maalim Seif ni 'mtu hatari' katika siasa za Tanzania?

Maalim Seif amedai tishio la kufutiwa usajili ACT-Wazalendo linamlenga yeye na si chama.

 

4 weeks ago

Michuzi

BALOZI SEIF AHIMIZA NIDHAMU MICHEZONI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi msaada wa seti za Jezi Mwenyekiti wa Timu ya Soka ya Muembe Ladu Omar Zubeir katika lengo la kuendeleza Michezo Nchini,Wa kwanza kutoka Kushoto ni Kocha wa Timu ya Soka ya Muembe Ladu Ramadhan Madundo na wa kwanza kutoka Kulia ni Katibu wa Timu hiyo Mohamed Mbarouk.Mwenyekiti wa Timu ya Soka ya Muembe Ladu Omar Zubeir akimshukuru Balozi Seif kwa msaada huo wa Jeziutakaoleta faraja kwa Uongozi wa Klabu hiyo pamoja na...

 

11 months ago

Malunde

BALAA LAMWANGUKIA LIPUMBA NA MAALIM SEIF


Chama cha Wananchi CUF, kimeitaka Serikali kuunga mkono hoja ya Mbunge wa Jimbo la Chonga Mohamed Juma Khatib, kufanya ukaguzi lazimishi wa fedha za Umma ikiwa ni pamoja na Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi, Maalim Seif, Ibrahimu Lipumba wahojiwe walikopeleka Bilioni 2 za Chama.
Hayo yamesemwa na Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma Mbarala Maharagande wakati akiwapongeza Wabunge wa chama hicho wakiongozwa na Mhe. Khatib, kwa kutekeleza wajibu wao vizuri na kuibua...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Mbunge wa Konde aiomba TAKUKURU imhoji Maali Seif

Mbunge wa Konde, Khatib Said Haji ameiomba Mamlaka ya kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) na Wizara ya Mambo ya Ndani imuhoji Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Hamad kwa kutopeleka hesabu zinazotakiwa kwa Msimamizi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

 

Khatib amesema kuwa bora mkosoaji huangalia aibu zake kabla ya kusema za wenzake huku akisema kusema mambo hayo kuna hitaji ujasiri.

“Ni mtu ninaye Muheshim Katibu Mkuu wangu, Maalim Seif Hamad lakini katika hili naomba niongee ukweli kwa kweli...

 

11 months ago

Michuzi

BALOZI SEIF AKABIDHI MASHINE YA BOTI KWA VIJANA WA KIKUNDI CHA HAMASA

Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Viongozi wa Jimbo hilo wataendelea kuwaunga mkono  Wananchi wao hasa Vijana na Akina Mama walioamua kujituma katika muelekeo wa kujitafutia Maendeleo ili kujenga hatma njema ya maisha yao.
Alisema misaada ya kuyawezesha Makundi hayo katika kuyapatia vifaa, mtaji sambamba na  maarifa itakuwa ikiendelea kila wakati kulingana na mahitaji halisi ya Wananchi ikilenga zaidi katika Vikundi vya Ushirika.
Balozi Seif Ali Iddi alisema...

 

12 months ago

Zanzibar 24

Maalim Seif ampatia jukumu Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dkt. Bashiru

Chama cha Wananchi CUF,  pamoja na Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif amempongeza Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dkt. Bashiru Ally ambapo pia wamempatia jukumu la kuirejesha demokrasia nchini.

Kupitia taarifa hiyo ya CUF Maalim Seif amesema Lazima maslahi ya Taifa la Tanzania yawe juu ya mipaka ya vyama vya siasa.

“Napenda kuchukua fursa hii adhimu kukupongeza Ndugu Dkt. Bashiru Ally kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM . Ni matarajio ya CUF na Watanzania kwa...

 

12 months ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.  Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018, ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz-Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

 

12 months ago

Michuzi

MAALIM SEIF ATUMA UJUMBE KUMPONGEZA KATIBU MKUU MPYA WA CCM

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii  Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi  (CUF) Maalim Seif Shariff Hamad amewasilisha barua ya pongezi kwa katibu mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Dk. Bashiru Ally aliyeteuliwa kuongoza chama Hicho. Barua hiyo ya Maalim Seif ambayo imewasilishwa na msaadizi wake Bw. Mbaralala Maharagande saa chache baada ya kumalizika kwa  shamrashamra za kukabidhiana ofisi baina ya aliyekuwa katibu mkuu aliyestaafu  Ndg. Abdulrahman Kinana kwenye ofisi ndogo za CCM mtaa wa...

 

12 months ago

Michuzi

Balozi Seif afanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Cuba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza Jamuhuri ya Cuba kwa kumaliza Uchaguzi wa Bunge salama wa kuwachagua Wajumbe wa Baraza Kuu la Nguvu ya Umma lenye Mamlaka ya kumchagua Rais wa Baraza la Taifa la Nchi hiyo.
Alisema uchaguzi huo uliofanyika Mnamo Tarehe 11 Machi, 2018,  ambapo Wajumbe wa Baraza la Taifa la Cuba walimchaguwa Bwana Miguel Diaz –Canel kuwa Rais wa Nchi hiyo aliyekuwa msaidizi wa Kiongozi wa Taifa hilo Bwana Raul Castro ulikuwa na amani na...

 


Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani