6 months ago

Malunde

AFANDE SELE AIKACHA ACT WAZALENDO,AJIUNGA CCM MBELE YA JPM

Msanii mkongwe nchini Afande sele ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo mbele ya Rais Dkt. Magufuli kwa lengo ka kuunga mkono jitihada zake anazozifanya katika kupigania na kukiomba chama kimpokee kama kijana wao

Afande Sele ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anatumbuiza muziki kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro walioweza kuhudhuria shughuli za uzinduzi wa kiwanda cha Sigara mkoani humo na Rais Magufuli.

"Nataka nimuhakikishie Mhe. Rais Dkt. John Magufuli kwamba mimi ni mtu...

 

6 months ago

Zanzibar 24

Afande Sele ajiunga rasmi CCM

Msanii mkongwe wa BongoFleva nchini Afande sele atangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo mbele ya Rais Dkt. Magufuli kwa lengo la kuunga mkono jitihada zake anazozifanya katika kupigania na kukiomba chama kimpokee kama kijana wao.

Afande Sele ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anatumbuiza muziki kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro walioweza kuhudhuria shughuli za uzinduzi wa kiwanda cha Sigara mkoani humo na Rais Magufuli.

“Nataka nimuhakikishie Mhe. Rais Dkt....

 

6 months ago

Michuzi

AFANDE SELE AJIUNGA CCM RASMI MBELE YA RAIS DKT JOHN MAGUFULI

Na Leandra Gabriel, Globu ya jamiiMSANII maarufu nchini katika muziki wa kizazi kipya Selemen Msindia a.k.a Afande Sele amesema amefurahishwa na utendaji kazi wa Rais John Magufuli na kwamba amekuwa mbishi wa kukubali lakini kazi ya Rais imemfanya aamue kumfuata Chama Cha Mapinduzi(CCM).
Afande Sele amesema kuwa anamfananisha Rais Magufuli kama dereva wa gari ambaye analiendesha vema na yeye kama abiria ametulia anakunywa soda yake na hivyo anachoweza kumlipa kwa vitendo ni kujiunga CCM ili...

 

10 months ago

Bongo Movies

Afande Sele Afungukia Tabia Hizi za Bongo Movie

Msanii mkongwe wa muzuki wa kizazi kipya, Selemani Msindi marufu kwa jina la Afande Sele, ameweka wazi juu ya chuki aliyonayo kwa tasnia ya filamu bongo ‘Bongo Movie’.

Akiongea na Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema hawachukii wasanii wa bongo movie, bali huchukia tabia zao chafu ambazo zinaharibu Tasnia.

Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba wasanii wa bongo movie wana tabia chafu hasa za kuwanyanyasa wanawake kwa kuwatumikisha kingono, huku akimtolea mfano muigizaji...

 

10 months ago

Bongo Movies

Afande Sele Amfungukia Mama Kanumba

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Afande Sele, amesema anashangzwa na kitendo cha Mama Kanumba kushukuru kufungwa kwa Lulu wakati mtoto wake ndiye alikuwa na makosa kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo.

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Afande Sele amesema mama Kanumba ni mama ambaye hana vigezo vya kuwa mzazi kwani hana uchungu na mtoto wa mwenzake kwenda jela akiwa mdogo, huku ambaye alistahili kuhukumiwa ni mtoto wake Kanumba.

“Mama Kanumba nimeshangaa kusikia anashukuru...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Ujumbe aliouandika Afande Sele akimlaumu Kanumba kuhusu Lulu

Baada ya hukumu ya Lulu jana Afande ameandika ujumbe huu ambao uliamsha hisia za wengi… “Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya toyota sera yenye milango ya kubinuka kama mabawa ya ndege anaejiandaa kuruka….Jumamosi moja ktk mwaka ule nikiwa kwenye ubora wangu wa hali ya juu na ushawishi mkuu kuliko msanii yeyote Tz nilialikwa kutumbuiza Tabata kwenye ukumbi wa Dar West...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Afande Sele amlaumu Kanumba kuhusu Lulu, Mrisho Mpoto ajibu mashambulizi

Baada ya Elizabeth Michael (Lulu) kuhukumiwa miaka 2 jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Msanii Afande Sele aliibuka na kuandika ujumbe wa kumshtumu marehemu Kanumba kwa kitendo cha kutembea na Lulu wakati akiwa bado mdogo na kueleeza kuwa ameumia zaidi baada ya matatizo aliyoyapata Lulu kupitia Kanumba, hivyo hakushiriki kivyovyote katika msiba wa msanii huyo ingawa alikuwepo Dar kwani hakutaka kuvaa joho la unafki.

Sasa leo hii Msanii Mrisho mpoto...

 

10 months ago

Malunde

AFANDE SELE : KANUMBA AMEVUNA ALICHOKIPANDA...UDHAIFU WA KISICHANA VIMEBAKI MATESO KWA LULU

Baada ya mrembo katika tasnia ya filamu, Elizabeth Michael (Lulu) kuhukumiwa miaka 2 jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake wa filamu, Steven Kanumba, kuna mengi yanazungumzwa kupitia mitandao ya kijamii.
Afande ameandika ujumbe huu…Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya toyota sera yenye milango ya kubinuka kama mabawa ya ndege anaejiandaa...

 


Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani